Kujitambua ni nini?

Kujitambua ni nini?

Baba mtakatifu91

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
3,237
Reaction score
6,651
Wadau shikamooni.........Nadhani hii dhana ya kujitambua siyo ngeni kwako. Kujitambua ni uwezo wa mtu kujielewa kwa undani, ikiwa ni pamoja na kutambua tabia zake, uwezo, udhaifu, hisia, maadili, na malengo yake maishani.

1.Kutambua uwezo wako – Kujua vipaji, maarifa, na mambo unayoweza kufanya vizuri.

2.Kutambua udhaifu wako – Kujua maeneo yanayohitaji kuboreshwa na kuyafanyia kazi.

3.Kutambua maadili na misingi yako-Kujua unachoamini na kanuni zinazokuongoza katika maisha.

4.Kutambua hisia zako – Kuelewa hisia unazopitia na jinsi zinavyoathiri maamuzi na matendo yako.

5.Kuheshimu mipaka yako na ya wengine

6.Kuwa consistency kwa kila kitu. Mfano pombe au pesa visikufanye ukabadilika.

7.Kupigania haki hata kwenye pango la mbwamwitu na kufuga nywele ili kuwa na akili nyingi. Kuwa na NO nyingi kuliko YES

8.Kuweka malengo ya maisha – Kujua unapotaka kufika na kupanga hatua za kufikia malengo hayo.
Kwa kifupi, kujitambua humsaidia mtu kufanya maamuzi sahihi,kujiamini, na kuishi maisha yenye mwelekeo na kusudi.

Nje ya hapo utasikia watu wanasema huyo hajitambui. Je wewe mwana Jf mwenzangu unaelewa nini kuhusu kujitambua?
 
Kujitambua ni kujua kusudi lako wewe hapa duniani na kutambua ukweli wa maisha kadiri ya wewe utakavyodefine ukweli wa maisha ni upi,halafu kusimamia huo ukweli wako imani yako mpaka kufa.

baada ya kizaliwa kinachofuata ni kufa ,ni kujua utakufa ukiwa unasimamia ukweli upi kisudi lipi la maisha yako,na utaishi kulingana na imani yako na misimamo yako.

NITOE MIFANO MICHACHE YA WATU WANAOJITAMBUA.
YESU KRISTO..aliishi kusudi lake na imani yake mpaka kifo chake na alijia toka mwanzo kusudi lake na akaishi kadiri ya imani yake na kisudi lake mpaka kifo.

TINDU LISU
Anajua kusudi la maisha yake na anasimamia imani yake isiyoyumbishwa katika hali zote iwe mchana iwe usiku iwe mvua iwe jua..

MITUME NA MANABII
Wafia dini

CHE GUEVARA
PATRICE LUMUMBA
SAMORA MACHELE
NELSON MANDELA
EDWARD MORINGE SOKOINE
NYERERE JULIUS KAMBARAGE
MDUDE NYANGALI
HAMPHREY POLEPOLE

hawa ndio baadhi ya watu waliojitambua

halafu kuna watu wanajiita chawa..hawa wameshakufa na kuoza..wanaishi maisha mfu siku zote ,bendera fuata upepo,wameuza utu wao..wamesaliti imani yao na imani ya watu waliowaini..
 
Hii ilibidi iwekwe kwenye mabango nchi nzima kwa mwaka mmoja
 
A sinner's aspire for holiness come to save me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom