Hataki kabisa kuendelea raund nyingine

Hataki kabisa kuendelea raund nyingine

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
45,277
Reaction score
37,054
Je,
inaweza kua motro wa round ya kwanza ulikua mkali sana?
Au mshedede unasukutua hadi unagusa maini na mapafu yake?

Ana changamoto ya afya ya via vya uzazi au kisaikolojia?

Je,
hakuandaliwa kikamilifu au amechoka baada ya kutoka kwenye shughuli nyingine nzito zaidi, sehemu nyingine inayofanana na inayoendelea?

Nini hasa inaweza kua sababu ya kugoma kabisa au kudinda kuendelea na round ya pili, ya tatu au ya nne ya mnyanduano?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Atakuwa kesha chakata mbususu nyingine huko, pengine 3some kabisaa
 
Back
Top Bottom