nigeria

  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Hashpuppi, tapeli wa Nigeria akiri makosa ya utakatishaji fedha

    Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amekiri makosa ya utakatishaji fedha katika mahakama nchini Marekani. Hashpuppi, aliyejipatia umaarufu kwa maisha yake ya anasa mitandaoni, ambapo ana wafuazi zaidi ya milioni 2.5 katika mtandao wa Instagram, amekiri makosa ya utapeli...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anayeshutumiwa kufanya kampeni ya kujitenga jimbo la Nigeria akamatwa

    Kiongozi wa anayepigania kujitenga kwa kabila la Yoruba Sunday Adeyemo, al maarufu kama Sunday Igboho, amekamatwa katika nchi jirani yaBenin, wiki kadhaa baada ya kutangazwa kuwa anasakwa kwa madai ya kukusanya silaha. Bw Igboho alikamatwa na vikosi vya uslama katika uwanja wa ndege wa mji mkuu...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yakubali kurudisha kazi za sanaa zilizoibwa Nigeria

    Serikali za Nigeria na Ujerumani zimekubaliana muda wa mwisho wa kurejesha vinyago vya kuchingwa vilivyoibiwa kutoka nchini Nigeria. Waziri wa habari na utamaduni wa Nigeria ameyasema hayo katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Lagos, uliolenga kuwafahamisha Wanigeria ni wapi zipofikia...
  4. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa jeshi la polisi Nigeria auawa kwa kupigwa risasi

    Meja Jenerali Hassan Ahmed Watu wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed. Meja Jenerali Ahmed aliuawa usiku wa Alhamisi nje kidogo ya Abuja wakati gari lake liliposhambuliwa kwa risasi, akitokea jijini Lokoja...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu kadhaa wametekwa baada ya Hospitali kuvamiwa

    Polisi imesema Watu walio na silaha wamevamia Hospitali Kaskazini Magharibi mwa Nigeria na kuwachukua mateka angalau watu nane. Ripoti kadhaa zimedai idadi inaweza kuwa kubwa zaidi na miongoni mwao ni Manesi na Watoto. Imeelezwa, kulikuwa na shambulio la risasi katika Kituo cha Polisi na wakati...
  6. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Athari za ugaidi ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya awali

    Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetoa ripoti inayoangazia madhara ya mapigano katika eneo la Kaskazini mwa Nigeria, likikadiria kuwa athari za mgogoro huo ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya athari yaliyotolewa awali. Awali, Shirika hilo lilikadiria kuwa takriban watu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Muziki Nigeria wamponda Diamond Platnumz kwa kuiba nyimbo zao

    Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist kidogo kisha kuwaletea Watanzania
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais Buhari akiri kushindwa kumaliza hali tete ya usalama

    Rais Muhammadu Buhari amekiri kushindwa kumaliza hali tete ya usalama Nchini humo, ahadi ambayo alitoa alipochaguliwa mwaka 2015. Kauli yake imekuja wakati baadhi ya Wananchi wakiandamana kuhusu Usalama Nchini Nigeria. Kundi la Boko Haram limezidisha matukio ya ghasia miezi ya hivi karibuni...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria yazitaka kampuni za Mitandao ya Kijamii kusajiliwa na kupata leseni

    Serikali imesema Kampuni za Mitandao ya Kijamii zinazotaka kuwepo Nchini humo zitalazimika kusajiliwa kama Kampuni ndani ya #Nigeria na kupata Leseni. Imeelezwa, baadhi ya kampuni tayari zimepewa Notisi na haijaelezwa ni lini zoezi la usajili na upataji leseni litamalizika. Serikali imesema...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Redio na Runinga zaelekezwa kutotumia Twitter kama chanzo cha taarifa

    Mamlaka ya Utangazaji imeshauri Runinga na Redio kutotumia Mtandao wa Kijamii wa #Twitter kama chanzo cha taarifa zao, huku ikiwataka wafunge akaunti zao Mamlaka hiyo imesema haitokuwa uzalendo kwa Watangazaji wa #Nigeria kuendelea kutumia Mtandao huo. Twitter imesema itafanyia kazi kurejesha...
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watakaokaidi agizo la Serikali kufungia Twitter kukabiliana na mkono wa sheria

    Mwanasheria Mkuu wa Nigeria, Jenerali Abubakar Malami ameagiza kufunguliwa mashtaka mara moja kwa watu wote watakaokaidi agizo la serikali la kufungia mtandao wa kijamii wa Twitter. Mapema jana, makampuni ya simu nchini humo yalisema kuwa yametii agizo la serikali la kufungia mtandao huo wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57 Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN)...
  13. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nigeria yafungia Twitter kwa muda, yatumia Twitter kutoa tangazo la kufungwa kwa Twitter

    Serikali ya Nigeria imefungia kwa muda usiojulikana huduma za Mtandao wa Kijamii wa Twitter kwa madai ya Mtandao huo kutumika kuhatarisha uthabiti wa taifa hilo. Tangazo rasmi la kufungiwa kwa mtandao huo limetolewa siku ya Ijumaa na Waziri wa Habari na Utamaduni, Alhaji Lai Mohammed kupitia...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Katika harakati za kubadili Katiba, mmoja wa raia apendekeza jina la Nchi hiyo libadilishwe

    Kwa takriban wiki mbili, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamekuwa wakikusanya mapendekezo ya kubadili Katiba ambapo mmoja wa raia amependekeza kubadili jina la Nchi hiyo kuwa United African Republic (Jamhuri ya Muungano Afrika). Jina Nigeria lilipendekezwa mwishoni mwa karne ya 19 na Mwandishi...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Moto wazuka baharini Ajah, Lagos

  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Army chief dies in air force plane crash

    Eleven crew and officers aboard a Nigerian military plane were killed Friday when it crashed in northwestern Kaduna state, according to media reports. The dead included army chief Lieut. Gen. Ibrahim Attahiru. The air force said in a statement that its plane crashed near Kaduna airport and...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Akutana na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana leo na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Oluseguni Obasanjo. Taarifa zaidi kutolewa ======== Rais wa Jamhuri ya Muungano leo Mei 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nigeria yapiga marufuku wasafiri kutoka India, Brazil na Uturuki

    Kamati ya rais ya kupambana na janga la Covid-19 nchini Nigeria, imesema taifa hilo litapiga marufuku wasafiri wanaokuja kutoka India, Brazil na Uturuki, kutokana na kuenea pakubwa kwa virusi vya corona katika mataifa hayo. Taarifa ya mwenyekiti wa kamati hiyo Boss Mustapha, imesema watu walio...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Harmonize ameenda Nigeria leo kukamilisha album yake. Wizkid na Burnaboy ni miongoni mwa wasanii walioshirikishwa humo

    Star wa Bongo Fleva anaetrend na attitude leo kaenda Nigeria kukamilisha shooting ya video ya nyimbo 2 alizoimba na Burnaboy na Wizkid. Safari ya International ndio kwanza imeanza. Tukae mkao wa kula.
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu waliokuwa kwenye pikipiki waua watu zaidi ya 50 Nigeria

    Taarifa kutoka kaskazini magharibi mwa Nigeria zinasema kuwa majambazi waliokuwa wakiendesha pikipiki wamewauwa zaidi ya watu hamsini katika msururu wa uvamizi uliodumu kwa saa kadhaa katika vijiji vya mbali. Wakazi wa Magami waliiambia BBC kwamba watu wenye silaha kwanza walishambulia kijiji...
Back
Top Bottom