ngorongoro

  1. Patriot

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro wanajengewa nyumba, Hanang pia wasaidiwe ujenzi wa nyumba

    Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni pesa ya serikali. Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63 Kama...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mpya Ngorongoro, Richard Kiiza Aapishwa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki leo Oktoba 29,2023 amemwapisha Kamishna mpya wa Hifadhi ya Ngorongoro katika ofisi za makao makuu ya Hifadhi hiyo mkoani Arusha, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi Richard Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa ufafanuzi Umoja wa Mataifa (UN) kutetea hatua za kunusuru uhifadhi wa Loliondo na Ngorongoro

    Na Mwandishi Maalum, New York, Marekani Nchi ya Tanzania imeshiriki mkutano mkuu wa 78 wa Umoja wa Mataifa ulioanza 25 Septemba, 2023 katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York, nchini Marekani ambapo imetumia mkutano huo kuelezea hatua za Serikali kunusuru uhifadhi na maendeleo ya...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi? ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kwa Wamisai Ngorongoro, tumechelewa lakini tumpongeze Rais Samia. Tujifunze Canada na tusahihishe

    Ni muda muafaka wa kumpongeza Rais Samia kwa kuwahamisha Wamasai na wakazi wengine ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kulingana na maamuzi kama hayo yaliyowahi kufanyika Canada na Marekani. Tarehe 20 ya mwezi wa 7 kila mwaka nchini Canada wanasherehea ' National Park Day" sherehe ambayo Wacanada...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe, Wananchi na Wanachadema wanasubiri uwasomee maazimio ya kamati kuu juu ya Maridhiano na suala la ngorongoro

    Kwako mheshimiwa Mbowe, Miezi miwili iliyopita, ulitutangazia kuwa Kamati kuu iliyokaa mwezi huo iliazimia mambo mengi, miongoni mwayo ni suala la bandari, Maridhiano na suala la ngorongoro. Lakini katika kusoma maazimio hayo, ulijikita zaidi kwenye suala la bandari, ukasema kuwa masuala...
  7. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Usijenge tena Ngorongoro hayo ni maeneo ya hakina Simba

    Masaai hataki kuelewa mjomba mliopo mnatosha hizo nyumba zilizopo mkirishina sawa. Mnaotaka makazi mapya mtengewa maeneo mengine; huko maporini achieni himaya za wanyamapori hawana pakwenda msiwafuate. Masai hataki kuelewa, yeye nani. Hakuna kurudi nyuma Masaai lazima adhibitiwe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro huenda kuna "crime against humanity" ya kutisha

    Kwa jinsi serikali inavyobehave huko Ngorongoro, huenda kuna makosa ya kutisha dhidi ya binadamu yanayofanyika huko. Hii nguvu ambayo serikali inatumia ili kuzuia ukweli inatoka wapi? Hali hii inatia mashaka sana kwa sababu haiwezekani serikali iwageuze wananchi wake kama watumwa wasiostahiki...
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inafanya "Cultural genocide" Ngorongoro

    Ni huzuni lakini inabidi tukubaliane na ukweli kuwa tumekubali kuwa kimya ili serikali iendeleze operation yake ya "cultural genocide" Ngorongoro. Wazungu kutoka ulaya wakati wanafika bara la America walikuta wakazi wa pale walio pingana nao kwa ubabe wa kifala na kipuuzi wazungu wale waliamua...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Tundu Lissu atimiza malengo yake

    Ukweli ni Kwamba, lengo la ziara ya Tundu Lissu na Chama chake, kupeleka Oparesheni 255 kwenye maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro ilikuwa ni kuitangazia dunia unyama wanaofanyiwa Wamasai na Serikali ya Tanzania, wa kuwahamisha kwenye maeneo yao mithili ya nguruwe ama mifugo mingine. Lissu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Enduleni Ngorongoro si haki. Sauti zipazwe

    Ngorongoro si gereza. Kamata kamata inayoendelea huko haina tija kwa Taifa hili: Zaidi sana inaiweka serikali hii matatani. "Haya ni ya kukemea bila kujali itikadi." Haki za kila mtu kikatiba ziheshimiwe. Serikali ina nini cha kuficha Ngorongoro?
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Zitto mpigania haki ndie huyu anayefurahia kuuzwa bandari za Tanganyika,kukaa kimya juu ya Katiba Mpya na wanayofanyiwa Wamasai Ngorongoro!?

    Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu. Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.leo hii amekuwa kimya katika...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuzuiliwa kuingia Ngorongoro Tundu Lissu kuhutubia Taifa na Dunia mchana huu

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili waendelee kutesa Wamasai , Mchana huu ATAHUTUBIA TAIFA NA DUNIA ILI KUELEZA KILA KITU KUHUSU MKASA...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Maoni Binafsi: Sina imani na Saa100 kwenye zoezi la kuhamisha wamasai Ngorongoro nikisoma ilani ya CCM 2020-2025.

    Turukie kwenye mada. Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga. 2. Hakuna mahali CCM imeelekeza akae kimya asiongee na wananchi kutolea maelekezo au ufafanuzi wa jambo ambalo limeleta...
  16. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Lissu Ngorongoro! Mkutano wa Kuvutia na Mapokezi ya Kishujaa

    https://youtu.be/lkdsG7HDqiU = = = Video source | mwanzoTV
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wacheni Siasa za Majungu- Ngorongoro crater ndio bustani ya Aden

    Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater. Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai. Nakala : Maulid Kitenge Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
  19. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Wamasai wa Ngorongoro: Tulikuwa kifungo baridi Ngorongoro

    -BABA MZAZI WA JAJI WA MAHAKAMA KUU ALIYEHAMIA MSOMERA AFUNGUKA Mzee Isaya Laltaika baba mzazi wa Jaji wa mahakama kuu DKT. Eliamani Isaya Laltaika ambaye ni pacha wa mhadhiri mwandamizi wa kitivo cha sheria chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichopo Arusha anaeleza anavyofurahia maisha mapya ya...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
Back
Top Bottom