HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,730
- 2,335
Askari wa madawati ya jinsia wanatelekeza ofisi kwa kisingizo cha kwenda kuelimisha nje ya ofisi kitu ambacho siyo kweli.
Wanaondoka ofisini kwenda kwenye shughuli zao na simu hawapokei kabisaa wala sms hawajibu.
Pia wamekuwa na tabia ya kuangalia upande wenye pesa na krsi zenye maslahi kwao ndiyo wanazifanyia kazi.
Hili likemewe na hasa dawati la jinsia mkoa wa Rukwa na Katavi hawafungui taarifa za matukio na kutoa rb bali humaliza juu kwa juu hili liangaliwe na ikiwezekana askari hawa wabadilishwe na kupewa majumu mengine.
Pia wamekuwa na tabia ya kuangal