Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF

Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote.

Msindani wake Visent Kigosi almaalufu kama King Ray, alijinasibu kuwa wana uwezo unaofanana katika uigizaji. Mara nyingi tuliona drama za kushindana hata kuonyesha magari mazuri. Kanumba yeye alijikita kwenye mapenzi na wasichana wapya wakati Ray yeye alinasa kwa majimama yenye pesa.

Namkumbuka Dotnata akiwa ni mtu mzima mama wa watoto wawili alikuwa ilimanusura waoane. Dottinata kipindi hicho anawika kwa mapishi bora ya kwenye harusi na masherehe pia na mapambo. Sikui hizi haonekani kabisa. Ray hata matangazo hawampi Richard ya kuandaa mwanae angalau aambulie ustaa bado mbichi lakini naye makosa promo baada ya Ray kutengana na mke wake.

1638882771475.png

Ray bana hadi blog akaanzisha ili mradi aonekane mwamba kama kanumba. Kifo cha kanumba ni pigo kali kwa ray na vidada alivyovivumbua,vimebakia na umaarufu wa insta tu

Huu ni mfano Domo vs kiba& harmo

Kiba na harmo wamuombee domokaya maisha marefu maana ndie aliyebeba umaarufu wao
 
😅😅😅😅
 
naomba kuuliza utajiri waliokuwa wanatambiana sijui V8 sijui anamiliki nini !
mpaka leo vipo
Vimepotea kabisa, kuna kipindi Kigosi alikuwa hatoki ndani kutokana na kupoteza kwa ukweli, aliisi labda mke ana nuksi, akamwacha akaoa mwingine mambo yakawa yale yale, tatizo alijitune sana na maisha. Bora Kitive Nyenyere yeye akikosa hela anapanda hata daladala akiwapata wenye mshiko anawachekesha kidogo wanamtilia chochote chungu jioni kinatokota.
 
Steve ni don kwa sasa kampeni zote bata la dar ongea na mama, mama bado tunae zote perezida anatia mpunga bado sekta ya misiba ikitokea huyo sio mwenzetu tena
 
Ray bana hadi blog akaanzisha ili mradi aonekane mwamba kama kanumba. Kifo cha kanumba ni pigo kali kwa ray na vidada alivyovivumbua,vimebakia na umaarufu wa insta tu

Huu ni mfano Domo vs kiba& harmo

Kiba na harmo wamuombee domokaya maisha marefu maana ndie aliyebeba umaarufu wao
ni kweli ...Domo akipotea tu..bhaasi hakuna cha harmo wala kiba
 
Vimepotea kabisa, kuna kipindi Kigosi alikuwa hatoki ndani kutokana na kupoteza kwa ukweli, aliisi labda mke ana nuksi, akamwacha akaoa mwingine mambo yakawa yale yale, tatizo alijitune sana na maisha. Bora Kitive Nyenyere yeye akikosa hela anapanda hata daladala akiwapata wenye mshiko anawachekesha kidogo wanamtilia chochote chungu jioni kinatokota.
Kuna siku nilimuona anatoka Jimm pale kinondoni akiwa na kigari chake cheusi
 
Siku hizi wamejikita kutoa series film haziuziki
Kuna kipindi alipiga kelele kuwafanya wapenzi wa bongo movie wamsahau Steven Charles Kanumba lakini wapi
Nakibaya zaidi makampuni ya usambazaji wafilm yamekufa
Najiuliza Kanumba angekuwepo kweli yangekufa haya makampuni
Ila jamaa atakumbukwa Daima wale waliomchukia wanaona umuhimi wake kwa sasa
 
Ule msuguano wao wa kishabiki ulikuwa unanogesha tasinia nzima ya bongo movie.
Na ieleweke bila ushindani wa vile mara nyingi kunakuwa hakuna maendeleo ya jambo husika.

Inawezekana pia kama angetangulia Ray, Kanumba naye kwa kiasi fulani angeyumba.

-Kanumba The great ....Ray naye akajiita The Greatest 😅
 
Back
Top Bottom