njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Chale david

    JamiiForums Tanzania Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
  2. morees

    JamiiForums Tanzania Njia zipi unatumia kudhibiti upotevu wa Data

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ungezeko la gharama za vifurushi vya internet DATA. Ebu tushauriane hapa njia zipi hasa zitasaidia kupunguza matumizi ya DATA. Mimi huwa najiuunga Gb9.5 kifurushi cha mwezi ila mara zote huisha ndani ya wiki mbili tu. Nimejaribu kupata apps ambazo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mchango uliotolewa na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia mmoja” kwa Afrika waendana na wakati

    Katika siku za karibuni Kituo cha mambo ya fedha na maendeleo kwenye sekta zisizosababisha uchafuzi (Green Finance & Development Center) katika chuo Kikuu cha Fudan mjini Shanghai, kilitangaza kuwa thamani ya uwekezaji wa China kwenye miradi ya kupitia pendekezo la “Ukanda mmoja, Njia Moja”...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa mgogoro wa Russia na Ukraine kwa njia ya amani ni chaguo pekee

    Wakati mgogoro wa Ukraine ukiendelea kwa mwaka mmoja na nusu sasa, huku nchi za magharibi zinaonekana kuendelea na nia yake ya kuchochea mgogoro huo na kutaka utatuliwe kwa njia ya kijeshi, China na nchi za Afrika zimeonekana kupendelea zaidi mgogoro huo kutatuliwa kwa njia ya amani, hasa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Treni ya Abiria yaacha njia na kuua watu zaidi ya 30

    Takriban watu 30 wamefariki dunia na wengine 100 kujeruhiwa baada ya Treni kuacha njia kusini mwa Pakistan, msemaji wa polisi amethibitisha. Mabehewa kadhaa ya Hazara Express yalipinduka karibu na kituo cha reli cha Sahara huko Nawabshah, takriban kilomita 275 (maili 171) kutoka mji mkubwa...
  6. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, njia ya kupita ili kuingia Ikulu ni kuacha kabisa kumchafua Hayati Magufuli. Mkumbatieni mtafika

    Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

    Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo. Kujaza huku kwa uwanja...
  8. Jaws

    JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za Kutokomeza Ufisadi na Kuleta Mabadiliko ya Kiuwajibikaji na Kiutawala kwa Maendeleo Shirikishi ya Nchi Yetu

    Samahani Andiko limefutwa!
  9. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa Kiongozi: Njia ya kujenga imani na kuimarisha utawala bora

    UWAJIBIKAJI WA KIONGOZI: NJIA YA KUJENGA IMANI NA KUIMARISHA UTAWALA BORA Utangulizi Uwajibikaji wa kiongozi na utawala bora ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Kiongozi anayejali uwajibikaji na kutenda kwa haki na...
  10. Girita shabani issa

    JamiiForums Tanzania SoC03 Njia bora ya kuepukana na mikataba mibovu (Tanzania)

    Mkataba ni maridhiano baina ya watu wawili au zaidi,serikali kwa serikali,kampuni kwa kampuni au serikali na kampuni.Mikataba nayo husaidia kuinua uchumi wa nchi au kampuni inapokuwa na manufaa kwa nchi husika au kampuni.Pia huweza kusababisha hasara inapokua haina manufaa. mikataba mibovu ni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuwa programmer

    Ulishawahi kuskia au kuona robots wenye uwezo wa kutake care of patients, magari yenye uwezo wa kujiendesha yenyewe, Games, System zenye uwezo wa kumanage kazi zote za kampuni, websites(tovuti), apps kama Facebook Insta TikTok hata hii JF, software maarufu kama Photoshop n.k. Hivi vitu vyote...
  12. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za mawasiliano kwenye tovuti za taasisi za umma ziboreshwe

    Edogun Mzalendo ni kijana wa miaka ishirini na minne, muhitimu wa stashahada ya sayansi ya kompyuta na mmiliki wa steshenari ndogo inayopatikana mjini Kahama. Ni miaka miwili tu imepita toka afungue steshenari yake hiyo lakini amejizolea umaarufu mkubwa sana kutokana na kipaji chake cha...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Bodaboda Kenya ajifanya Trafiki na kuongoza magari njia ya vumbi isiyojulikana

    Huko kwa majirani zetu Kenya bhana wamepinda sana, kuna video inasambaa ikimuonesha bodaboda akiwa amepaki pikipiki yake pembeni ya barabara, na umaridadi kabisa akaingia barabarani na kuanza kuongoza magari kutoka barabara ya lami na kuelekea njia ya vumbi ambayo haijulikani inaenda wapi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Njia mbadala zinazoweza kusaidia tatizo la upungufu wa walimu mashuleni

    NJIA MBADALA ZINAZOWEZA KUSAIDIA TATIZO LA UPUNGUFU WA WALIMU MASHULENI. UTANGULIZI: Nchi yetu bado inachangamoto kubwa ya uhaba wa walimu wa shule ya sekondari na msingi.Kwa mujibu wa taarifa ya mwezi wa pili ya wizara ya nchi ,Ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana: 2025 Njia nyeupe kwa Rais Samia

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema 2025 njia itakua nyeupe kwa chama hicho kushika Dola kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa ndani ya miaka miwili ya uongozi wake. ===
  16. ikhlas

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa njia sahihi na salama ya kutoa Ujauzito (abortion)

    Wasalam wadau , Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni. Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na...
  17. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

    Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo. 1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania 2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake. 3.Leseni za biashara. 4.Alipe kodi za Pango na VAT 5.Kodi za zuio la pango 6.Usajili TIC 7.Kodi za...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uanzishwaji wa Viwanda vijijini Sera mojawapo ya kupunguza idadi ya watu na vijana wasio kuwa na Ajira katika Miji mikubwa

    Kwa nchi kama Tanzania ambayo ipo katika nchi zinazoendelea duniani inahitajika jitihada kubwa kutoka kwa viongozi wetu katika kujenga uchumi wa nchi yetu hasa kupitia katika nyanja kuu ya uchumi ambayo ni kilimo Imo na viwanda . Endapo sera hii ikitumika vyema Na Serikali basi manufaa...
  19. Vedasto Prosper

    JamiiForums Tanzania Kwanini, Simiyu, Kigoma, Mara, Geita na Pemba hawatumii Uzazi wa Mpango Kama Mbeya na Iringa?

    Katika ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 ya Wizara ya Afya Dodoma kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, iliyotoka Januari 2023, INaonesha Kuna Mikoa kabisa haina...
  20. kadamlo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala dhaifu katika Taifa

    Utawala dhaifu Utawala dhaifu ni utawala ambao haujajikita katika njia moja ya kiutawala ambayo ni imara na ya haki, ndani ya utawala kuna itikadi na misimamo tofauti,ndani ya serikali hakuna kundi la kudumu la waamuzi,ukoloni mambo leo una watumia baadhi ya watawala,utawala usio jitegemea...
Back
Top Bottom