news

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya kukutwa na Corona, Rais Donald Trump afikishwa Hospitali kwa Helikopta

    Rais Donald Trump amefikishwa Hospitali ya Jeshi baada ya kupata maambukizi ya COVID19 Kwa mujibu wa Daktari wake Sean Conley, Rais huyo amepewa kingamwili ya majaribio na alikuwa na uchovu lakini yupo katika hali nzuri White House imesema Rais Trump atakuwa Hospitali kwa siku kadhaa. Pia...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni visit to Chato

    MY TAKE: 2 days after signing a Host Agreement, Museveni is paying JPM a visit in Chato. Waiting to see if Uhuru will invite himself this time to Chato and offer a word of an apology to JPM as far as Kenya's COVID19 harsh treatment towards Tanzanians is concerned!
  5. JamiiForums Tanzania Total yafikia makubaliano na Uganda, yakaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kupitia Tanzania

    Uganda na kampuni ya Total ya ufaransa zimefikia makubaliano ambayo yanaifanya kampuni hiyo ya mafuta na washirika wake kukaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kwenda nchi ya jirani ya Tanzania, kampuni hiyo ilisema Ijumaa. Uganda iligundua hifadhi ya mafuta miaka 14 iliyopita lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya inaungua moto

    Hospitali ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya inaungua moto muda huu. Chanzo bado hakijafahamika. Waliopo karibu na eneo watupatie taarifa zaidi. Chanzo: EATV
  7. A

    JamiiForums Tanzania Habari Leo na Daily News ni magazeti binafsi ya CCM?

    Leo tuwapumzishe TBC kidogo. Nimekua nikifuatilia mwenendo wa magazeti ya serikali na nimesikitishwa na upendeleo wa wazi unaofanywa. Kwa msiojua kisheria, Mhariri mkuu (chief editor) wa magazeti ya serikali ni Rais wa Tanzania. Kwa hili, hutakiwi kushangaa kuona habari za kusifu serikali kila...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Citizen TV’s Victoria Rubadiri wins BBC World News Komla Dumor award

    Citizen TV’s Victoria Rubadiri wins BBC World News Komla Dumor award Citizen TV news anchor Victoria Rubadiri has been announced as the winner of the 2020 British Broadcasting Corporation (BBC) News Komla Dumor award. The win makes Ms Rubadiri the second Kenyan to win the award after her...
  9. JamiiForums Tanzania Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa

    ========= Jordan Strauss/Invision/AP Chadwick Boseman, star of “Black Panther,” died on Friday after a four year battle with colon cancer, his rep confirmed to Variety. He was 43. Before he was cast as the Marvel Studios superhero, Boseman’s career first exploded with his portrayals of Black...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

    Mabomu ya machozi yanarindima wakati huu jimbo La Iramba Magharibi mkoani Singida ambapo Mgombea ubunge jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Jesca Kishoa inasemekana amekamatwa na kufungiwa ofisi za msimamizi wa uchaguzi. Chanzo cha mabomu hayo kinadaiwa kuwa ni vurugu zilizotokea baada ya kutokea...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Rushwa ilivokithiri Kura za maoni za CCM Jimbo la Kalenga

    Tarehe 21 / 7 / 2020 Ulifanyika uchaguzi wa kura za maoni kupata mgombea atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 Jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Katika hali isiyotarajiwa RUSHWA ilikithiri sana kiasi cha wajumbe kupewa pesa eneo la uchaguzi kilipo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Sky News kuhusu Magufuli na COVID-19

    Hiki ni kipande cha ripoti ya Sky News, moja ya shirika la habari la binafsi huko Uingereza. Ni kipande kilichorushwa tarehe 8 mwezi Juni mwaka huu. Ni kipande kinachozungumzia jinsi ambavyo Rais Magufuli na serikali yake ilivyoamua kukabiliana na huo ugonjwa wa Coronavirus. Ni karibu miezi...
  14. JamiiForums Tanzania James Murdoch ajiuzulu news corp, wamiliki wa Wall Street Journal na New York Post

    Aliyekuwa CEO wa 21st century Fox, James Murdoch amejiuzulu kwenye bodi ya News Corp ambayo ni kampuni mama ya jarida maarufu la Wall street. James ameelezea kutokubaliana na maudhui yalichapishwa na vyombo vya kampuni hio kama sababu ya kuachia ngazi ambayo amehudumu kwenye bodi tangu 2013...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yazuia viatu virefu, kucha ndefu ofisini

    SERIKALI imetoa Mwongozo wa Mavazi kwa Watumishi wa Umma, ulioanza kutumika Julai mwaka huu ili kuboresha unadhifu. Katika mwongozo huo, Serikali imeonya kuhusu mtindo wa sasa kwa baadhi ya watumishi kuwa na kucha ndefu au kukata nywele mtindo wa ‘rafu dread’ zenye rangi. Kwa mujibu wa taarifa...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania’s ruling party has nominated President John Magufuli to run for a second five-year term

    Tanzania’s ruling party has nominated President John Magufuli to run for a second five-year term, while opposition parties and human rights groups demand an independent electoral body to oversee the October vote. DODOMA, Tanzania (AP) — Tanzania’s ruling party on Saturday nominated President...
  17. JamiiForums Tanzania Daily News, itendeeni haki hii picha

    Hii picha imetoka katika Gazeti la Serikali katika ile safu ya "Down Memmory lane" mara nyingi sana. Kama sikosei karibia mara 10! Sijui Daily News wanataka kutuambia nini lakini jina la Katibu Mkuu Ujenzi siyo Mr David Mlingwa bali Dr George Mlingwa. Kosa hili limekuwa likirudiwa rudiwa sijui...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro atangaza kupata Corona

    Kupitia chaneli ya Taifa, Rais Jair Bolsonaro (65) ametangaza kupata maambukizi ya #CoronaVirus baada ya kufanyiwa vipimo kwa mara ya nne siku ya Jumatatu kufuatia kuonesha dalili za ugonjwa huo Bolsonaro amekuwa mara kwa mara akipuuza ugonjwa huo huku akiuita ni mafua madogo ya kawaida na...
  19. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

    UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maendeleo Norway yakanusha taarifa ya Daily News kuhusu Tanzania na mapambano dhidi ya COVID-19

    Wakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…