ngorongoro

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Inaendelea na Utekelezaji Miradi ya Kusambaza Umeme - Ngorongoro

    SERIKALI INAENDELEA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME- NGORONGORO Na Godfrey Mwemezi, Ngorongoro Arusha. Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji miradi ya kusambaza umeme Vijijini...
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

    Hawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma. ====== Tanzania ni nyumbani kwa moja ya hifadhi bora za wanyama barani Afrika, ambayo inafanya iwe sehemu ambayo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu wanateseka Ngorongoro

    WAZEE WETU WANATESEKA NGORONGORO. TUNAKUFA “Hebu muangalieni tu angalieni bibi kama huyo?, Hebu muangalieni huyo bibi huyo hapo, angalia hiyo, unafikiri huyo bibi ni Afya yake hiyo? “Hata ukiangalia tu katika hali ya kawaida, Naombeni ndugu zangu hebu angalieni hiyo hali. INATISHA. TUNAUMIA”...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ngorongoro: OCD Peter Lusesa, awaweka ndani Wananch 17 wa kisangiro kwa siku 8 na kuwatesa, kwa kosa la kwenda Dodoma kuonana na Waziri Mabula

    Kijiji chetu Kinaitwa Kijiji Cha kisangiro kata ya kirangi tarafa ya sale Wilaya ya Ngoro Ngoro. Kijiji chetu upande wa mashariki kinapakana na Kijiji Cha jema, kusini kinapakana na Kijiji Cha Oldonyo sambu, Magharibi kinapakana na Kijiji Cha Mgholo na Tinaga, kaskazini kinapakana na mpaka wa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  6. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Kuhama kwa hiyari Ngorongoro ni pigo kwa wasioitakia heri Serikali, wenye uchu wa madaraka

    KUHAMA KWA HIYARI NGORONGORO NI PIGO KWA WASIOITAKIA HERI SERIKALI, WENYE UCHU WA MADARAKA Tuhuma za kuunga unga zasambazwa kila kona kuichafua serikali, watendaji wake Mitandao ya kijamii yatumika kusambaza uwongo Watumishi wa NCAA wasio waaminifu watumia UDINI, UKABILA Kuhamasisha chuki dhidi...
  7. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Ngorongoro kuna tatizo kubwa sana

    Huwezi amini hili eneo linapokea na kulaza wageni zaidi ya 100 kila siku. Ngorongoro Simba camping site huu mlango una zaidi ya miezi mitatu bila kufanyiwa matengenezo baada ya kuharibiwa na tembo ila tangu uharibike haujawai kutengenezwa na wala hakuna kiongozi anayeona hili ni tatizo. Pia...
  8. Mparee2

    JamiiForums Tanzania NCAA - Utaratibu wa malipo Ngorongoro unahitaji maboresho!

    Hapa naongelea kivutio cha NGorongoro Naona kuna usumbufu usio wa lazima ambao unaweza kupatiwa ufumbuzi kama mamlaka wataamua kufuata ushauri wa wadau wanao waletea wageni 1. Mgeni akibadilisha tarehe ya kuingia Ngorongoro hata kwa siku moja, kwa sababu zozote zile Haruhusiwi kuingia hadi...
  9. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Tafadhali TANAPA angalieni hali ya vyoo vya umma Serengeti na Ngorongoro Crater

    Hichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa na Ngorongoro mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
  10. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Ngorongoro mjitathimi kama mnamsaidia mama au na nyie mnamzuga kwa kusema tu anaupiga mwingi

    Salam wana JF. Nina matumaini yangu wote mpo salama. Napenda kuwaeleza juu utendaji dhaifu wa mamlaka ya Ngorongoro. Jana jioni magari mawili (fuso 1 na basi 1) yalikwama na kufunga barabara, iliyopelekea wageni waliokuwa wanataka hifadhi ya Serengeti kuelekea, Ngorongoro crater, Karatu na...
  11. NASIRIYA

    JamiiForums Tanzania Waliogoma kuhama Ngorongoro wajuta

    Ukame na njaa inayoendelea kutikisa mkoa wa Arusha na baadhi ya maeno nchini umewafanya wananchi waliokataa kuhama kwa huyari kutoka Bonde la Ngorongoro kwenda kijiji cha Msomero katika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wajuta. mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, RAYMOND MANGWALA alisema kutokana na...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali kesi ya Wamasai kuondolewa Loliondo

    Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali ombi la jamii ya wamasai katika kesi inayohusu mgogoro wa ardhi kati yao na serikali ya Tanzania. Ardhi iko katika Serengeti maarufu. Walalamikaji wa Wamaasai walitaka Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) iizuie serikali ya Tanzania kuwaondoa...
  13. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Mashuhuda waliohamia Msomera kutoka Ngorongoro wafunguka

    Tangu zoezi la kuhamisha watu walioamua kuhama kwa hiyari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia msomera kuanza na kuendelea kwa Wengi wa wananchi hao wameamua kutoa ushuhuda wa namna ambavyo maisha yao mapya ya Msomera yalivyo bora na salama kulinganisha na walipoluwa wanaishi hifadhini...
  14. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Bilioni 700 kutumika kuwahamisha wakazi wa Ngorongoro

    Serikali imebainisha kuwa wastani wa Sh700 bilioni zitaihitajika kuhamisha kaya 22,000 zilizoko eneo la hifadhi la Ngorongoro ikiwa wananchi wote watataka kuondoka ili kupisha ikolojia ya uhifadhi kwenye eneo hilo. Naibu Kamishina wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Dk Christopher...
  15. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Ngorongoro, Loliondo faida kwa kizazi kijacho

    Kuondoka kwa hiari wafugaji wa jamii ya Kimasai kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni faida kubwa zaidi ya hasara kwa usalama wa mazingira yetu ambayo kila kukicha yanakosa uendelevu. Watanzania tuna kila sababu ya kulitunza eneo hilo kwa faida ya kizazi cha sasa na cha baadae kwani thamani...
  16. Senior masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamasai na ngorongoro

    Naelewa hii mada imeongelewa sana ila naomba nije kwa namna nyingine Najua naeza nikawa naandika kitu ambacho labda kishapitwa na muda kutokana na serikali yenyewe pamoja na watu wake kuliweka cold,, Xenophobia ilitokea south africa wasanii reacted George floyd wakatoa hadi nyimbo i...
  17. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro

    UTEUZI Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Kuilinda Ngorongoro na Eneo Tengefu la Loliondo - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  19. W

    JamiiForums Tanzania Loliondo, Ngorongoro, Hayaruhusiwi kuendelezwa | Serikali na wananchi walikubaliana - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  20. R

    JamiiForums Tanzania Hii picha ina Maana Gani kwa Kinachoendelea Ngorongoro?

    Huyu Mtalii kavaa kimasai inaonekana anafurahia pia kuwa karibu na wamasai ,Nini maana Je wamasai ni sehemu ya utalii walipaswa kuachwa? Na kama wakiondoka je itapunduza watalii wanaokuja kwa Ajili kuwaona na kuvaa hizi Nguo?
Back
Top Bottom