nyoka

Nyoka the Jungle Girl is a fictional character created for the screen in the 1941 serial Jungle Girl, starring Frances Gifford as Nyoka Meredith. After the initial film, Nyoka appeared in comic books published by Fawcett, Charlton, and AC Comics.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

    Hello people. Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭 Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles. Nilivyokiona tu kile...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye akili timamu bado atasema tusiue nyoka Kwakuwa ni rafiki wa binadamu?

    Kwa hali kama hii, ameshindwa kuishi vichakani mbali huko, kaja mjini na kufanya uharibifu wa kuua kuku, kula mayai na kuua vifaranga! Bado mtu mwenye akili timamu, anajiita msomi wa wanyama pori anawatetea nyoka na kusema ni rafiki zetu tusiwaue.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kumtoa nyoka pangoni

    Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:- "Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu" Je, ni kweli kasema maneno haya na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nyoka aina ya Cobra alazamisha ndege kutua kwa dharura

    Rubani wa Afrika Kusini, Rudolf Erasmus ambaye alitua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya cobra akiwa amejificha chini ya kiti chake. Rudolf Erasmus alikuwa akiendesha ndege ndogo binafsi mapema wiki hii akiwa na abiria wanne kutoka jiji la Bloemfontein kwenda Pretoria...
  5. JamiiForums Tanzania Yesu Kubambikiwa alitakasa vyakula vyote ina maana alimkaidi Mungu alietuchagulia vya kula? Ni ruksa kula nzi, paka, mbwa, chura, kinyonga, nyoka?

    Mungu alishaweka sheria tule vyakula vifuatavyo Wanyama - wawe wenye kwato + miguu ya kupasuka kati + mwenye kucheua walioruhusiwa: Ng;ombe, mbuzi, kondoo, swala, nyati, n.k wasioruhusiwa: Nguruwe, Kobe, punda, mbwa, nyau, panya, n.k. Samaki - wawe na magamba + mapazi walioruhusiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Afrika Kusuni: Rubani atua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya (cobra) chini ya kiti chake

    Rubani wa Afrika Kusini anapongezwa kwa kufanikiwa kutua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya fira ‘Capa cobra’ akiwa amejikunja chini ya kiti chake, ripoti ya vyombo vya habari nchini humo yasema. Rudolph Erasmus alikuwa akisafirisha abiria wanne kutoka Cape Town kuelekea mji wa kaskazini...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli fimbo ya Musa iliyogeuka nyoka ilikwenda kukaa Congo ambako mpaka leo madini yanapatikana?

    Penye mali lazima kuwe nyoka. Hii haijadiliwi sana kwenye imani tulizopo nazo ila sehemu za upande wa nguvu za giza nyoka ni ishara ya utajiri na mali n.k. Kwenye pesa ishara nembo nyoka yupo,kwenye kila jambo lenye mafanikio nyoka utumika. Si wageni kusikia story au mengineyo sehemu yenye mali...
  8. JamiiForums Tanzania Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

    Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito. 1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10. 2. Ana rangi 26 mwilini mwake. 3...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini 99% ya wanaofuga nyoka na wanyama wengine wakali huishia kuuliwa nao?

    Miaka mitatu nyuma nilishuhudia Mfuga Wanyama Mmoja maeneo ya Pwani akiuwawa (akipoteza) Maisha kwa Kuuliwa na Simba aliyekuwa akimfuga na waliyezoeana na Kushibana kabisa. Hivyo hivyo zaidi ya mara Nne nimewahi Kusikia Watu Wanne tena Wataalam kabisa wa Kufuga Nyoka (Mijoka) na ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    MAMBAS ni aina ya nyoka wakali wapatikanao ktk dunia ya leo. Ni nyoka wenye sumu kali na wenye kasi ktk mwendo na wana sifa ya kutaga mayai (oviparous). Kuna aina mbili za mambas : 1. GREEN MAMBAS. 2. BLACK MAMBAS. Green mamba wanasumu aina ya NEUROTOXIC na HAEMOTOXIC. Wanaishi miaka 12 hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz akiri kuwa anapenda sana nyoka

    Bosi wa WCB Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz amejipatia mnyama aina ya nyoka wa kuweka nyumbani. Katika tangazo lake kwenye Instagram, mwanamuziki huyo alibainisha kuwa siku zote kumiliki nyoka kipenzi imekuwa ndoto yake. Staa huyo wa Bongo mwenye umri wa miaka 32 alimtambulisha...
  12. JamiiForums Tanzania CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

    Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
  13. JamiiForums Tanzania Huku kwetu jitu zima lingekimbia kuliko hata Fuso

    Kwa kukutana na hiki kiumbe mtu mzima anaweza kutoka mpera mpera mpaka na haja kuu juu
  14. JamiiForums Tanzania Wataalam wa nyoka huyu ni nyoka gani?

    Habari za jioni, Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana. And vipi tabia zake, anatembea mwenyewe au wawili wawili.
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

    Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...
  16. JamiiForums Tanzania Australia: Wanasayansi wathibitisha Nyoka kuwa na Kisimi

    Wanasayansi wamegundua kuwa Nyoka wana Kisimi, hivyo kuvunja dhana iliyokuwepo kwa muda mrefu kwamba nyoka jike hawakuwa na kiungo hicho cha ngono. Utafiti uliochapishwa leo Desemba 14, 2022 unatoa maelezo ya kwanza sahihi ya kianatomia ya sehemu za siri za nyoka wa kike. Uume wa nyoka -...
  17. JamiiForums Tanzania Ijue Nehushtani, nyoka wa shaba aliyeabudiwa na Israeli

    IJUE NEHUSHTANI, NYOKA WA SHABA ALIYEABUDIWA NA ISRAELI. Joka la Shaba alilitengeneza Musa jangwani na kugeuka kuwa mungu wa Israeli. Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Bwana Yesu apewe sifa wapendwa. Ikiwa ni siku njema Bwana ametupa kibali cha kuiona siku hii ya leo, si kwa sababu sisi ni wema...
  18. JamiiForums Tanzania Utendaji wa bangili ya Kupumbaza nyoka na Jiwe la nyoka

    Nimekuwa nikijiuliza sayansi iliyoko katika lile jiwe ambalo watu hutumia mara waumwapo na Nyoka. Unaliweka sehemu husika na linanyonya sumu mpaka linapodondoka. Ni sayansi gani hapo inayofanya kazi? Wenye uzoefu please. Lakini pia ile bangili ambayo husemekana inampumbaza nyoka. Inafanyaje...
  19. JamiiForums Tanzania Ona Majibu ya fumbo la "Ufanye nini upo mtini kuna nyoka, majini kuna mamba na nchi kavu kuna simba"

    Mwamba amejitahidi kufikiria. Nilicho muelewa huyu mwamba ni kwamba " Always use ur problem as a solution to ur problem". Ukipatwa na tatizo zaidi ya moja kwa wakati mmoja chagua tatizo moja Kati yao na ulitumie ku solve matatizo mengine. Uzi umekamilika now unaweza toa maoni yako 1...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mfahamu George wajackoyah: Mgombea urais Kenya anayesisimua kwa Bangi na sumu ya Nyoka

    Mgombea George Wajackoyah Wakati mmoja alikuwa mtoto wa kurandaranda mitaani nchini Kenya na wakati mwengine akawa mchimba kaburi nchini Uingereza, George Wajackoyah amekuwa kivutio cha kisiasa kwa kugombea urais wa Kenya kupitia ahadi ya kuligeuza taifa hilo la Afrika Mashariki kuwa muuzaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…