nyimbo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wasanii waungana kutoa wimbo wa kuelimisha jamii kuhusu Corona

    April 4, 2020 CORONA : WASANII WAUNGANA STUDIO KWA MARCO CHALI KUTOA NYIMBO YA KUELIMISHA JAMII Wanamuziki wakongwe wameamua kuingia studio ili kutengeneza wimbo maalum kuelimisha umma juu ya.janga la gonjwa la Covid - 19. Source : millard ayo
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kati ya hizi nyimbo za Corona upi umekubamba?

    1. Corona ya Rayvany 2. Corona ya beka flavour 3. Corona ya Lava Lava 4. Corona ya Dogo Silla 5. Corona ya Mzee wa Bwax 6... 7.... 8.... Binafsi nimeilewa ya lava lava, ina melody kali mno sema ni vile dogo ana nyota ya kunguni kabisa no one who care about him. Je, upande wako ipi umeilewa?
  3. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania Kwa nyimbo hizi, nachelea kusema Rayvanny ndiye King of Romantic Songs kwa sasa

    Leo nimeingia YouTube niangalie nin kinatrend Bongo, nikakuta wimbo wa Rayvanny unaitwa Ex Boyfriend, bonge moja la pini. Huyu mwamba nimempigia saluti anaimba vitu real sana na very romantic kwa kweli. Unasikiliza hata kama una stress zinakuhama kidogo. Kwa nyimbo hizi nimempigia saluti. 1...
  4. test man

    JamiiForums Tanzania Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

    Please msaada jamani naombeni anayejua wimbo wowote mzur wa Roman Catholic
  5. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Eti nyimbo ya ''Usimchezee Chatu'' inamzungumzia kiongozi fulani wa nchi?

    Hii nyimbo nilikuwa naisikia nikiwa mdogo,kwa akili yangu nikaelewa kama anaimbwa chatu kweli kwani ni mnyama hatari tuliambiwa anameza watu Lakini leo hii nimesisikia tena lakini mashairi yake yanaonyesha kama haimbwi chatu kweli, ni kama anaimbwa mtu ambaye anapoteza watu maana kuna sehemu...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania #afroeastalbum... Thread maalum kupata update za album , tyari nyimbo 18 zimpostiwa na kondeboy

    Msanii anaekuja kwa kasi ya moto.. Harmonize amepost list ya track zitakazokuwepo kwenye album yake. Aisee kazi ipoooooo
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

    Polisi ya Rwanda imetangaza kwamba msanii maarufu wa nyimbo za injili, Kizito Mihigo amekutwa amejinyonga kwenye Kituo cha Polisi. Kwa mujibu wa tangazo la Polisi, maiti ya msanii huyo imepatikana katika chumba alichokuwa anazuiliwa kwenye Kituo cha Polisi mtaa wa Remera, mjini Kigali. Polisi...
  8. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

    Habari zenu wapendwa katika mimi! Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani. Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop. Do Better - Chris's brown Die For You - The weekend...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kati ya hizi Nyimbo za Diamond alizowaimbia Zari na Wema, zipi zilikuwa Kali, je ndo alipendwa zaidi

    Katika maisha ya mapenzi ya Diamond amekuwa akiimba nyimbo kali na za hisia hasa anapokuwa katika mahusiano. Kati ya wapenzi wake wawili tu ndo wameimbiwa nyimbo nyingi, yaani wema na zari. Sasa kwa kucheki ni collection ipi Ina nyimbo kali tunaweza jua nani alikuwa anapendwa zaidi akatungiwa...
  10. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

    Hi guys.. Kuna wasanii wana bahati sana wao kila nyimbo wakiimba ni hit, au wakiimba inakua nzuri sana. Mimi wangu ni hawa.. Runtown G nako (akishilikishwa) Jux Celine Dion Enrique Iglesias Sia Katy Perry Paul okoye (Rude boy) Kala Jeremiah David Gueter Dj Snake Westlife P Square Lucky Dube...
  11. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Mwenye wimbo wa Sugua wa Jux naomba anitumie

    Wazee samahanini kwa kuwaingilia ndani ya masaa ya kazi. Nilikua naomba mwenye hilo Pini la Sugua lenye sauti ya juu. Maana copy niliyonayo mimi haina sauti af kila nikidownload nakutana na ile ile ambayo haina sauti. ==...
  12. Akili Unazo!

