Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).
Kuna mkuu au mzito yeyote aliyewahi kumalizia safari yake Muhimbili, Mlonganzila, Lugalo, Sinza Palestina au Benjamin Mkapa ?
Kwa nini walijitengea Mzena mahususi ? Inafika level za Muhimbili? Kwa nini wasingekuwa wanachanganyika tu wapate huduma zote kwa uhakika zaidi?
Katika dunia ya leo yenye warembo na watanashati wa kila aina, unapaswa kutokuweka vigezo vya uzuri wa nje kama msingi wa kupata mwenza.
Vijana wengi wanakimbilia superficial beauty na kuweka standards katika muonekano.
Wakimbwende nao wanaenda extra miles kukazania uzuri wa nje na sio tabia...
Kuna msemo kwamba "don't judge book by its cover"
Sawa na usimhukumu mtu kwa mwonekano wake;
Kisaikolojia sivyo wanadamu wanacyofanya kazi.
Kama mtu humjui na hujapata nafasi ya kuongea naye (hajajitambusha kwako), utamhukumu kwa namna utakavyokuwa ukimuona.
Na mchakato huo hufanyika ndani...
Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu.
Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA).
Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi...
Anonymous
Thread
interns
kazi
malipo
mwezi
nje
ofisi
posho
serikalini
tanapa
ttb
wakati
walipwe
wanaojitolea serikalini
Ndugu yangu na rafiki yangu, Comrade Malisa GJ [@malisa_g], ametekwa na Jeshi la Polisi Tanzania karibu na Namanga, Arusha, Tanzania, jioni hii.
Hili ni tukio linalotia wasiwasi mkubwa!!
Mwachieni Malisa GJ sasa hivi!!
Habari wanajamii?
Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule.
Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule
Baada ya kuongea na mama, tulikubaliana kuwa leo aende tena shuleni kuongea na walimu kuwa...
CAIRO, Misri: Balozi Ahmed Haggag, Mshauri wa Umoja wa Waandishi wa Afrika, amewataka Waandishi wa Habari kuongoza kampeni ya kuitangaza Afrika na kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zake wenyewe.
Akizungumza na Waandishi wa nchi mbalimbali za Afrika Jijini Cairo, Balozi Haggag amesema ni...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa September 20, 2023 alifungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa Mzalishaji mkubwa wa nishati na kuwa na umeme wa kutosha utakaopatikana kwa urahisi na nafuu na ziada itauzwa nje ya Nchi...
Habari wakuu,
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.
Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye. Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu...
Wananchi Wakazi wa Kitongoji cha Bago (Maisha Plus), Kijiji cha Msakangoto, Kata ya Kigombe, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga tunapitia changamoto ambayo inatuumiza kiasi kwamba tunaona giza katika kesho yetu kwani tunaona kuna dhuluma, uonevu na kutelekezwa tunakopitia wananchi wa Kaya 67...
Msanii wa muziki kutoka Tanzania anaye ghani mashairi yake kwa lugha ya kiingereza pia ni fundi ujenzi wa majengo na mbunifu wa kutengeneza vifaa mbalimbali vya ujenzi, hujishughulisha na shughuli za ujenzi ambazo humusaidia kukamilisha mipango yake ya Sanaa ya muziki na maswala ya kiuandishi wa...
07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania
Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA
https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck
David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu...
Uganda ni typical banana Republic (Jamuhuri ya ndizi) isiyo na utawala wa Sheria (due process) inayoongozwa na familia moja baba akiwa Rais, mama waziri na mtoto wao mkuu wa majeshi mropokaji hovyo na kujiamulia mambo anavyoona inamfaa.
Namibia ni nchi ya watu milioni 3, demokrasia changa...
Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi je ? Changamoto ni nini?
Kwa kupitia nikabaini changamoto chache kwanza kutokua na uelewa wa...
"Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza"
Sheikh Kulunge
Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai
Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa...
Mi na vijana na nakijana nilichobakisha ni aviator ya mungu na maisha tuliyopo nayo wengine wanaona kama mungu ni CCM.
Sasa kitu ambacho kina nishangaza yani AI zilizotengezwa USA ni ngumu kufanyika nchi za watu na zimekuwa zikigoma kabisa na hata ukitoka nchi nyengine utapata matokeo tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.