chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,041
- 3,091
Data nilizozichunguza zimeonyesha bila shaka yeyote kwamba, kuwa na id mbili ni dalili kubwa sana ya tatizo la afya ya akili
kuwa na id zaidi ya moja ambazo zote zipo active ni moja ya dalili kubwa ya tatizo la afya ya akili na saikolojia kwa ujumla ambayo dalili hiyo inakutaka kuwahi katika kituo cha afya ya akili ndani ya masaa machache.
data zilionyesha kwamba kuna watu wenye id mbili akipost kwenye id moja anakuja kujikosoa kwenye id yake nyingine tena anakasirika na kugomba na kufoka ikiwezekana kufikia hadi ku report kwa mods
hii inataka kufanana na michezo ambayo watoto hucheza kwa kujiongelesha na kujijibu wenyewe au kupiganisha kalamu mbili moja akiwa ameshika kwa mkono huu na nyingine kwa mkono mwingine huku yeye akiwa ndo mtafsiri wa matukio
Je ni kitu gani kilikufanya ufungue id nyingine ?