njombe

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Mwenyekiti wa CHADEMA, Rose Mayemba alivyoliamsha baada ya kubaini madudu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa uchaguzi kama ilivyodhaniwa badala yake ilikuwa ni oparesheni kuwashughulikia wapinzani nchini Rose ameeleza hayo...
  2. Bams

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ludewa, Mkoani Njombe, Majina ya Wagombea Kupitia CHADEMA hayamo Kwenye Karatasi za Kupigia Kura.

    Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha. Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Mbunge wa Makete Festo Sanga apiga kura kuchagua Mwenyekiti wa Kijiji

    Zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa limefunguliwa rasmi leo Novemba 27, 2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi ambapo Mbunge wa Jimbo la Makete, Njombe Mhe. Festo Sanga ni mmoja kati ya wananchi waliotimiza haki yao kikatiba kwa kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa Kijijini cha...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jokate Mwegelo, Helmeti iko wapi kwenye msafara wako wa pikipiki mkoani Njombe?

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe leo Novemba 26, 2024 kwa lengo la kufunga Kampeni Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji zitakazofanyika Kata ya Ulembwe, Wilaya ya Wanging’ombe...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi Buguruni, Njombe waomba viongozi watakao chaguliwa kukabiliana na vibaka

    Wananchi wa Mtaa wa Buguruni Kata ya Njombe mjini Mkoani Njombe wamelalamikia uwepo wa vibaka ambao wamekuwa tishio katika usalama wao na kuwataka viongozi watakaoshinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwenda kuweka mkakati wa kupambana nao. Wananchi hao akiwemo Anna Msigwa na Maneno Ilomo...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Wagombea waonywa kukiuka kanuni wakati wa Kampeni

    Halmashauri ya mji wa Njombe imekiri kuweka sawa mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa hadi kwa makundi maalumu ili yaweze kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu. Mbele ya Vyombo vya Habari Msimamizi wa Uchaguzi wa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi

    Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji wa Njombe, Kuruthum Sadick amesema kuwa kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mpaka siku ya uchaguzi hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi kwa kuwa vijana wa Njombe wanaelewa maana ya uchaguzi. Kuruthum ametoa kauli hiyo wakati...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna mashamba ya sh 150,000/= mkoani Njombe

    Habarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"! Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe. Katika hiyo ziara, nilibaini kuwa mashamba si ghali kwenye hiyo "nchi". Maeneo jirani na mijini ekari moja ni...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Njombe: Kijana aingia matatani kwa tuhuma za kunajisi ng'ombe

    Kijana Shadrack Utungulu mkazi wa kijiji cha Igominyi kata ya Yakobi halmashauri ya mji wa Njombe amejikuta matatani mara baada ya kukutwa akimshika chuchu na mkia ng'ombe asiye wake, na kuingia kwenye kashfa nzito ya kunajisi mnyama huyo. Tukio hili linajiri wakati ambao kuna maelezo ya kijana...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mume amuua mke wake kwa madai ya kuchepuka kwenye ndoa yao

    Wivu wivu wivu wa mapenzi unazidi kutoa roho za watu wengi waliopo kwenye mahusiano ya kimapenzi jamani. ===================== Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia Castory Abusalam Kindole mwenye umri wa miaka 48 mkazi wa Kijiji cha Idindilimunyo wilayani Wanging’ombe kwa tuhuma za...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa kwa kilimo linauzwa Njombe Vijijini

    Habari, Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo. 1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini 2) Ukubwa? Ekari 100+ 3) Umbali toka barabara kuu: 5km 4) Hali yake: halijalimwa mda kidogo 5) Bei?...600k kwa ekari 1 na linauzwa lote kwa pamoja sio kwa ekari moja...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njombe: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa. Kutokana na hadhi mpya, Wilaya ya Njombe iligawanyika kati ya Njombe Mjini na Njombe Vijijini. Pia, mwezi...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Polisi wakamata wafuasi wa CHADEMA waliomshambulia wakala wa CCM aliyedaiwa kusambaza majina hewa

    Polisi mkoani Njombe wamekamatwa watu wawili wa CHADEMA, Emmanuel Raston Ngelime (44) na Obadiah Tedius Chogwa (47) siku ya Jumanne, Oktoba 15, 2024 baada ya video kusambaa, ikionyesha wakiwa wamemzuia na kumhoji kijana aliyejitambulisha kama kijana wa CCM, Antony Mtagawa baada ya kuadaiwa...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Njombe awaongoza Wananchi kujiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ni miongoni mwa wakazi wa Mtaa wa Lunyanywi, Halmashauri ya Mji Njombe waliojitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Zoezi la kujiandikisha linazinduliwa leo Oktoba 11...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatumia Sh Milioni 500 kupata Kituo cha Afya Daraja la Kwanza Kijiji cha Ikondo Mkoani Njombe

    Kijiji cha Ikondo kilichopo Kata ya Ikondo kupata huduma za afya za daraja la kwanza baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya matatu katika Kituo cha Afya cha Ikondo. Akizungumza Oktoba 04 2024 na Wananchi wa Kata ya Ikondo baada ya kuzindua kituo hicho Prof...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Njombe: Prof. Mkenda azindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkendaleo Oktoba 03, 2024 amezindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde iliyopo katika Kata ya Lubonde Wayani Ludewa Mkoa wa Njombe. Akizungumza baada ya uzinduzi huo Waziri Mkenda amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aagiza Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kuanza Kujengwa Upya

    RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu ziarani Mkoani Njombe kwa ajili ya kukagua miradi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewataka Watanzania kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali zinazogusa wananchi moja kwa moja. Akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Njombe, Septemba 20, 2024 wakati wa ziara ya kukagua miradi ya...
  19. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Njombe International Airport (NIA), ready?

  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Njombe yanusurika kuingia gizani kisa moto kuwaka kwenye kituo cha kusambaza umeme

    Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo. Mara tu baada ya kudhibiti moto huo, Kaimu meneja wa TANESCO mkoa wa Njombe Mhandisi Lazaro Bartazai alidokeza kuwa hakuna athari...
Back
Top Bottom