ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Elimu siyo ngumu lakini mambo kama haya ndiyo yanaifanya iwe ngumu kwa watoto; Wizara ya Elimu, BAKITA boresheni

    Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu! Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa! Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana Kanda ya Ziwa, familia zinajikomboa kwa kununua debe la udaga, mahindi na dagaa

    Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana. Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000. Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kweli Hali Ngumu mpaka Muda huu 0-0

    No Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wazazi wapumzisheni watoto wenu. Ngoma hii ni ngumu, wapeni moyo

    WAZAZI WAPUMZISHENI WATOTO WENU; NGOMA BADO NGUMU. WAPENI MOYO. Anaandika, Robert Heriel Inawezekana wewe ni miongoni mwa Vijana mnaopitia kipindi kigumu Kutokana na shinikizo la wazazi wakikutaka Uajiriwe. Licha ya kuwaambia upatikanaji wa kazi umekuwa ni mgumu lakini bado wazazi wamekuwa...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin kwa mara ya kwanza alia hali ilivyo ngumu kwenye uwanja wa mapambano huko Ukraine

    Akiwahutubia wana usalama, amesema ngoma ni ngumu sana pale Donetsk na Lugansk, yaani huyu jamaa ni kama huvuta bangi, nakumbuka alipompa Zelensky masaa 24 aihame nchi, leo analia lia... Na atakoma ubishi maana kipindi cha baridi kali kinakaribia, wanajeshi wake wako kwenye nchi ya watu, watu...
  6. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Halotel nimewavumulia vya kutosha, kwaherini

    Niliwaamini Sana niliwavumilia Sana. Najua nikiangalia salio nimechangia kampuni yenu na vinatosha. Narudi nyumbani. Inatisha, nimekuwa nikununua airtime tena via halopesa, nimefanya hivyo kw mtindo wa si chini ya 8-9000 Kwa siku..... Kwa mwezi mzima haipungui 9000*30 =270,000 Kwa uchache...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rufaa dhidi ya Sabaya ngoma ngumu bado

    Rufaa ya kupinga kuachiwa huru kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi kesho Jumanne Desember 13, 2022. Rufaa hiyo ilikatwa na Serikali ikipinga hukumu ya kuwaachia Sabaya na wenzake watano iliyotolewa Juni 10,2022. Juni 10,2022 Sabaya na...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Bongo maisha yamekuwa magumu kwa sasa? Nimepigwa mzinga na wahitimu watatu ndani ya siku moja. Kiwango wanachoomba ndiyo kimenishangaza!

    Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela. Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni. Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao. KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake. HAWA ni graduate ambao...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kuikosoa Serikali ukiwa madarakani ni kazi ngumu mno

    Kufupisha Uzi nitatoa mfano! Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea! Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
  10. kagoshima

    JamiiForums Tanzania CCM wanaongoza nchi kisanii, ngumu sana kwa Tanzania kusonga mbele bila mbadala

    Nitataja mambo kadhaa 1. Kwanini mchakato wa katiba mpya awamu ya pili ya Mh Jakaya utumie mabilioni ya pesa kisha uwe abandoned kirahisi tu hivi????. Hizo fedha zingesaidia kumaliza tatizo la maji mikoa kadhaa yenye shida ya maji. They don't care 2. Baada ya zoezi la sensa meseji zinazotumwa...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha mitaala yetu ya elimu vyuo vikuu ni kazi ngumu sana isiyowezekana

    Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
  12. Thailand

    JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii hadi chombo cha serikali (TBC) wanahamasisha kamali ya Upatu

    Now Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, Kila Tv na radio habari yao ni moja tu "cheza ushinde kwa buku tu" hii inafikirisha sana. Inaamana Uchumi wetu umeporomoka sana kiasi kwamba kila mwananchi anavizia mchongo wa kamali ili kutimiza malengo. Uchumi huru kwa wananchi hasa wa hizi nchi...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa watarejea nchini hivi karibuni ili kuendeleza jitihada za kudai Katiba mpya. Wakizungumza katika kongamano la Baraza la Vijana la CHADEMA...
  14. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Wanawake hiyo haki yakusema mmetuvumilia sisi wanaume na hali zetu ngumu mnaitoaga wapi?

    Hi Mwanamke how unawezaje basi sema hata tumevumiliana maana hata na wewe pia nilikukuta una hali ngumu ya kiuchumi
  15. Jelamashele

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali wakomunist wetu wajipambanue tuu. Kuwa hawana Mungu anayeabudiwa na dini

    Hivi wakomunist uchwara wanafahamu Karl Marx hakutaka Mungu. Na alichoanza kupambana nacho ni dini. Ndio maana akasema dini ni KILEVI CHA UBONGO. Ukomunist ni mifumo haitaji Mungu. Kwa hiyo mkomunist hawezi kutuambia kuwa ana dini au anaamini Mungu. Kuna dhana ya kuwa serikali haina dini ila...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nafasi ipi ni ngumu kuicheza katika soka?

    Me nafikiri ni nafasi ya kiungo mkabaji. Imagine unatakiwa ukabe, ufanye interception, ufanye blocking, tackling na bado uanzishe mashambulizi kwenda langoni kwa mpinzani wako. Ukizubaa ndio timu inaelemewa. Kwa upande wako ni nafasi/namba gani ni ngumu kuicheza kwenye football?
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Yanga SC kuanzia nyumbani na timu ngumu CAFCC

    Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho. Chanzo: EFM Sports Headquarters Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana...
  18. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Yanga ina bahati ya kukutana na timu ngumu ngumu

    Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo? Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
  19. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuwatoa Wasudan kwao, Simba ashawahi kushinda nyumbani akaenda kufa Sudan!

    Umofia kwenu. Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya. Simba alishawahi kushinda tatu kwa mtungi kwa Mkapa akiwafungu Ahli Shandy, ila alienda kufa nne bin sifuri...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

    Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye mada. Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
Back
Top Bottom