Kwa nilivyokereka hakuna salamu hapa!
Baada ya kumfatilia kwa wiki kadhaa akaingia line, toto fulani hivi nyeupe ndefu yenye kiuno nyigu, tunasema figure ya kimataifa. Figure ambayo hata tozo unalipia na chenchi inabaki! Anamidomo yakuumana,shingo yenye vimistari vya utamu utamu, kifuani...