nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Kunywa Mkojo wako wa Kwanza wa Asubuhi ni Dawa Murua sana

    Bandhugu' Nasikia hii ni dawa nzuri sana Urine therapy refers to one of several uses of urine to prevent or cure sickness, to enhance beauty, or to cleanse one's bowels. Most devotees drink the midstream of their morning urine. Some prefer it straight and steaming hot; others mix it with...
  2. JamiiForums Tanzania Tumia Nguvu zako kupata Pesa

    SAFARI YA KUTAFUTA PESA. TUMIA NGUVU ZAKO KUPATA PESA. Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, walisema wahenga. Kubagua kazi ni kauli za wasio na maono. Kuishi bila kazi na kuridhika kuwa duniani bila kujishughulisha na chochote wakati Mungu amekupa Uhai, akili, na afya njema UNAKUWA MZIGO...
  3. JamiiForums Tanzania Mama Janneth Magufuli asante kwa neno hili la hekima na unyenyekevu- Mungu akupe nguvu ya kuubeba msiba huu

    “Mheshimiwa Rais nilikupigia simu lakini kwa bahati mbaya sikukupata lakini baadae ulinipigia na nikakuomba uhudhurie shughuli hii ukakubali na uliniahidi kuwa utakuja japokuwa sikuomba kwa maandishi lakini umekuja,asante sana umeniheshimu sana Mama” "Tunakuombea Mungu akupe nguvu ya kuendelea...
  4. JamiiForums Tanzania Kama unaamini uwepo wa Mungu, usiipite hii!

    Hello! Kuna jibu huwa najibiwa sana na washika-dini kila ninapowauliza kwanini wao wanaamini uwepo wa Mungu. They are like, "Unaamini uchawi upo?" Nikimjibu, anakuja na hii, "Kama unaamini uchawi upo, kwanini huamini Mungu yupo?". Yaani hapo huwa wana nadharia yao kuwa, everything is two...
  5. JamiiForums Tanzania Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania, yatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi

    KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi. Akizungumza kwa niaba ya Kamati...
  6. JamiiForums Tanzania Nguvu za Imani👹👹

    Wakubwa na ndugu zangu naamini Mungu katujalia utajiri wenye thamani, namaanisha Afya. Tuseme Asante...... Kila siku nimekuwa nikifuatilia taarifa kwenye kurasa na blog mbalimbali miongoni mwa hizo ni jamii forums. Sehemu nyingi kati ya hizo ninakumbana na taarifa juu ya upatikani wa utajili...
  7. JamiiForums Tanzania Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

    Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea. Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho. Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi. Kila la kheri
  8. JamiiForums Tanzania Kitabu cha ''wanawake wa nguvu'' kimezinduliwa

    KITABU CHA ''WANAWAKE WA NGUVU'' KIMEZINDULIWA ''KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wakurugenzi mbalimbali wanawake nchini wameungana na kuzindua Jukwaa la Pamoja la Wakurugenzi Wanawake wa Asasi za Kiraia. Jukwaa hilo linalenga kuwa na sauti za pamoja katika kusimamia haki za...
  9. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi nguvu ya vyombo vyao vya dola

    Sikutolewa gerezani kwasababu kuna mtu ananipenda, nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi sana. ======== Freeman Mbowe: Tulianza kama chama kidogo, leo ni chama kikubwa dunia inakitambua hata CCM waliokuwa hawatutambui kupitia kesi hii wametambua kwamba CHADEMA ni jeshi...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania List ya sarafu za Afrika kuanzia ile ambayo ina nguvu zaidi hadi ile ambayo haina nguvu. Kenya ipo vizuri, Tanzania inavuta mkia

    Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
  11. JamiiForums Tanzania Wenye tatizo la nguvu za kiume, tiba imefika Aga Khan

    Wanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, sasa watapata ahueni baada ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKUH) kufanikisha upasuaji wa kupandikiza uume kutibu tatizo hilo. Upasuaji huo ambao ni wa kwanza kufanyika katika ukanda wa Afrika Mashariki, umekuja wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata nguvu za kiroho

    Za siku nyingi wana JF. Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa namna nitakavyo weza kufundisha somo hili tajwa. Leo nimeona niweze kutoa utangulizi wa mambo ya kiroho na kuweza kuzipata guvu zake. Watawala wengi duniani na makundi mbalimbali huzitumia nguvu za kiroho katika kujinufaisha kwenye...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali mbili kuelekea moja v/s Serikali mbili kuelekea tatu: Nguvu za kimaslahi v/s nguvu za Kizalendo

    Mwanzoni mwa miaka ya 80 na Mwishoni mwa miaka ya 90, ulikuwa ukihoji chochote kuhusu muungano uliandamwa sana na kuitwa muhaini. Tunakumbuka sakata la Aliyekuwa Rais wa Zanzibar wakati huo Mzee Jumbe la kulazimishwa kujiuzulu na sakata maarufu la kuchafuka hali ya hewa ya siasa Zanzibar...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kimenuka! Rais Putin atoa kitisho, asema anaweza kutumia nguvu za kijeshi kwa Marekani na NATO kutokuzingatia mistari miekundu (red lines) za Urusi

    Jisomee mwenyewe hapa! Siku zote vita kubwa huanzaga kama utani vile na kama haitatokea vile, lakini mwisho wa siku huwa ni mlipuko mkubwa wa vita. Hatimaye Urusi inaelekea kuchoka kuoneshwa ubabe na Marekani kwa kutishiwa vikwazo. Anadai wakiendelea kupuuza red lines zake, "liwalo na liwe"...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna wanaolindwa na nguvu za ziada

    Kuna dada mmoja aliolewa na mkaka mlokole. Si unafahamu ule wakati umekaa kwenye shelf mpaka age mates zako wote wameolewa, mwisho unaamua anaekuja nitamkubali, ndicho kilichomtokea huyu dada. Yeye alikua mkristu wa Jumapili tu lakini mume wake aliamka na kuomba kwanza kabla hajatoka chumbani...
  16. JamiiForums Tanzania Mke na mume sio ndugu, lakini uhusiano wao ni mkubwa na una nguvu kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa

    Haya ni mawazo yangu. Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa tumbo moja.kushinda uhusiano wa baba na mtoto,au marafiki wawili. Lakini pamoja na uzito wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna utajiri wa nguvu za giza?

    Hi ndugu, Naambiwa sana na kusoma simulizi kuwa mganga wa kienyeji anaweza kumuwezesha mtu kupata utajiri. Utajiri tena wa pesa taslimu (CASH) noti tupu. Kwamba unaenda kwa mganga na ukitoka tayari unazo, unatoka na maburungutu ya kutosha kwenye mfuko (begi). NAOMBA anayejua anijuze kwamba JE...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitutumua kwa nguvu zote. Watanzania Bara hawana mpango na Act Wazalendo na walishaitoa mioyoni kabisa

    Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu Maalim Seif. Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa...
  19. JamiiForums Tanzania Congo: Wachawi wafanya tamasha la hadhara kuonyesha nguvu walizo nazo za kufanya miujiza. Waazimia kuutumia uchawi kukuza uchumi na maendeleo

    Wachawi nchini Congo 🇨🇩 DR wamefanya tamasha la wazi lenye nia ya kuonyesha nguvu na uwezo waluo nao. Wachawi hao kutoka majimbo 12 walikuwa wamevalia mavazi yenye rangi kali na waliweza kuonyesha shughuli zao mbalimbali ambapo waliiomba serikali ya nchi hiyo iwapatoe leseni ili waweze...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo; 1. Urefu 2. Mwonekano wa umbo 3. Uwezo wa kupiga paredi 4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi. 5. Unoko Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…