nguvu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

    Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ili uwe na nguvu nchini unahitaji hivi vitu vitatu

    Kwahiyo pambana sana kijana, hili ni somonhasa kwa vijana lazima uwe na nguvu tatu muhimu uweze kuheshimika 1. Nguvu ya kiserikali, lazma uwe karibu na serikali na watu wake wa juu ikiwemo Rais, waziri, rcs , wabunge, igp, mabeyo, 2. Nguvu ya uchawi - maadui ni wengi unahitaji ulinzi wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 haiathiri nguvu za kiume

    Wataalamu wa Afya wanaeleza kuwa nadharia zote zinazozihusisha Chanjo za #Coronavirus na kupunguza nguvu za kiume na mfumo wa uzazi kwa mwanaume sio za kweli. Aidha kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanywa juu ya suala hili Wataalamu wanabainisha kuwa Chanjo za corona zimetengenezwa ili...
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana

    Pombe hii ina kiwango cha kilevi asilimia kumi(10%)tu lakini wanywaji wa pombe hii ukiwaona hata kwa macho utajua tu huyu ni wa banana. Pombe hii imekuwa ikiuzwa kwa bei rahisi tu ya sh 500 ndo mana vijana wengi wanaweza kumudu kuinunua,lakini ulevi wake sio wa kawaida kwani vijana wengi...
  5. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usitumie nguvu kubwa sana mwanamke akupende. Utalia sana!

    Wasalaam, Kati ya vitu vingi mbavyo wanaume wengi huwa wanakosea ni pale wanatumia 'Nguvu' kubwa sana kuwapata hawa wanawake, hasa ikiwa ana malengo naye ya future. Kama ni mwanamke anayekusuuza roho ukimuona na wewe ukatumia nguvu kula 'msambwanda' uridhishe nafsi sawa. Ila sio kama una...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ifahamu nguvu ya koromeo la fisi katika biashara

    Katika biashara yapo mambo yanayofanywa na wafanyabiashara ili kuwavuta wateja ambayo ukisimuliwa unaweza kufikiri ni utani ama story za vijiweni. Miongoni mwa mambo hayo ni matumizi ya koromeo la mnyama fisi katika kuchujia pombe za kienyeji. Inasemekana endapo utakunywa pombe iliyochujiwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinaifanya dawa kuongezeka nguvu pale inapotegwa kwenye mlango wa choo?

    kwa wale wataalam wa ndumba ni kipi huifanya dawa kuwa imara sana pale inapotegeshwa kwenye mlango wa kuingilia chooni
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ni wakati kwa Marekani kuelekeza nguvu kupunguza pengo la chanjo

    Hivi karibuni, shirika la ujasusi la Marekani lilitoa ripoti kamili kuhusu chanzo cha virusi vya Corona, ambayo ilishindwa kujibu swali kuwa ni jinsi gani virusi hivyo vya ugonjwa wa COVID-19 vilimwambukiza mtu wa kwanza. Baada ya kupoteza nusu mwaka ambao ni fursa muhimu kwa dunia nzima...
  9. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wajenga mabanda holela na kujiita Wamachinga Suluhu yake haitapatikana kirahisi

    Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini shetani anatumia nguvu nyingi sana ku-promote ushoga (mapenzi ya jinsia moja) kuliko dhambi nyingine?

    Yani kuna dhambi za uzinzi, uongo, wizi, na vyote vinampeleka mtu motoni ila cjaelewa kwanini ibilisi anapenda sana kupigia promo ushoga kupitia filamu za hollywood, mitandao, nyimbo za wasanii, taasisi kubwa za kifedha duniani, na mataifa makubwa, hadi kufikia baadhi ya mataifa kuhalalisha...
  11. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Jinsi Israeli ilivyoweza kupata Nguvu ya Kijeshi Mashariki ya Kati na kuwa tishio

