Aibu nyingine inatokea usiku wa leo

Aibu nyingine inatokea usiku wa leo

Numero Uno

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
653
Reaction score
1,421
Baada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa

Sasa kesho bigwa wa mbinu na bigwa wa knockout Tomas Tuchel atawaonesha ubovu wa Argentina
 
Its coming home

1784068736567.png
 
Mashabiki wa Ronaldo kazi kuhama timu tuu.
Amna watu naona majinga kama nyie mnaoongela ushabiki wa mchezaji mmoja mmoja , Bro umeanza kushabikia mpira baada ya ujio wa azam tv?

Sema sababu za argentina kushinda, mambo ya Ronaldo ya nini hapa?
 
Mbona una hasira we pimbi?

Argentina kacheza na kibonde gani unaujua mpira au unatumia hisia?

Cape Verde ni kibonde?

Cape Verde mpaka anatolewa kombe la dunia hajafungwa game yoyote ndani ya dakika tisini unawezaje kumuita kibonde?

Unajielewa kweli we dogo?

Halafu kuhusu timu za kucheza nazo Argentina kapangiwa hajajipangia ye mwenyewe.

Ulitaka akatae kisa guluguja kama wewe unaona ni timu dhaifu?
 
Amna watu naona majinga kama nyie mnaoongela ushabiki wa mchezaji mmoja mmoja , Bro umeanza kushabikia mpira baada ya ujio wa azam tv?

Sema sababu za argentina kushinda, mambo ya Ronaldo ya nini hapa?
Ronaldo alipangiwa Uzbekistan,Congo na Colombia na kashindwa kutoboa mtu wa kwanza. Yaan wao ndo walibebwa balaa
 
Baada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa

Sasa kesho bigwa wa mbinu na bigwa wa knockout Tomas Tuchel atawaonesha ubovu wa Argentina
Baki na uingereza yenu ndio timu mliobakinayo, sisi Argentina na spain mtuachie timu zetu
 
England nae ni mwafika tu...alisikika mtufudenge mmoja kutoka pale jiji Lisbon
 
Back
Top Bottom