Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,640
35,953
Mada juu yahusika.
Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni.
Mara xax, Xmas, meme, ko n.k
Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika.
Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni?
Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na wanaume 4 kwa wakati mmoja.
 
Tafuta rika yako braza
 
Anyway mimi pia nikishaona mtu analeta hizi habari namkaushia tu😂😂😂😂nshakutana na manzi yupo chuo diploma 😃😃yani ni mikato mikato tu,nikaona wacha nibadili gia angani tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom