Habari wadau wa jamiiforums
Naomba nikiri kuwa Mimi nimuathirika wa wa utapeli kwa njia ya mtandao.
Mnamo tarehe tatu mwezi Juni 2021, nilipgiwa simu na mtu ambaye alikuwa kwenye ofisi yangu(mfanyakazi wangu) kuwa Kuna mtu alikuwa na uhitaji wa maalumu kutokana na na yeye kuumwa. Akaomba atoe...