YASIYOSEMWA
Member
- Jun 1, 2026
- 31
- 58
Nikifuatilia mijadala Mingi mitandaoni na kwenye vijiwe mbalimbali kumeanza kuwa na hisia Kali Sana za uzawa.
Tukianza na ukanda ni majuzi tu bungeni tuliona namna wabunge wa kusini walivyo kuwa wakali kuhusu Barabara Yao YA kusini.
Lakini pia watu huona fahari kutamba na kijinasibisha na ukanda, Hii haishitui Sana...
Inayoshitua Ni hii ya Hisia uzanzibari na utanganyika.
Hebu tujadili nje ya muungano..
1. Feisal atakua mchezaji wa kigeni?
2. Bakhresa atakuwa mwekezaji wa kigeni...?
3. Wapemba na wakojani watakuwa raia wa kigeni watatakiwa kuwa na passport
4. Mchele toka mbeya utauzwa Kwa Bei tofauti n.k
5. Walionunua ardhi Bara na kujenga watakua Raia wa kigeni hivyo umiliki wa ardhi utapotea automatically n.k