Hiki ndiyo Kibao cha kuonyesha Nyerere Road Pale Tazara Daraja la Mfugale

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,444
8,319
Great Thinkers

Hii ndiyo bongo aka nchi ya watu wasielewa wanataka nini.

Mimi naamini uwekaji wa mbao za anwani ya makazi ulikuwa ni ufisadi uliopitiliza.

Acha akina isack.mwigulu waje wachukue usukani wa baba zao.

Imagine hiki hapa ndiyo kibao kuonyesha nyerere road pale mfugale afu kuna watendaji wa serikali wanasema wanaupiga mwingi..

Hatujawahi kuwa serious hata kidogo.
20231211_181512.jpg
 
View attachment 2849278
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni wenyeviti wa mitaa wachache sana, sawa na hakuna ndio hurudishia vibao vilivyoharibika/kuharibika. Karibu nchi nzima vibao vimeharibika ndani ya muda mfupu, haijulikani ni washenzi gani wanaharibu vibao hivi, vile vya nguzo za miti mchwa wamekula vimeanguka na hakuna anayejali kuvichimbia tena.
 
Unataka apewe kesi ambayo hata weza kujitetea. Leo ukirekebisha barabara Tanroads ama Tarura wanazaa na wewe, inabidi uombe kibali.

Labda umshauri aende kuomba kibali
Akichukuliwa hatua yoyote kwa kufanya hivyo nadhani wanaohusika watakuwa wamekosea pakubwa sana ukiachana na sheria inavotaka
 
Ni wenyeviti wa mitaa wachache sana, sawa na hakuna ndio hurudishia vibao vilivyoharibika/kuharibika. Karibu nchi nzima vibao vimeharibika ndani ya muda mfupu, haijulikani ni washenzi gani wanaharibu vibao hivi, vile vya nguzo za miti mchwa wamekula vimeanguka na hakuna anayejali kuvichimbia tena.
Havikuwa na ubora wowote ndiyo maana karibia vyote vipo chini Tanzania nzima.

Nitakuletea na cha Road nyingine Maarufu hapa mjini
 
Kimelegea hicho mkuu,inamaana kilikuwa juu. Ni uzalendo unatakiwa hata wewe uliyepiga picha unaweza kikupandisha,yaani tunafanya wewe ndyo wa kwanza kukiona.
Umeona kimebanwa na rivet tool haiwezekani mpita njia bila kifaa bila ruhusa ya TANROADS au sijui TCRA kitengo cha anuani za makazi uende ukakate za mwanzo uanze kuweka mpya au screws.
Wahusika wakague na kurekebisha.
 
Wamelala wanamchangia Bitozo hela ya form ya uraisi.
 
Lakini kiko sahihi kwasababu kinaonyesha Nyerere aliko! Kwani alipotutoka tulimpeleka wapi? Tuwe serious kwenye mambo serious! Eboooh!
 
Unataka apewe kesi ambayo hata weza kujitetea. Leo ukirekebisha barabara Tanroads ama Tarura wanazaa na wewe, inabidi uombe kibali.

Labda umshauri aende kuomba kibali
Mkuu hii inasababishwa na nini kwamba wanahisi umewadharau kusimamia majukumu yao au wivu tu.
Hawajui kuwa usipolea mwanao utalelewa!!!
 
Back
Top Bottom