nigeria

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Simba SC wapewa Plateau United ya Nigeria

    Nakudodoshea hii Simba Sc wamepewa Plateua United ya Nigeria. Club hii ambayo sio bingwa wa Nigeria; iliteuliwa kuwakilisha nchi kwa sababu ilikuwa inaongoza ligi kabla ya lockdown ya Corona. Anayeijua zaidi atudondoshee
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanasheria Mkuu asema walioua Waandamanaji bado hawajulikani na ni mapema kusema kwamba waliohusika ni Polisi na Wanajeshi

    Mwanasheria Mkuu nchini Nigeria amesema kwamba watu waliowapiga risasi na kuua waandamanaji nchini humo hawajulikani na kwamba huenda watu waliofunika nyuso zao na kuvalia sare za kijeshi ndio waliohusika. Abubakar Malami amesema kwamba ni mapema sana kusema iwapo polisi walihusika katika tendo...
  3. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Marekani yafanikisha kuokolewa kwa Raia wa Marekani aliyetekwa nyara nchini Niger

    Raia wa Marekani aliyekuwa ametekwa nyara nchini Niger ameokolewa katika operesheni ya kijeshi iliyotekelezwa na Kkosi Maalum cha Jeshi la Marekani (US Special Force) karibu na mpaka wa Nigeria, vyombo vya usalama nchini Marekani vimethibitisha. Raia huyo, Philipe Nathan Walton, alitekwa nyara...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nigeria Mohammad Buhari ameomba maridhiano

    Baada ya idadi ya viongozi wa dini wanaounga mkono maandamano Nigeria kuongezeka, Rais wa nchi hiyo ameomba maridhiano. ======== President Muhammadu Buhari has spoken up for the first time since the Lekki toll shooting of the #EndSARS protesters by security operatives on Tuesday. The...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashtaka mkuu wa ICC, Fatou Bensouda: Ofisi yangu inafuatilia yanayoendelea Nigeria. Kila damu ya raia itahesabiwa

    Mwendesha Mashtaka mkuu wa ICC, Fatou Bensouda anasema wanafuatilia yanayoendelea Nigeria, kwamba kila damu ya raia itahesabiwa Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter Fatou Bensounda amesema "Ofisi yangu imekuwa ikifuatilia kwa karibu matukio mbalimbali yanayoendelea nchini Nigeria pamoja...
  6. Hashpower7113

    JamiiForums Tanzania Machafuko na Umwagaji damu Nigeria! Hiki Ndiyo Chanzo

    Imeandaliwa na Hash Power kwa msaada wa mitandao Nigeria is bleeding! Nigeria inavuja damu, maelfu ya wananchi wa nchi hiyo wanaandamana kuanzia kwenye mitaa ya Lagos, Port Harcourt, mpaka Abuja na kwingineko! Jeshi katili la nchi hiyo, linaendelea kuwadhibiti waandamanaji kwa mtutu wa...
  7. Acehood

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maombi ya sanctions for Nigeria

    Wakuu naomba kujua hivi hili suala la kuomba Nigeria iwekewe vikwazo na nchi za magharibi, linaweza kuleta positive effects zozote kwa wanaijeria au zaidi zitakuwa negative effects tu? Nimeona Burnaboy anasainisha petition kuhusu hili suala na watu wa uingereza zaidi ya laki moja wameshasaini...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Harmonize ahimiza watu wafanye maombi kwa ajili ya Nigeria

    Msanii anayetamba katika soko la Afrika Mashariki anayefahamikwa kwa jina la Harmonize, amehimiza wananchi wafanye maombi kwa Nigeria kutokana na machafuko yanayoendelea hivi sasa. Harmonize ametumia ukurasa wake wa instagram kuwaomba watu wote kuiombea Nigeria. === Hatua hiyo imeonekana...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Haki inapozuiliwa na mtutu wa bunduki Nigeria

    Waandamanaji mjini Lagos waliweka vizuwizi na kufunga barabara katika mji huo mkubwa wa kibiashara Watu kadhaa walioandamana dhidi ya polisi wakatili wameripotiwa kupigwa risasi na kufa na huku wengine wakiwa wamejeruhiwamjini Lagos, Nigeria. Walioshuhudia tukio hilo wameiambia BBC kuwa wameona...
  10. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

    Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS. Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency. Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji...
  11. Guus

    JamiiForums Tanzania Hatimaye waandamanaji Nigeria wafanikiwa kuivunja SARS

    Baada ya siku kadhaa za maandamano ya kutaka kuvunjwa kwa kilichokuwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Wizi (Special Anti-Robbery Squad maarufu kama SARS) nchini Nigeria, IGP wa Polisi jana Jumapili ametangaza rasmi kuvunjwa kwa kikosi hiko. SARS, ambacho kilikuwa kitengo maalumu chini ya jeshi la...
  12. Mag3

    JamiiForums Tanzania After Mass Protests Against Police Brutality, Nigeria Disbands Notorious Police Unit accused of extortion, torture and extrajudicial killings

    The Nigeria Police Force has dissolved an anti-robbery unit following days of protests against alleged human-rights abuses by some of its officers. “All officers serving in the unit will be redeployed to other police commands and formations with immediate effect,” the inspector general of...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya wasanii wa Bongo na wa Nigeria

    Nyota wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke (Davido) akiongoza sehemu ya maandamano ya vijana nchini humo kutaka kufutwa kwa Kikosi Maalumu cha Polisi cha Kupambana na Uhalifu (SARS), kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu hasa dhidi ya vijana katika utendaji wake.
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

    Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. === MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Public executions by firing squads: Nigeria

    Miaka ya 1960 [1960s] na 1970 [1970s], nchi ya Nigeria ilikuwa imeghubikwa na mapinduzi ya kijeshi kwa serikali zilizokuwepo madarakani kwa nyakati hizo. Moja ya njia zao za kukabiliana na uhalifu kwenye jamii, hususan uhalifu wa mauaji, kulikuwepo na sheria za kunyonga watu waliopatikana na...
  16. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Nigeria waiiga Tanzania, wapiga marufuku KLM, Lufthansa

    Nigeria bans Lufthansa, KLM, Air France, others, as international flights resumes - NewsWireNGR Nigerian Government has placed ban on Lufthansa, KLM , Air France, amongst other notable international airlines, as the country commences international flights from the 5th of September, after about...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania KLM na Etihad miongoni mwa ndege zilizopigwa marufuku kuingia Nigeria

    Safari za ndege ndani ya Nigeria zilirejelewa Nigeria imepiga marufuku mashirika ya ndege kutokanchi kadhaa kuhudumu nchini humo kuanzia Jumamosi hii. Mashirika kumi ya ndege yamezuiliwa kuhudumu- Ikiwemo Air France, KLM kutoka Uholanzi, Lufthansa kutoka Ujerumani, na Etihad Airways ya Milki za...
  18. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Nigeria kufungulia Anga lake kwa nchi tu ambazo zinaruhusu raia wa Nigeria kuingia katika nchi zao

    Mkuu wa kitengo cha usafirishaji wa anga ( Nigeria Civil Aviation Authority) wa nchini humo ametoa tamko rasmi kuwa nchi yake itafungua anga yake kwa safari za kimataifa. Bw Sani Aliyu amesisitiza miongoni mwa masharti ya ufunguzi ya anga lao ni kuruhusu ndege kutoka mataifa yanayoruhusu raia...
  19. Kipala

    JamiiForums Tanzania Utumwa wa Kiafrika kwa macho ya Nigeria

    Wengi wanapenda kulaumu "Waarabu" au "Wazungu" waliowatendea Waafrika vibaya kwenye siku za utumwa. Si wengi wanaozingatia haikuwa kawaida kwa hao wageni "kuwinda" watu (ingawa ilitokea hapo na pale), na biashara ya kawaida ilikuwa Waafrika kuwauza wenzao kwa hao wageni. Bila mahitaji ya soko...
  20. King Loto

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusifanye kilimo biashara cha konokono kama Nigeria?

    Hey wakuu! Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo. Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
Back
Top Bottom