    Unachofaa kujua ni kwamba Israeli inabaki katika hali ya ukosefu wa usalama kwa sababu ya kukosa kuafikia amani ya kudumu na majirani zake. Hilo limedhihirika kutokana na machafuko ya kila mara katika sehemu za Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza hatua inayomaanisha kwamba Yerusalemu...
  12. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Manyerere Jackton: Kila ukikutana na Mwalimu Nyerere unahisi nguvu fulani ya ajabu

    Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu. Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya kipekee ya Mtanzania huyo..... Anasema kuwa pamoja na ucheshi na misimamo aliyokuwa nayo bado...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Media: Aliyepaswa kuwa maarufu ni OYADEPO sio TB Joshua

    Ukiteka vyombo vya habari umeteka dunia. TB Joshua (hayati) alikuwa amkaribii kwa chochote Mzee Oyadepo. Oyadepo ndio mchungaji Tajiri kuliko wote ulimwengini. Amehamasisha watu wengi kuwa matajiri duniani. Ukisoma kitabu cha Oyadepo ukaja ukisoma cha TB ni sawa na kula Mua na kisha...
  14. U

    JamiiForums Tanzania USA wanaprint Sana Dollar, ndio Maana ya nguvu za kiuchumi?

    Wamarekani ni watu wajanja Sana, kwakuwa wameshikilia currency ya dunia basi wataendelea kuwa namba moja kiuchumi. 1. Bajeti yao ikipungua wanaprint dollar, feds 2. Wakipata msukosuko wanaprint dollar 3.wanaprint Dolla wanakukopesha 4. Mabenki yao yakiyumba wanaprint dollar wanawapa Sasa...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Urithi wa nyumba ya babu yenye nguvu za kiroho. Je, iuzwe hata kwa hasara, ipangishwe, ichukuliwe mkopo benki ama kifanyike kipi?

    Hello wanajamvi, great thinkers. Wiki chache zilizopita kuna babu yangu upande wa mama alifariki Katika mali alizoacha kuna nyumba na warithi ni watoto zake akiwemo mama yangu, mama wadogo zangu wawili na wajomba zangu wawili. Sasa tatizo linapokuja ni kwamba hakuna anaetaka kurithi hio...
  16. nyboma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa. Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasaikolojia: Wanaume wanaopenda kwenda Gym ndiyo Wanaongoza kusalitiwa na Kupungukiwa nguvu za Kiume

    "Wanaume wenye kupenda kufanya tu Mazoezi ya Kutembea Umbali mrefu au Kukimbia umbali wa Kiasi ndiyo Wanaoongoza kwa Kuwaridhisha zaidi Wapenzi wao Vitandani tofauti na wale wapenda kwenda na Kukesha gym", alisema Mwanasaikolojia. Siku zote Mightier nimekuwa nikiwapinga mno hawa Wanasaikolojia...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii, Iko wapi nguvu yenu katika kanda za Kati, Nyanda za Juu kusini, Kusini na Mashariki?

    Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii; 1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la machinga litatuliwe kwa hekima sio nguvu

    Naona tuna tumia nguvu kutatua tatizo tulilo lisababisha wenyewe. Sikuzote tunasema vijana wajiajiri, tulitegemea watajiajiri wapi? Njia rahisi ya kutatua tatizo hili, kwanza nikuwatambua machinga, tuwape nafasi wachague viongozi, wajiorodheshe na tuwape vitambulisho. Tuwaruhusu wachague eneo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Usivae barakoa wakati wa kushiriki michezo inayotumia nguvu kubwa

    Haishauriwi kuvaa barakoa wakati wa kushiriki michezo au kufanya shughuli za mwili kama vile kukimbia, kuruka ili kutoathiri kupumua kwako. Kuvaa barakoa wakati wa kufanya mazoezi inaweza kuwa jambo hatari. Hii ni kwa sababu, unapofanya mazoezi, mapafu yako yanahitaji hewa zaidi na wakati...
Back
Top Bottom