nyota

Nyota is a given name. It means star in the African languages Swahili and Lingala.People, animals, companies and fictional characters with this name include:

Nyota Inyoka (1896–1971), French-Indian dancer and choreographer
Nyota Ndogo, Kenyan musician
Nyota (Bonobo), male Bonobo born at the Language Research Center at Georgia State University
Nyota Uhura, fictional Communications Officer in the original series of Star Trek
Nyota, wedding invitation and accessories manufacturer and exporter

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Mimi ndio mwenye nyota ya kusalitiwa, vipi wenzangu haya mnayapata pia?

    Tumezaliwa watoto watano kwa mama na watoto 9 kwa baba.Mimi ni mtoto wa tatu kwa mama na ni mtoto wa tano kwa baba. Mimi nina bahati kubwa kwamba nimefanikiwa mapema kwa upande wa elimu na upande wa utafutaji mali, ila halimanishi kwamba ndugu zangu wote hawakusoma au hawana mali, wamesoma ila...
  2. Rakims

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    IJUE NYOTA YAKO Nyota ni Elimu ya Sayansi ya kiroho ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika moja wapo ya nyota hizi 12 zimechomoza wakati anazaliwa. Pia elewa ya kwamba ndugu yangu nyota yako moja imegawanyika katika...
  3. S

    GE2015 Kuelekea 2015: Nyota ya James Mbatia yaanza kung'aa kwa kasi

    Hii ni baada ya kuiumbua CCM na wabunge wake ndani ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hoja yake mujarabu kuhusu udhaifu wa sekta ya elimu hususani kutokuwepo kwa mtaala maalumu wa kufundishia kwa kukosa umakini na busara spika wa bunge kwa kushirikiana na baadhi ya wabunge wa...
Back
Top Bottom