Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,077
- 1,444
UKOMAVU NI MTAZAMO WA AKILI, SI UMRI.
HIZI HAPA DALILI ZA MTU ALIYEKOMAA!
• Haogopi kuwa peke yake.
• Anatambua kuwa pesa siyo mbaya, ubaya ni kukosa pesa.
• Anajua kuwa Nafsi inaweza kuwa adui yako mkubwa au msaidizi wako mkubwa.
• Anagundua maisha huwa mazuri zaidi pale watu wasipojua kila kitu kuhusu wewe.
• Hajali tena watu wengine wanafikiria nini kuhusu yeye.
• Hapotezi muda kusumbuka na vitu ambavyo haviwezi kudhibitiwa na yeye.
• Anaelewa kuwa malipo yake hutegemea thamani anayoitoa kwa watu.
• Anajua kuwa mwisho wa siku familia yake na marafiki wachache wa kweli ndio watabaki karibu naye.
• Pia anatambua kuwa mwisho wa yote, hata familia na marafiki wataondoka…
Abuuabdillah ✍️
0744 883 353