nyimbo

  1. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini nyimbo nyengine haziimbwi hovyo,nilichezea banzi!!.

    Nikajivika ukongoman mzee si alikuwa anapenda nyimbo zakikongo,siku moja wapo wageni nikaimba haka kakipengele kwenye huu wimbo.. Sasa inavyosound ndugu acheni tu! Tusichanganye lugha za watu maana kwa ule mmbanzi mpk wageni ilibidi waage tu!.. Lilitua banzi la shingo nikahisi leo ndo ile siku...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tamasha la nyimbo za CCM Zanzibar ovyo - Mgombea Urais asepa kiaina

    Nilijua tu hakuna kitu pale tamasha la kuwaburudisha wananchi lilikuwa ovyo sana ukiangalia kwa makini waliohudhuria ni wachache sio matarajio ,kiasi ya kubadilisha mada na kuliita tamasha la nyimbo za uchaguzi na huku mgeni wa heshima kuambia amehudhuria kwa sapraizi,wanadanganyana wenyewe kwa...
  3. waterproof

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za wanaharakakati kama kina roma zina mchango gani msimu huu wa uchaguzi?

    Vipi wadau me naona Roma ashushe moja ya kiwanaharakati tumemisi hivyo vitu sana maana sabufa zina vumbi mno
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wasanii msitunge nyimbo za kutundika darini

    Mfano, Cosmas Chidule aliimba nyimbo nzuri kuhusu makao makuu Dodoma, lakini aliiharibu kwa kuitaja CCM kwakuwa wakati anaitunga nchi ilikuwa ya chama kimoja. Ziko nyimbo za furaha, huzuni na matukio ambazo wasanii wetu wanafanya kazi kubwa ya kuzitunga lakini zinageuka big G baada ya muda...
  5. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Hii style ya Harmonize kuchukua beat na kurudia nyimbo atakuwa ametoka nayo huko alikotoka?

    Salama wakuu! Ipo hivi najua kila mtu ashasikiliza ile album yake sasa mle naona kama kuna nyimbo nyingi nyingi kachukua beat mfano wimbo wa "body" harmonize ft burna boy, kachukua beat na neno "Show me the way" wa kwake Papa wemba, tuje wimbo wa Hainistui kachukua beat ya Mr. Nice na huyo...
  6. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Nimeweka nyimbo kwenye memory na kuangalia kupitia DVD kwa kutumia Card Reader zina scratch (zinakwama kwama). Shida nini?

    Wakuu natumia TV ya kawaida. Baada ya kupitia mambo ya convention kuanzia 780p naandikiwa unsurported format ila 480p ndio inakubali kuonesha lakini scratch nyingi. Nimechomeka kupitia deki na card reader yangu imeandikwa Micro SD USB 2.0 Shida inaweza kuwa nini wakuu?
  7. dosama

    JamiiForums Tanzania Lema: Vijana wa CHEDEMA wanyimwa dhamana Singida kisa kuimba nyimbo ya Taifa na bendera ya chama

    Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama. Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hii nyimbo ya zamani inayoitwa "Supastaa wa Bongo" nitaipataje?

    Iliimbwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwenye TV, ilikua inaimbwa hivi, "Superstar superstar, superstar wa bongo, superstar superstar kuwa na usongo".
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi huyu SPARK msanii aliyetamba na nyimbo yake ya USINIACHE?

    Habari nataka kujua huyu msanii SPARK yupo wapi? Je, anaendelea na muziki au ameacha? Nakumbuka alitamba sana na Nyimbo yake ya USINIACHE?
  10. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Marioo unatakiwa Ubadilike sasa sio kila siku nyimbo hizo hizo za kulalamika?

    Wakatia Anaanza alikuwa vizuri, lakini naona sasa toka atoe aya naona ndo vile vile nyimbo zinazofata ni kulalamika kama kwenye Aya, Marioo badilika tunataka sasa utoke nje ya East Africa Nenda Nigeria, Congo, Kuimba una kipaji ila inabidi ujitahidi kuangalia hayo maeneo, pia nyimbo za mapenzi...
  11. Rolandi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhamisha nyimbo toka PC kwenda iPhone 7

    Nashindwa kufanya hivyo, sio kwa cable wala bluetooth. Any suggestion?
  12. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Msaada Nyimbo za kwaya HURU waimbaji wa sifa

    Wakuu habari za mida hii! Wakuu naombeni Msaada kwa mwenye nyimbo za kwaya ya Huru waimbaji wa sifa, Anisaidie kunitumia WhatsApp nimejaribu kutafuta Google,Youtube na kwenye vibanda wanakoingiza nyimbo kwenye simu, Lakini sikufanikiwa Ingawa ni kwaya ya zamani lakini naamini humu JF ni...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Wabunge na Viongozi wa Upinzani waliogoma kuuza utu wao

    Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa. Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

    Mfalme muda wowote kuanzia sasa anaenda kuachia pin Mpya inayokwenda kwa jina LA so hot. Ni ngoma matata usipime ===============
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mtanzania ahamasisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili

    Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili Serious nimependa sana. Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuache utimu: Kuna nyimbo inayofikia hata "Matatizo" tangu Harmonize aanze kujitegemea

    Binafsi naona kijana nyimbo zake ndio ni nzuri ila tu kwa sasa zimekua na uzuri wa levo za kawaida tu, sio kama za yule harmonize tuliemjua wa kwangaru, firewaist, matatizo, n.k Kwa sasa kwanza niseme tu kijana kajipa mzigo mkubwa kwa hulka nazoweza kusema za kuonyesha watu kwamba anaweza zaidi...
  17. Fibonacci

    JamiiForums Tanzania Naombeni List ya nyimbo za hiphop ya bongo, zilizokuwa mixed na nyimbo za zilipendwa (zile za zamani)

    Mfano nyimbo ya tamaduni music - Jemedari au NashMc - Mapendo...... Natanguliza shukrani
  18. el nino

    JamiiForums Tanzania WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

    Hawa watu wajanja sana, wameachia wimbo wao mpya ambao nina uhakika utatrend sana kwenye mitandao hasa huu mpya Tiktok unaoongoza kwa kuwa downloaded hivi sasa. Wasanii wengine chukue somo hapo, maana mtalalamika mnarogwa/logwa kumbe mchawi wenu ni nyie wenyewe
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mapambano ya korona: TEC yatangaza kusitisha matumizi ya kwaya kanisani

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ‘TEC’ limetoa tamko kutekeleza agizo alilotoa Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Aprili 15, juu ya kujilinda na #COVID19 kwenye masuala ya ibada TEC imeamua kusitisha mazoezi ya kwaya ili kuepuka mikusanyiko. Pia nyimbo wakati wa ibada zimesitishwa ili Ibada...
  20. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

    Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya, mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu...
Back
Top Bottom