Hatari hii 🙌🏿fertility treatment where an egg is combined with sperm outside the body in a laboratory setting. The fertilized egg, known as an embryo, is then carefully monitored and transferred into a uterus to establish a successful pregnancy. It is a highly effective form of assisted reproductive technology (ART) used by individuals experiencing infertility or genetic conditions.View attachment 3607147View attachment 3607148
Mkuu Kivipi !?It's good to have a contrary opinion.
Ikisoma comments za waswahili huko IG utajua kua waswahili IQ zetu zipo chini sana
SepetuSepeta?
Ni kweliKikubwa na yeye anaitwa mama ....
Mengine tuwaachie
IVF (In Vitro Fertilization) ni njia ya kitabibu ya kusaidia kupata mtoto kwa kurutubisha yai na mbegu za kiume nje ya mwili wa mwanamke, katika maabara, kisha kiinitete (embryo) kinachopatikana hupandikizwa kwenye mfuko wa uzazi.
View attachment 3607139
Uchawi unawasumbua! Mtu kajua ni mjamzito mimba ikiwa na wiki 20 sasa kapandikiza saa ngapi?Hii taarifa ya Wema kupata mtoto imewaumiza wengi sana.
Usanii gani?Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini !?
Hamna kitu muleKo wozu kafunga bao la mkono😂