njombe

  1. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mkoa wa Njombe una kijiji kinachomilikiwa na aliyekuwa Malkia II wa Uingereza

    Wakuu kwema? Katika pitapita zangu mtaani nimesikia barabara ya Njombe - Songea imejengwa na Malkia wa Uingereza na kwamba Hayati Queen Elizabeth II ndiye mmiliki wa mashamba ya chai maeneo hayo. Ila kubwa zaidi ni kuwa, Njombe kuna kijiiji kizima ambacho ni mali ya Malkia huyo. Je, hili lina...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Iringa: Akamatwa na meno 7 ya tembo katika nyumba ya kulala wageni

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limemkamata Jacob Mhanga (54) Mkazi wa kijiji cha Utiga Mkoani Njombe akiwa na meno saba ya Tembo katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amesema Mtuhumiwa huyo alikutwa katika nyumba ya kulala wageni katika kijiji cha...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: Amuua Mama yake mzazi na kisha Kumbaka

    Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, Ubatizo Sanga mwenye umri wa miaka 55 amefariki baada ya kupigwa na mchi wa kinu kichwani na baadaye kubakwa na Mtoto wake Asifiwe Haule mwenye umri wa miaka 25. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hadhari ya Baridi kali Mbeya, Njombe na Iringa

    “Hali hii ya upepo na baridi inatarajiwa kwenda hadi mwezi Agosti, Septemba ndo hali ya joto itaanza kushuhudiwa, hivyo watu wajipange hasa katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe ambapo huko baridi zaidi hushuhudiwa.” – Rose Senyagwa, Mchambuzi wa hali ya hewa TMA. @tanzaniameteorological...
  5. Lambo jini

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (KE) Njombe

    Mimi kijana (ME) wa miaka 25, natafuta mchumba serious, awe na miaka 22-30 Nipo mkoa wa Njombe. Nimeajiriwa kipato 200k kwa mwezi. Shukrani.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Njombe: Vijana wagomea kumzika kijana mwenzao wakihoji kwanini Wazee hawafi?

    Baadhi ya vijana wa mtaa Kikula na Kipagamo halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wamezua taharuki makaburini na kusababisha masikitiko kwa wazee wa mitaa hiyo baada ya kitendo cha kugoma kuushusha mwili wa marehemu Peter Kibiki (30) kaburini na kuuzika wakihoji ni kwanini vijana...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wananchi wafunga ofisi ya kijiji wakidai mwenyekiti anahujumu uchumi wa kijiji

    Wananchi wa kijiji cha Ngelenge wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamelazimika kuifunga ofisi ya mwenyekiti wa kijiji chao Bwana Thomas Mkinga wakimtuhumu kuwa anahujumu uchumi wa kijiji huku wakimtaka ajiuzulu kwenye nafasi yake. Frolence Haule ni mmoja wa wananchi wa kijiji hicho ambapo amesema...
  8. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

    Shalom wapendwa, Leo nimekumbuka kisa hiki, kilichonitokea mwenyewe nikiwa katika harakati Mkoa wa Njombe. Narudia tena hii sio stori ya kufikirika imenitokea mwenyewe. Uchawi hauna faida yoyote ni ujinga uliokomaa, ni utumwa. Walio wachawi wanamani kutoka ila there is no way out there...
  9. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Lori lililoibwa Ruvuma lapatikana Njombe

    Lori aina ya Howo, Tiper lenye namba za usajili T 459 EBX, mali ya kampuni ya CRCG inayojishughulisha na uchimbaji wa makaa ya mawe, lenye thamani ya Tsh. Mil. 150/=, lililoibiwa mkoani Ruvuma, limepatikana katika Kata ya Ramadhan iliyopo mkoani Njombe. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Mkoa wa...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe. Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Profesa Kapuya alitapeliwa na kampuni ya Kilimo cha Vanilla Njombe

    Matukio ya watu kutapeliwa kwa njia ya Upatu yamekuwa yakishamiri nchini na hii inahusishwa zaidi na ndoto za baadhi ya watu kutaka kutajirika kwa haraka huku wanaotajwa kuwa wasimamizi wa miradi hiyo wakitumia mbinu za ushawoshi
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Njombe marufuku kula nyama ya nguruwe.

    Serikali Wilayani Ludewa Mkoani Njombe imepiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe, kuingiza mfugo wa Nguruwe pamoja na kutumia mazao yoyote ya Nguruwe ikiwemo Damu, samadi, mifupa na nywele kwa muda usiojulikana isipokuwa kwa idhini ya Daktari wa mifugo wa Wilaya hyo. Taarifa iliyotolewa na...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: Zaidi ya 30% ya Wakazi wa Vijijini wana Ugonjwa wa Usubi

    Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Dk. Isaya Mwasubila amesema Tafiti zimebaini Maambukizi makubwa katika maeneo 4 ambayo ni Itipula ina 30%, Igola 11.22%, Mji Mwema 5.68% na Mamongolo 4%. Kutokana na hilo, Wizara ya Afya imeanza kampeni ya kutoa Dawa ili Kuwakinga Wananchi ambao...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Mwanza, Tanga na Njombe inaongoza kwa Wanawake wanaomiliki Nyumba zao wenyewe

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8. Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5. Orodha ya Mikoa yote...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

    Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima. Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Asilimia 75 ya miradi ya maendeleo Njombe yakutwa na kasoro baada ukaguzi wa Takukuru

    Jumla ya miradi ya ujenzi ya maendeleo 12 kati ya 16 ( sawa na asilimia 75) katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya Taasisi ya upambana na kuzuia rushwa mkoa wa Njombe kufanya ukaguzi. Akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi katika kipindi cha miezi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: Majambazi wateka Magari na kupora fedha, simu

    Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamia magari zaidi ya saba (7) ikiwemo magari ya mizigo pamoja na basi la abiria katika eneo la Nyaliva katikati ya kijiji cha Nyombo na Kidegembye barabara ya Njombe - Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe wakidaiwa kupora fedha na simu za Abiria...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wanaodhaniwa kuwa wachawi wanasa Njombe

    Wanawake wawili, wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga wakazi wa Wilaya ya Makete, mkoani Njombe wanaofanya shughuli zao ujasiriamali mjini Makambako wamezua taharuki mjini Njombe baada ya kuganda ghafla barabarani wakishindwa kusema chochote na kutembea kwa zaidi ya saa moja huku...
  19. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

    Mkoa wa Njombe: Mkoa wa Njombe una Halamashauri 6 ambazo ni Njombe Mjini, Vijijini, Ludewa, Makete, Wangingombe na Makambako. Wenyeji wa Mkoa wa Njombe 70% ni wabena, ambao wanapatikana Wilaya za Njombe mjini,Vijijini, Makambako, Wangingombe na wakinga-Halamashauri ya Makete na Halamashauri ya...
  20. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Njombe: 75% Wanawake gerezani wameua waume zao

    Habari ndugu! Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geophrey Pinda, leo Jumanne, bungeni jijini Dodoma amesema si wanaume pekee wanaoua wenza wao kwani hata baadhi ya wanawake hufanya hivyo hususani mkoani Njombe ambapo wamebaini asilimia 75 ya wanawake walioko katika gereza la mkoa huo wanatuhuma...
Back
Top Bottom