Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
2,199
6,890
Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.

Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.

Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.

Kila la kheri
 
Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.

Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.

Kuna wakubwa wanaangalia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.

Kila la kheri
Si kwamba aling'ang'anie kwa maneno na vilio tu, anatakiwa apeleke documents za umiliki zitakakohitajika kuthibitisha umiliki wake...

Suala la wakubwa kuangalia mtanange huu hatakiwi kushangaa..

Maana hata yeye wakati wake kuna wakubwa walikuwa nyuma yake
 
Kosa la makonda ni kutokufanya transfer kwa wakati.

Jamaa wametumia hiyo loophole kumtingisha.

Ila kama signature za GSM ni authentic na alisaini bila kushurtishwa.

Basi Makonda ana haki.
 
Hapa hujaweka hoja mkuu... Ukizingatia tuna ID fake, hivyo najua nini kwenye hili wewe huwezi jua
Si kila kitu cha kuweka wazi hata kama unatumia ID fake boss wangu ila jua kwa ufupi kuna kambi mbili zinavutana maana hili la Makonda ni mnyonyoro mrefu mno linagusa hadi taasisi pendwa.

Hivyo tutulie tuone mambo yatakavyokwenda
 
Si kila kitu cha kuweza wazi hata kama unatumia ID fake boss wangu ila jua kwa ufupi kuna kambi mbili zinavutana maana hili la makonda ni mnyonyoro mrefu mno linagusa hadi taasisi pendwa.

Hivyo tutulie tuone mambo yatakavyokwenda
Sawa, lakini ujuwe wengi wetu tunataka AANGAMIE NA APOTEE KABISA... Aliyowafanya watu wakati akiwa mkuu wa mkoa yanatosha...
 
Hakuna siasa hapo ni vielelezo halali ndio vitaamua hiyo kesi!!

Kuanza kulalamika kuwa kunawakubwa wanamuandama hakutamsaidia Makonda Kwani ni dalili kuwa ameshikwa pabaya; akianza kuwachafua watu kama ndio mbinu za kutaka kuonewa huruma , mwenzie anategemea kupata haki yake mahakamani sio ccm!!

Kuanza kuwaingiza wakina SHAKA kwenye mtanage huu ndio kutammaliza!
 
Kosa la makonda ni kutokufanya transfer kwa wakati.

Jamaa wametumia hiyo loophole kumtingisha.

Ila kama signature za GSM ni authentic na alisaini bila kushurtishwa.

Basi Makonda ana haki.
Hilo eneo alinunua au alipewa kama zawadi na GSM? Alipewa eneo wazi au na hilo jengo/ghorofa?

Sijapata undani wa hili Sakata.. Thread zote hazielezei Kwa kina. Zinatoa muendelezo tu kama vile watu wote wanajua yanayoendelea huko Daslam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupambana ni kupeleka hati na vielelezo vingine mahakamani sio kwa mipasho.

Na wakati huo huo atakuwa amewaalika takukuru ili awaambie ni kwa namna gani alizipata Mali hizo ikiwa mtumishi wa uma kwa muda mfupi? Je alikuwa akiorodhesha Mali hizo ktk fomu za maadili?

Pengine alishafanya biashara hatuwez kumuhukumu moja kwa moja, basi atalazimika kuonesha biashara na malipo yake ya kodi.

Kiufupi huu mgogoro unamuweka pabaya
 
Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.

Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.

Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.

Kila la kheri
USHAHIDI HALISI, MASHAHIDI, DOCUMENT SAHIHI NDIVYO VITU PEKEE VITAKAVYOWEZA KUMUOKOA, UKIWEMO USHAHIDI HALISI.
 
Back
Top Bottom