njombe

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Eng Ruth: Tsh. Bilioni 3 zimetolewa matengenezo Barabara zilizoathiriwa na El-Nino Mkoani Njombe

    Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 3 kwa ajili ya kushughulikia Barabara zilizoathiriwa na mafuriko/Mvua za El-Nino kwa mkoa wa Njombe. Fedha hizo zimetumika kuhakikisha kuwa miundombinu yote ya Barabara...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha viazi Njombe kinalipa faida kwa heka 1 ni zaidi ya milioni 8

    Shtukeni wakuu. Mimi nawasanua tu na gharama za kulima heka 1 ni mil 1 tu kila kitu.
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mtoto Mmoja kupewa Baba Wanne, Mfumo wa Kutoa Kadi Kidigitali utapunguza hii, Waziri Mama Gwajima naomba utazame hili

    My take: Ni ajabu na ni kweli mtoto mmoja kuwa na Wababa zaidi ya Mmoja. Wenyewe wanasema Wanawake ambao hufanya hivi lengo lao ni kupata Maokoto kutoka kwa Wababa wengi ilhali anajua mhusika ni mmoja Na hii ni kwasababu mtu ukishapewa kadi unajua Mtoto ni wako Njia moja ya kuepusha haya huko...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe awashukuru Wajumbe kwa kumuamini miaka mitano tena

    Njombe, Tanzania CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa mwenyekiti wa mkoa. Miaka mitano iliyopita CHADEMA iliweza kusimama imara wakati mgumu wa mikutano na...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mtoto wa Miaka 12 akamatwa kwa tuhuma za kumlawiti Mtoto wa Miaka 10 kiasi cha kumuharibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mtoto wa umri wa miaka (12) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la nne (10) katika shule moja iliyopo Makambako mkoani Njombe. Hayo yamebainishwa leo Aprili 13, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga zungumza na waandishi wa...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe! Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na umbo dogo sana lakini akawa ni mtu "mkubwa" sana. Watu wengi wa Njombe wana maumbo madogo, unaweza...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mtendaji wa Kijiji ashtakiwa kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 200,000

    Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022) Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mtendaji wa Kijiji ashtakiwa kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 200,000

    Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022) Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba aomba tena Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye maeneo ambayo awali yaliamini kwamba CCM ni dini , ameomba tena nafasi ya uenyekiti wa Chadema Mkoani...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Geita isipojihadhari, itakuja kuachwa mbali sana na Njombe

    Mikoa yote miwili, Geita na Njombe, inalingana kiumri. Ilianzishwa mwaka 2012. Kila mkoa una rasilimali ya kipekee tofauti na mkoa "mwenzake". Njombe kumeshamiri kwa kilimo, hasa miti ya mbao na nguzo pamoja na kilimo cha parachichi, wakati Geita inatamba kwa uchimbaji dhahabu. Kwa utajiri...
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkoa wa Njombe una vilima vingi?

    Nimeishi Mwanza! Nimefika Chunya mkoani Mbeya. Nimeshafika Iringa. Zanzibar napafahamu. Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi. Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wainuka kati ya Wananchi na TANROAD Njombe

    Kumekuwa na msuguano mkali kati ya wananchi wa Kitulila na Uongozi wa wakala wa Barabara mkoa wa Njombe. Wananchi wanapinga kusudio la Tanroad kuchepusha Barabara ya Njombe Ludewa kwenye mradi wa Itoni-Lusitu wanadai Barabara hiyo inakwenda kuharibu mito kwa itapita kwenye vilima ambavyo ndio...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: 50% ya Wanakijiji wa Utiriri wadaiwa kuwa Walevi

    Asilimia 50 ya wakazi 1,200 wa kijiji cha Utiriri kilichopo kata ya Lupanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamedaiwa kuwa ni walevi hali ambayo inasababisha watoto wao kukosa lishe bora. Afisa lishe halmashauri ya wilaya ya Ludewa John Kiusa ametoa taarifa hiyo kwenye kampeni ya lishe wilayani...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Daraja la Ruhuhu laboresha mawasiliano mkoa wa Ruvuma na Njombe

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe ambalo limekuwa mkombozi kwa wananchi wa Mikoa hiyo. Ameongeza kuwa kukamilika kwa daraja hilo kumewafanya wananchi waishio...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Daraja la Ruhuhu Laboresha Mawasiliano Mkoa wa Ruvuma na Njombe

    DARAJA LA RUHUHU LABORESHA MAWASILIANO MKOA WA RUVUMA NA NJOMBE. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe ambalo limekuwa mkombozi kwa wananchi wa Mikoa hiyo...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kujengwa Upya

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na muda wake kuisha. Bashungwa amesema hayo Wilayani Ludewa, mkoani Njombe wakati akizungumza na...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Rais Samia Anapiga Lami Barabara ya Kibena - Lupembe Mkoa wa Njombe

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuanza ujenzi barabara ya Kibena - Lupembe (km 42) kwa kiwango cha lami ili kuufungua mkoa huo kiuchumi hasa kutokana na kilimo cha chai kinacholimwa katika kata ya Lupembe Halmashauri ya Njombe. Ameyasema hayo mkoani Njombe...
  18. Dexta

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa. Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Hassan Banga amesema Tumaini Luvanda (35) Mkazi wa Dombwela Wilaya ya Makete Mkoani Njombe aliyeuawa kwa kukatwakatwa na panga vipande na kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, na baadhi ya viungo vyake kutupwa Mtoni katika eneo la Kabinda Wilayani...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

    Tumaini Luvanda (35) mkazi wa Dombwela wilaya ya Makete mkoani Njombe ameuawa kwa kukatwa na panga vipande kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili na baadhi ya viungo kutupwa kwenye mto jirani na nyumbani katika eneo la Kabinda wilayani humo ambapo tayari Polisi inamshikilia Juma Kyando (36)...
Back
Top Bottom