Documentary ni nini?

Documentary ni nini?

Joined
Feb 28, 2022
Posts
70
Reaction score
65
Documentary ni nini?

Documentary ni video inayosimulia hadithi halisi kuhusu kampuni, taasisi, jamii, mtu au shughuli fulani. Lengo lake ni kuelimisha, kuhamasisha au kuhifadhi historia kwa njia ya kuvutia.


Inafaa kwa:
-Kampuni na taasisi
-NGOs
-Miradi ya maendeleo
-Historia za mafanikio (Success Stories)
 

Attachments

  • DOC-2_120421.jpg
    DOC-2_120421.jpg
    223 KB · Views: 6
Back
Top Bottom