Tetesi: Njombe Airport kuanza kujengwa

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,111
18,327
Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa KM 3.5 .

Njombe_Airport.jpg
 
Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa mita 3.5 .
Picha ya Stand ndio airport? Hapo Chauginge ni Mjini au?

Mwisho hakuna Cha ajabu hapo ,Njombe inastahili na uwanja wao utakuwa busy kuliko wa Mbeya Kwa sababu Njombe Ina watu wenye pesa wengi.
 
Kama lengo ni kusafirisha fresh products, hasa matunda, itakuwa ni wazo sahihi.

Na kwa vile ile report ya BoT inasema ndiyo mkoa unaoongoza kwa idadi ya mabilionea, wajenge tu. Ila nina mashaka makubwa ni eneo. Maeneo ya kule kuna milima mingi, lazima ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege utakuwa aghali sana.
 
Ripoti ya lini hiyo?
Weka hapa tuisome!
 
Back
Top Bottom