Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao.
Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo.
Misaada hii ililegwa kwa...
Maandamano makubwa yametokea katika Mji wa Antananarivo Nchini Madagascar yakihusisha mamia ya Wananchi ambao hoja yao kubwa ni maisha kuzidi kuwa magumu wakiilaumu Serikali ya Rais Andry Rajoelina kuhusu hali hiyo.
Polisi wamelazimika kuingilia na kuwashikilia viongozi wawili wa juu wa Chama...
Walimu tuna hali ngumu (walimu)
Na sisi tuna umuhimu (walimu)
Tutazua kitimutimu (walimu)
Hadi wizara ya Elimu (Walimu)
Nimeukumbuka huu wimbo wa wagosi wa kaya jamani
Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani.
Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu.
Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.
Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu.
Kama upo CCM na...
Watu wakiambiwa Senzo ni genius wanabana pua na kuanza kutikisa masikio, yanga ya sasa ni mooto wa kuotea mbali kiuongozi nje na ndani ya uwanja, wakati itakapokuwa imetoka katika kambi ya kisasa huko morogoro kijijini matombo tarehe 6 machampion wa nchi watapata mechi ya kujipima nguvu na...
Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.
Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.
Nenga akamrejea Nandy na...
Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi...
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu zangu mwaka 2005 mwishoni, mimi na madogo fulani wawili wa mtaani tulikuwa safarini tukielekea Kaburu. Mimi nikiwa kiongozi wa safari, tuliamua kupitia njia ya Malawi ambayo ndio nilikuwa...
Ile miaka yetu wahenga mama zetu wengi walikuwa wake na mama wa nyumbani. Wengi walifika kuanzia darasa la nane na kuendelea. Enzi za elimu ya mkoloni cookery na needle work yalikuwa masomo compulsory kwa mtoto wa kike.
Mishahara ya wazazi haikuwa mikubwa sana lakini wengi tulibahatika kuishi...
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu.
Kwa miezi kadhaa kabla ya machi 2022, pesa ilikuwa na thamani japo ilikuwa si rahisi sana kuipata kutokana na mirija mingi ya rushwa na ufisadi kufungwa. Leo hii pesa haina thamani. Tsh elfu 10 ni kama sh elfu 1.
Bidhaa bei ghali. Tozo kila mahali...
Simba ni kubwa mno kuwa na CEO kama Barbara.
Kwa waislamu ni dhambi kusema uongo makusudi, Ahmed Ally kijana wa watu anapitia kipindi kigumu sana kinachomfanya aharibu dini yake. Analazimika kusema uongo kwa kujua au kutokujua ili tu kuifunika Simba isikae uchi. Atafanya hivyo hadi lini?
Kwema Wakuu!
Kuna vitu bhana licha ya kupewa kashfa kadhaa na watu au Wataalamu WA Afya au Watu wa dini lakini ukijiingiza katika kumi na nane zao ujue kutoka sio kazi ndogo, yaani hutatoka kirahisi. Vitu hivyo ni;
1. Punyeto
Wengine mpaka wameoa lakini wameshindwa kuacha hii kitu.
2...
China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina....
Na pia inapata tabu kutumia hela ya India
==================
June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank...
Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume.
Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo...
Tokea zamani nimekuwa siamini msemo unaosema kwamba utajiri unahitaji uvumilivu,subira,kupitia magumu nakadhaalika.
ninachoamini ni kwamba utajiri sio mgumu kupatikana ni rahisi lakini huwenda njia zake hizo watu hawazijui(zina siri)
Tukumbuke kuwa kitu kuwa rahisi haina maana kwamba watu...
Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi...
Vijana tunaozaliwa wakwanza Huwa na Kama baba ukimwacha baba halisi.
Nikaamua kwenda kuzisaka pesa kwa ajili ya kuwatunza wazee wangu na Mimi binafsi.
Hapo ndipo nilipoona hela Ni ngumu mno kuishika. Nimefanya kazi ngumu ngumu za kuchosha sana mwili Ila ujira huna cha kuhifadhi ugonjwa...
Nimeangalia mechi vs Geita Gold nikabaki natikisa kichwa tu...dah kwa kweli kazi ipo..ukweli ni kwamba mechi ya fainali hiyo trh 28 utopolo ndiye favourite kushinda hata makampuni ya betting yatampa yeye.
Wachezaji hawana fitness hadi nimemkumbuka yule Mtunisia , najua kila team kuna wapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.