ngorongoro

  1. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Mashuhuda waliohamia Msomera kutoka Ngorongoro wafunguka

    Tangu zoezi la kuhamisha watu walioamua kuhama kwa hiyari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia msomera kuanza na kuendelea kwa Wengi wa wananchi hao wameamua kutoa ushuhuda wa namna ambavyo maisha yao mapya ya Msomera yalivyo bora na salama kulinganisha na walipoluwa wanaishi hifadhini...
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Bilioni 700 kutumika kuwahamisha wakazi wa Ngorongoro

    Serikali imebainisha kuwa wastani wa Sh700 bilioni zitaihitajika kuhamisha kaya 22,000 zilizoko eneo la hifadhi la Ngorongoro ikiwa wananchi wote watataka kuondoka ili kupisha ikolojia ya uhifadhi kwenye eneo hilo. Naibu Kamishina wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Dk Christopher...
  3. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Ngorongoro, Loliondo faida kwa kizazi kijacho

    Kuondoka kwa hiari wafugaji wa jamii ya Kimasai kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni faida kubwa zaidi ya hasara kwa usalama wa mazingira yetu ambayo kila kukicha yanakosa uendelevu. Watanzania tuna kila sababu ya kulitunza eneo hilo kwa faida ya kizazi cha sasa na cha baadae kwani thamani...
  4. Senior masai

    JamiiForums Tanzania Wamasai na ngorongoro

    Naelewa hii mada imeongelewa sana ila naomba nije kwa namna nyingine Najua naeza nikawa naandika kitu ambacho labda kishapitwa na muda kutokana na serikali yenyewe pamoja na watu wake kuliweka cold,, Xenophobia ilitokea south africa wasanii reacted George floyd wakatoa hadi nyimbo i...
  5. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro

    UTEUZI Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Kuilinda Ngorongoro na Eneo Tengefu la Loliondo - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  7. W

    JamiiForums Tanzania Loliondo, Ngorongoro, Hayaruhusiwi kuendelezwa | Serikali na wananchi walikubaliana - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  8. R

    JamiiForums Tanzania Hii picha ina Maana Gani kwa Kinachoendelea Ngorongoro?

    Huyu Mtalii kavaa kimasai inaonekana anafurahia pia kuwa karibu na wamasai ,Nini maana Je wamasai ni sehemu ya utalii walipaswa kuachwa? Na kama wakiondoka je itapunduza watalii wanaokuja kwa Ajili kuwaona na kuvaa hizi Nguo?
  9. music mimi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ngorongoro; Tusioelewa vizuri tueleweshwe

    Uelewa wangu mpaka sasa ni kwamba Ngorongoro ni hifadhi na eneo la urithi wa dunia. Ni eneo lililotengwa kwa sababu ya upekee wa binadamu ambao ni Masai wanaishi na wanyamapori uku wakifanya shughuli zao in a traditional way. Serikali inataka kuwaondoa Wamasai wote Ngorongoro kwa sababu ya...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii Video Clip ninayoiona ya Waziri Mkuu akiwa huko Ngorongoro anashangilia na kuimba pamoja na Wanajeshi wa JKT inamaanisha nini?

    Je, ndiyo 'mnatulazimisha' tuamini kuwa Safari ya 'Watanzania' kuhamia 'Msomera' ilisimamiwa 'Kijeshi' na 'Vipigo' juu au?
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro ang’ang’ania Loliondo wanaonewa

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea kushikilia msimamo wake kuwa wakazi wa Loliondo wanaonewa, kuumizwa na kudhulumiwa haki zao wakati ardhi ni haki yao. Ole Shangai amerudia tena msimamo wake kuwa kuna wananchi wake ambao waliumizwa na lakini wakanyimwa PF3 na hivyo kuwafanya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

    Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania --- Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yakutana na Mabalozi na Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro

    Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa...
  15. system hacker

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Ngorongoro, Spika Tulia ana bahati sana yupo kwenye Bunge ambalo halina wapinzani

    Imagine ishu ya ngorongoro; halafu ndani ya Bunge yupo: 1. Tundu Lissu 2. John Mnyika 3. Godbless Lema 4. Peter Msigwa 5. John Heche 6. Sugu 7. Freeman Mbowe 8. Ezekiel Wenje 9. Halima Mdee (enzi hizo akiwa Chadema) 10. Ester Bulaya (akiwa Chadema) Halafu, anakuwa na flanks toka kwa Ole...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro na Loliondo ni ushahidi mpya wa uwepo wa wanasiasa uchwara

    Uwepo wa wanasiasa uchwara Tanzania uligunduliwa kwa mara ya Rais William Benjamini Mkapa (RIP). Uchwara wa wanasiasa wetu haujali kuwa una elimu kiasi gani, kabila, dini wala jinsi ya mwanasiasa. Hivi zile sababu zilizosababisha ndugu zetu Wamasai wachanganywe na wanyamapori ziko mpaka leo...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hatimaye dawa ya Kenya kukwamisha Maendeleo Tanzania imepatikana rasmi!

    Tangu Awamu wa 1 Kenya alijitanabaisha kama Silent enemy wa Tanzania na hii lilisababishwa na tofauti za kiitikadi/kiuchumi baina ya Mataifa haya mawili Ugomvi wa Kenya na Tanzania ulianza mara tu baada ya Tanzania kutangaza kufuata mrengo wa kijamaa hapo mwaka 1967 na kilichofuata baada ya...
  18. Green Beret

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Ngorongoro Conservation Area huwa ni kiasi gani?

    Habari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area? Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5. Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu. Asanteni sana🙏🏾
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Waziri Pindi Chana anataka Simanjiro, Ngorongoro na Longido kuwa Mapori ya akiba. Wamasai hatutakubali kamwe!

    Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba. Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana. Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya...
  20. James Martin

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wamasai wa Kenya wanakerwa na jambo la Ngorongoro kuliko sisi?

    Habari za Jumapili popote mlipo. Nafikiri wengi mnajua kuhusu mpango wa serikali wa kuwatafutia ndugu zetu Wamasai makazi mapya ili kuilinda hifadhi ya Ngorongoro. Hili jambo lilileta mjadala mkubwa sana miongoni mwa jamii yetu ya Watanzania. Wapo waliopinga kuhusu mpango wa serikali na pia...
Back
Top Bottom