Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,283
- 21,541
Fetish inamaana gani?
Neno "Fetish" (kwa Kiswahili wakati mwingine huitwa Fetihi) katika muktadha wa mapenzi na mahusiano lina maana ya kuvutiwa kingono na kitu, tabia, au sehemu fulani ya mwili ambayo kikawaida haichukuliwi kama kiungo kikuu cha uzazi au sehemu ya tendo la ndoa.
Mtu mwenye fetish fulani anakuwa anapata msisimko mkubwa wa kingono (na wakati mwingine hawezi kufika kileleni kabisa) hadi pale tu kitu hicho, kiungo hicho, au tabia hiyo inapohusika.
Kuna tofauti kati ya fetish na fantasy hivo usichanganye.
Mfano mimi fetish yangu ni nyama nyama kwa wingi, na mwanamke avae kinyago cha pundamilia. Bila hivo sipati msisimko.
Ipi ni fetish yako kwa sasa.