Hivi Marioo anafahamu ukubwa wa ushawishi na nguvu yake kimuziki hasa Amapiano?

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,353
4,536
Habari Wana JF.

Ukiacha kwamba huyo dogo kajipambanua na Utopolo kwenye remix ya Utopolo Tamu.

Dogo anajua sana na ni mfalme wa amapiano hapa TZ, chagizo langu kwa huyu dogo nwenye kunipa raha na vibes shibishi nafsi, hivi anafahamu hazina yake kwa hii niche ya muziki wa amapiano?

Na anajua timely optimal use ya competitive strength katika kupiga pesa mwaka huu na kupiga ziara Marekani kwa network ya diaspora kwa kua na package walau nyimbo tatu au nne baada ya bia tamu.

Mimi natamani dogo akue fasta vipi wadau wa amapiano tumpe ushauri wenye vibes karibuni.
 
Back
Top Bottom