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujiunga na Kwaya Yoyote Yenye Nyimbo za Kugusa Mioyo ya watu

    Wakuu.. Navuviwa na Karama kuponya mioyo iliyopondeka kwa adha mbali mbali kupitia huduma ya uimbaji? Naomba kama kweli kuna Kundi ambalo linaimba kwa haki na Kweli na Nyimbo zao zina Gusa shida za watu na kupitia nyimbohizo Ushuhuda na Uponyaji hutokea naomba connections? Mimi ni mtunzimzuri...
  13. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Marijani Rajabu vs Mbaraka Mwinshehe : hizi ndio nyimbo zinazo watoa droo

    Katika Mpambano ambao huwa ni Mgumu ni huu wa Hawa Miamba wawili wa Muziki wa kale. Unapo sikiliza basi akili na amoyo wako vitaegemea kwa unaye msikiliza. Hizi ndio Nyombeo zao zinazo toa Droo na kukosa Majibu. Inagawa kwa mimi Binafsi namuweka Marijani juu kidogo kwa ailimia tano tu yaani...
  14. Semeni People

    JamiiForums Tanzania Siasa za Nyimbo: Maisha ya kuboresha ndani ya uoga asilimia 100

    Huwa wanaimba nyimbo za wanawake lakini ndiyo mfumo wa maisha ya Mtanzania kuwa ni kisiwa cha amani. Ikifika kwenye kuboresha vitu kama majengo, kilimo, uvuvi, mifugo n.k utakutana na ubaguzi mkubwa sana hapo ndipo episode za movie huishia tukutane kwenye movie nyingine. Hongera Kayumba huu...
  15. IAmShedeOne

    JamiiForums Tanzania Zuio la kupiga nyimbo za Diamond: Ni watangazaji au wamiliki wa vituo husika?

    Kamwene! Binafsi si mfuatiliaji wa visa na mikasa ya wanamuziki hasa `Bongo`. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia juu juu kuwepo kwa kinachosemekana kuwa 'beef' kati ya msanii Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond Platnumz na baadhi ya vyombo vya habari nchini. Clouds Media, IPP Media na EFM...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kushare nyimbo za Kisukuma

    Bhanamhala mhu le mhola hene? Uzi huu mahususi wa kushare ama kushirikishana nyimbo zozote za kisukuma ili kudumisha mila na tamaduni zetu. Kwa sababu wasukuma tunasifika kwa kuwa wapole na wakarimu. basi uzi huu unaruhusu pia makabila mengine kuweka nyimbo zilizoimbwa kwa lugha zao ili tuweze...
  17. wilcoxon

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda nyimbo za injili tukutane upendo TV

    Ujio wa hii channel mpya ya upendo TV kwakweli nimeufurahia, zinapigwa nyimbo za injili muda wote. Kwa sisi wapenda nyimbo za injili hili ni la kupongezwa Pia jamaa wanapiga nyimbo zote bila ubaguzi tofauti na wale wenzetu wa j/mosi, hapa naona kabisa wanafanya kile YESU alichoagiza, kutangaza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za Uchumi wa wananchi katika nyimbo za Nigeria na falsafa ya "Nchi iliyopata MAENDELEO fedha haina samani"

    Afrika ni nchi kubwa ambayo kwa uhalisia wake inawatu wanaotumiana sana kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket" Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuhalisia...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za nyimbo tuwapongeze wasanii hawa kupelekea utamu wa siasa 2020

    Uteuzi wa wanasiasa katika nafasi ya Ukurungezi wa Halmashauri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala, Viti Maalumu, WABUNGE, Ubalozi wa nchi mbalimbali utasaidia kukutana na wanasiasa wenye jeuri ya FEDHA na Dharau ya maamuzi... Utamu WA Siasa upo hapa mwenye maoni atume Kwa makamu wa...
  20. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo ni za aina gani?

    Habari wakuu, Naomba msaada wenu vijana wa miaka miaka 80 na 90. Nasikia kipindi hiko kuna muziki ulikuwa unaitwa chachacha sijui chakacha. Ninataka kufahamu officially genre ya hizo nyimbo zinaitwaje ili niweze kuzipakua. Kama unajua nyimbo hizo orodhesha. Baadhi ya nyimbo hizo ni hii
Back
Top Bottom