Kwanini Chumvi haipandi bei kama bidha nyingine!?

Nyani wa Somanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2026
Posts
415
Reaction score
570
Ndio, pamoja na umuhimu wa bidhaa hii katika asilimia zaidi ya 80 kwenye mapishi lakini bado emeendelea kutopewa heshima yake kama kiungo muhimu,

Sizani kama napaswa kuelezea saaana wasifu wa Chumvi hapa, mana sizani kama kuna mtu anaweza pitisha siku 3 bila kutumia hiki kiungo. Hivi ni kwa nini hii bidhaa haipandishwi bei hovyo kama bidhaa nyingine?
 
Rostam azizi ajawekeza huko siku akiwekeza kwenyechumvi ndiyo bei itskuwa sh 8000 kwa kilo
 
MImi muda mwingi nipo porini nachoma mkaa so vitu nanunua kwa jumla napeleka porini tunakula na wadau huku tukipiga kazi,nyumbani huwa naenda baada ya miezi miwili ndiyo nitakula chakula kilichopikwa na wife.
Nimeshtuka kujua bei za chumvi 😹
Nikajua km wanaume wa Tanga sokoni wanaenda wenyewe..!!
 
Haha ndiyo dini yao inavyotaka ,mwanamke inatakiwa akae ndani ,sokoni anaenda mwanamme....sema mambo ya utandawazi mambo yamebadilika na ndiyo "KISA CHA MPEMBA" kikatokea.

Zamani wenye kumiliki maduka walikuwa WAPEMBA baadae ikaja wachaga.
 
Malizia sasa hivi WAKINGA au hutaki kutupa credit? 😹
 
Ndio, pamoja na umuhimu wa bidhaa hii katika asilimia zaidi ya 80 kwenye mapishi lakini bado emeendelea kutopewa heshima yake kama kiungo muhimu,

Sizani kama napaswa kuelezea saaana wasifu wa Chumvi hapa, mana sizani kama kuna mtu anaweza pitisha siku 3 bila kutumia hiki kiungo. Hivi ni kwa nini hii bidhaa haipandishwi bei hovyo kama bidhaa nyingine?
Nina maswali machache kwako; Je, wewe ni muuza chumvi na hivyo na wewe unataka ipande bei ili uvune faida kubwa kama ilivyo kwa wauza mafuta? au umejikuta unashangaa tu kwa nini haipandi?
 
Kuna maziwa madogo huko singida, kindai na singidani chumvi ni ya kuzoa tu, unazoa udongo kando ya ziwa unauchuja na kupata maji, tope unatupa, maji unayachemsha na chumvi inatokea. Wakati mwingine ziwa singidani lote linakauka na kubaki chumvi tupu watu wanazoa tani yao magunia na magunia tena chumvi nyeupe safi
 
Back
Top Bottom