njombe

  1. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Njombe Airport kuanza kujengwa

    Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa KM 3.5 .
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Ludewa - Njombe wadai wanagongwa mihuri mgongoni kimiujiza

    Wakazi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamelalamikia kugongwa mihuri kimiujiza katika maeneo ya mgongoni, huku wakielekeza tuhuma hizo kwa baadhi ya wazee wa kijiji cha Kilima hewa. Wakazi hao wamelazimika kuitisha mkutano maalumu ili kujadili suala hilo ambapo wamesema, awali tatizo hilo...
  3. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wananchi Wagongwa Mihuri Kichawi Migongoni

    𝗪akazi wa wilaya ya ludewa mkoa wa njombe wamelalamika kugongwa 𝗠IHURI kimiujiza katika Maeneo ya mgongoni, huku wakielekeza tuhuma hizo kwa baadhi ya wazee wa kijiji cha kilima hewa. Wamelazimika kuitisha mkutano maalumu ili kujadili suala hilo ambapo wamesema, awali tatizo hilo liliripotiwa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Njombe kwenda Songea haina viwango vya barabara za mkoa

    Kila mwak napenda kuzurura mikoa mbalimbali nchini ili kujionea hali ya nchi yangu, safari hii nimeeda Songea kupitia Morogoro, Iringa, Njombe. Ukitoka Dar barabara zina unafuu sana hadi Njombe, ila kutoka Njombe kwenda Songea barabara imekaa kama barabara ya wilayani ilitotengenezwa na TARURA...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania NJOMBE: Watu 61 wadai talaka ndani ya miezi 6

    Wanandoa 61 wamepeleka maombi ya talaka kwa ajili kuvunja ndoa zao katika Baraza la Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe kwa kipindi cha mwezi mmoja na wiki mbili kuanzia November hadi December 20 mwaka huu. AyoTV imezungumza na Mwenyekiti wa Baraza hilo Muhimba Payovela...
  6. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila. Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Njombe na Mbeya yaongoza tena kwa Maambukizi ya UKIMWI Tanzania

    Utafiti wa Hali ya UKIMWI nchini (Tanzania HIV Impact Survey - THIS 2022/23) umeonyesha kiwango cha maambukizi ya UKIMWI kwa watu wazima (miaka 15 na zaidi) kuwa kimepungua kutoka asilimia 4.9 mwaka 2016/17 hadi asilimia 4.4 mwaka 2022/23. Mikoa mitatu yenye kiwango cha juu cha maambukizi...
  8. Bongo Trust

    JamiiForums Tanzania Naomba Guta la mkataba Njombe

    Wakuu kama post inavyo jieleza, mimi ni dereva wa Bajaj na Guta mkoa wa Njombe wilaya ya Makete na leseni ninayo. Ninauhitaji na guta la mkataba aina ya Sinoray Q7 kama hili nililoweka kwenye picha. Dukani Guta hili linauzwa million sita na laki saba (6.7M) Mkataba utakuwa wa muda usio zidi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TV 15 zaibwa hospitalini Njombe. Mkuu wa mkoa azunguka mitaani kuzisaka

    ======= Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemuelekeza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuwasimamisha kazi baadhi ya Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe akiwemo Katibu wa Afya, Watu wa Idara ya manunuzi pamoja na Idara ya TEHAMA ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa TV 15...
  10. OLS

    JamiiForums Tanzania Njombe ilinyofolewa kutoka Iringa leo ina watu wachache kuliko mikoa yote Tanzania Bara

    Naendelea kuchunguza hizi takwimu za sensa za mwaka 2022 na kuendelea kujiuliza sababu ya kugawanya mikoa na wilaya. Kwa watoto lazima mjua baadhi ya mikoa ilikuwa wilaya tu awali, mikoa hiyo ni pamoja na Songwe, Katavi, Geita na Njombe. Leo nimeangalia mkoa wenye watu wachache nchini Tanzania...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kila siku kuna mtu anauawa au anajiua Njombe; nini mkakati wa Tanzania kudhibiti hali hiyo?

    Kasi ya watu kujiua Njombe ni kubwa sana kama ilivyo kasi ya wananchi kuwaua wenzao. Wengi wanadai ushirikina ni mkubwa sana na umepelekea hali hii kuongezeka. Kama tuliweza kuondoa mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi tunashindwa nini kuendesha msako wa kuwabaini wachawi? Naamini...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Maonesho ya SIDO Kitaifa Mkoani Njombe Yavutia zaidi Wajasiriamali Kuonesha Bidhaa Zao Ikilinganishwa na Miaka ya Nyuma

    Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho hayo. Kigahe amesema kuwa mikoa yote nchini imeleta washiriki kwenye maonesho hayo kwa siku 10 na kutoa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania NAIBU Waziri TAMISEMI, Mhe Dkt. Festo Dugange - Tsh. Bilioni 8 Zimepelekwa katika Mkoa wa Njombe kwa ajili ya Ununuzi wa Vifaa Tiba

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Dkt.Festo Dugange amesema ndani ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Sh. Bilioni 8 zimepelekwa katika Mkoa wa Njombe kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba. Mhe. Dugange ameyasema hayo akiwa katika ziara ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mvua iliyoambatana na upepo mkali yaezua ofisi za walimu

    Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyoanza kunyesha majira ya saa tisa alasiri usiku wa kuamkia leo imeezua paa la jengo la utawala la ofisi za walimu na baadhi ya vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Ikonda iliyopo wilaya ya Makete mkoani Njombe Mwalimu mkuu wa shule hiyo Enelika...
  15. Mrao keryo

    JamiiForums Tanzania Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

    Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri. Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Njombe: Aliyeshtakiwa kwa kuwabaka Wanawake kwa zamu na kuwaingizia matango sehemu za siri ahukumiwa miaka 180 jela

    Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemhukumu Juma Msemwa (27) na Mkazi wa Njombe, kutumikia kifungo cha miaka 180 jela kwa Makosa 6 ya ulawiti na ubakaji, ambapo kila kosa anatakiwa kwa miaka 30. Akisoma hukumu ya kesi hiyo namba 53 ya Mwaka 2023, Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Njombe Matilda Kayombo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

    Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe. Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa...
  18. Desierto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeghairi kula tunda baada tu ya kuniambia ameishi njombe zaidi ya mwaka

    Kuna demu nimemtongoza akaeleweka lakini aliponiambia tu amewahi kuishi njombe zaidi ya mwaka mmoja, stimu zimekata kabisaa, hii ni kutokana na story ninazozisomaga humu jf kuhusu njombe Asanteni
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwanasheria wa Halmashauri afikishwa Mahakamani kwa Kuomba Rushwa ya Tsh. Milioni 1

    Ni Apolo Elias Laiser ambaye amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya na kufunguliwa Shauri la Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 1,000,000 kinyume na kifungu cha 15(1),(a) na (2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329. Mwanasheria huyo ameshtakiwa kwa kuomba Rushwa...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Njombe: Lori lapata ajali na kusababisha vifo vya wahamiaji haramu 6 waliokuwa wakisafirishwa kwenye tela

    Polisi mkoa wa Njombe wanamsaka dereva na kondakta wa gari aina ya Scania yenye namba za usajili T.501 AGJ waliosababisha ajali eneo la Iyai na kupelekea vifo vya watu sita na majeruhi nane wote Raia wa kigeni wakisadikika kuwa ni kutoka Ethiopia. Akizungumza katika eneo la tukio kamishna...
Back
Top Bottom