Serikali iwe makini na sheria mpya za kutoza kodi hasa BRELA, TRA N.K

moghaka

JF-Expert Member
May 16, 2011
252
143
Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinazokusanya mapato hivi karibuni zimepewa au kuanzaisha namna ya kuongeza mapato yao kupitia sheria mpya,

Mfano BRELA wana sheria ya Kufile Beneficial Ower Details kabla 31, dec,21 kwa makampuni yote, na wanadai kutofanya ivyo faini yake ni kati ya 5 to 10 million shs.

Kwanza kabisa jamii iliokubwa haina taarifa yeyote ya uwepo wa sheria mpya hizi
Then watumishi wa serikali kama wanavizia tu jamii iingie kwenye mtego then dhuluma ianze kama vile traffic wanavyo jificha vichakani ili kuwakamata madriver na vipbao havipo.

Sheria kama hizi zinaweza kufanya yafuatayo:
1. Kuongeza sana mianya ya rushwa
2. Kuua kabisa UJASRIAMALI NCHINI(Wafanyabiashara wazawa chipukizi)
3. Kukuza gap kubwa kiuwezo lililopo kati ya makampuni ya wazawa na makampuni ya nje.
4. Hatimaye resikali kukosa aidha kupungua mapato yake

Tunaomba sheria hizi zizingatie kuwa nchi hii imetoka kwenye ujamaa, haina wajasriamali wazawa wa kutosha na ndio sasa wanazaliwa na kulelewa kwani uchumi wote uko mikononi ya wageni tena jamii za kieshia tu ni wakati sasa tuwajenge watu wetu.

Makampuni ya wazawa itabidi kufungwa kama sio kufilisiwa kabisa
 
MAZINGIRA YA BIASHARA KWA STYLE HII ITAKUWA NGUMU
 
Yani hawa jamaa wakilala,wakija kuamka ni kuja na kitu kipya cha kupiga hela tu.

Hiyo beneficial owner,yani basi tu aisee.
 
Back
Top Bottom