nigeria

  1. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu nane wakamatwa na Polisi kwa kosa la kula mchana mwezi wa Ramadhani

    Watu wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam huko Kano – moja ya majimbo 12 ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria wanaotumia mfumo wa sheria wa...
  2. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Utapeli wazidi Nigeria, wenye magari wauziwa maji badala ya mafuta sheli

    Nawasalimu members wote, Video ya kituo kimoja cha Mafuta cha Fatgbems nchini Nigeria imesambazwa sana katika mitandao ya kijamii kwa kuuza maji badala ya Mafuta ya petroli kwa wateja wake, kulingana na BBC Pidgin. Video hiyo ilisambaa baada ya baadhi ya wateja kujitokeza na kuanza...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanamgambo waua wanajeshi 30 Nigeria

    Wanamgambo wenye msimamo mkali wameuwa wanajeshi 30 wa serekali katika mfululizo wa mapigano kaskazini mashariki mwa Nigeria toka Jumatano, kwa mujibu vyanzo vya kijeshi na raia. Shirika la habari la Reuters linaeleza kwamba usalama kote Nigeria, umezorota katika miezi ya hivi karibuni...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais atoa ruhusa kwa Wanajeshi kuwapiga risasi Watu wote watakaoonekana na bunduki ya AK-47

    Wanajeshi wa Nigeria wamepata ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, watu wote watakaoonekana wakiwa na bunduki aina ya AK-47, kufuatia agizo la rais Muhammadu Buhari. Amri hii imetolewa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama, baada ya visa vitatu vya utekaji nyara kati ya Desemba na...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nigeria na Makamu wake wapatiwa chanjo ya Covid 19

    Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na makamu wake Yemi Osibanjo wamekuwa watu wa kwanza kupatiwa chanjo ikiwa ni njia ya kuwahakikishia wananchi kuwa chanjo ndiyo kinga muafaka dhidi ya virusi vya corona. Nigeria wiki iliyopita ilipokea chanjo ya Covid 19 ikiwa ni mwanzoni mwa awamu ya pili ya...
  6. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Afcon U-17: Serengeti boys kukipiga dhidi ya Nigeria

    Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya fainali za AFCON U-17 Serengeti Boys inayoiwakilisha Tanzania, katika mchezo wa kwanza itakipiga dhidi ya Nigeria siku ya tarehe 14 mwezi huu Tanzania ipo Kundi B pamoja na timu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watekaji Nigeria wamewaachia haraka wanafunzi kwasababu wote ni wa Dini yao

    Watekaji magaidi ambao wengi wao ni Fulani waliowateka wasichana wanafunzi katika shule ya boarding kaskazini mwa Nigeria wamewaachia huru wanafunzi wote haraka sana bila hata kuwadhuru wala kuwadhalilisha. Kilichowasaidia awa mabinti wote walikuwa Waislamu. Pia miezi michache iliyopita hawa...
  8. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania artists only second to Nigeria in the number of streams online.

    Classification of sub-Saharan African countries taking into account the number of YOUTUBE channels of the 3 most popular YOUTUBE Channels.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mr flavour wa Nigeria aomba media za Nigeria zimpe heshima inayostahili Diamond Platnumz

    Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Nigeria Burna Boy amejumuishwa katika orodha ya wanamuziki ambao album yake itakayochezwa wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Joe Biden

    Kwanza unaweza kufikilia inakuwaje asichukuliwe mwanamuziki wa Marekani au mataifa mengine yaliyoendelea, pili ni kiasi gani cha pesa analipwa mwanamuziki huyo kutoka Afrika ya kaskazini? Lakini ni kwamba orodha ya nyimbo zipatazo 46 zimeandaliwa katika sherehe ya kuapishwa kwa Biden, taarifa...
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania ana uhusiano familia ya Dangote Nigeria

    Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Chikwende Junior Lokosa wa Nigeria ajiunga simba

    Baada ya kumsajili attacking midfielder Chikwende kutoka zimbabwe simba wamemsajili mshambuliaji wa zamani wa team ya taifa ya nigeria super eagles na team ya esperance de tunis aitwaye Junior lokosa
  13. babu M

    JamiiForums Tanzania Nigeria celebrity Bobrisky amefunguka kuhusu jinsia yake!!

  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wenye pikipiki wateka mamia Nigeria

    Leo tena tumepata kali ya kufungia mwaka huko Katsina jimbo alilozaliwa raisi wa sasa wa Nigaria mheshimiwa Muhammad Buhari ambaye kwa sasa yuko mapumzikoni jimboni kwao. Inadaiwa watu waliopanda piki piki waliivamia shule ya mchepua wa Sayansi na kufyatua bunduki hewani halafu wakaondoka na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni Uzalendo mashabiki wa Yanga kwenda kuwapokea washindani wa Simba kutoka Nigeria pale JNIA?

    Kupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki kilichofanywa na mashabiki wa Yanga kina chembe ya uzalendo? Maendeleo hayana vyama!
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi Nigeria anena kuhusu Magaidi

    Mkuu wa majeshi wa Nigeria Lt Gen Tukur Yusuf Buratai amesema magaidi nchini humo wataendelea kuwepo hata baada ya miaka 20 ijayo. Maelezo hayo ameyatoa kwenye ukurasa wake wa twitter baada ya kutokwa kwa mauwaji ya watu 43 yanayosemekana yalitekelezwa na Bokoharam. Maoni yake hayo yamekuja...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uingereza kuazimia kuiwekea vikwazo Nigeria juu ya uvunjifu wa haki za binadamu, Nigeria imeenda kuomba isamehewe

    Wiki chache zilizopita Nigeria ilikumbwa na maandamano ya kupinga ukatili wa jeshi la polisi maarufu kama #EndSARS ambapo Jeshi la Nigeria lilituhumiwa kuua watu. Bunge la UK Liliazimia kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Nigeria, jeshi la polisi na jeshi la ulinzi kwa uvunjifu wa haki za...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nyota wa Nigeria aliyehudhuria harusi akiwa na wapenzi wake 6 wenye ujauzito akosolewa na umma

    Nyota wa Nigeria kwenye mtandao aliyehuduria harusi pamoja na wapenzi wake sita wenye ujauzito akosolewa na umma Gazeti la Daily Mail la Uingereza limesema, nyota wa Nigeria kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram anayejulikana kama " Pretty Mike " amehudhuria sherehe moja ya harusi akiambatana...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

    Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS. Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria nchini Nigeria ataka maandishi ya kiarabu kwenye fedha yaondolewe

    Mahakama mjini Lagos Nigeria inatarajia kusikiliza kesi iliyofunguliwa na mwanasheria dhidi ya Benki Kuu ya Nigeria akitaka kuondolewa kwa maandishi ya kiarabu kwenye fedha za nchi hiyo. Malcolm Omirhobo pia anataka jeshi la Nigeria kuondoa maandishi kutoka kwenye nembo ya jeshi yanayoashiria...
Back
Top Bottom