news

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka

    Jengo hili lilikua ndio sura ya mji Mkongwe Zanzibar na kivutio Kiki kikubwa cha utaliii, lakini serekali imeshindwa kulitunza. Serekali ya Oman 🇴🇲 ilikua tayari kulikarabati lakini inaonekana wamefanyiwa urasimu na watendaji wenye tamaa. === Jengo la Beit al Ajaib lilijengwa na sultan wa...
  2. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wa Kenyan News and Politics: Happy End/Beginning (2020/2021) of the Year Festival

    Bila shaka tumekuwa na kipindi kizuri cha takribani siku 360. Tumekuwa na tumepitia changamoto nyingi, lakini tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwenye rehema kwa kutuweka tukiwa salama. Nichukue fursa hii kuwatakia mapumziko mema ya mwisho na mwanzo wa mwaka.
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Daily News ni kichefuchefu. Kila siku front page ni JPM ......

    Haya magazeti huletwa kazini kila siku ya kazi ili kutimiza azma ya kuwapa watumishi haki yao ya kupata habari kama katiba inavyosema. Sasa karibu kila siku lazima ukutane na title ya JPM kafanya hili, mara JPM kasema hili, mara JPM kamtumbua kigogo. Hata kama ni mahaba sasa haya ni mahabati too...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

    Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Daily News: Huyo si David Mlingwa bali George Mlingwa

    Hii picha imekuwa ikitokea karibu mara ya 20 sasa katika gazeti la Serikali "Daily News". Mara ya mwisho imetokea jana 30th Nov 2020 katika ile sehemu "Down Memory lane". Kushoto kwa aliyekuwa Rais wakati huo, Ali Hassan Mwinyi ni Nalaila Kiula, aliyekuwa waziri wa Ujenzi wakati huo. Kushoto...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

    Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi! Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Mkongwe Nchini Hussein Jumbe Amevunjika Mguu Wake Baada ya Kuota Akipambana Na Jogoo

    Amesema ndoto hiyo ya ajabu imemfanya avunjike mguu wake. Mwanamuziki huyo Kiongozi wa bendi ya Talent amedai ndoto hiyo siyo ya kawaida kabisa na ameamua kumuachia Allah aliye mjuzi wa mambo yote. Anadai Jogoo huyo wa ndotoni alijaribu kumdonoa na yeye aliamua kupambana nae kikamilifu kwa...
  8. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

    Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA , ameondoka nchini humo leo Jumanne kwenda Ubelgiji huku akisema “sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu.” Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
  9. Naton Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini uchaguzi wa Tanzania ni world news?

    Huwa najiuliza Tanzania yetu ni nchi ya kawaida na tupo kivyetuvyetu kutokana na utamaduni wetu ni very conservative na lugha yetu ya mambo yote haijulikani to the outside world lakini utashangaa namna tupo effective kwenye worlds headlines Kuna jambo la kawaida tu linaweza kutokea Tanzania...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania ‘Peaceful protest’ of congratulations! - Daily News

    Tatizo la kuingiza waswahili kwenye fani za uandishi ambao kiingereza kwao ni kigumu. Daily News ya leo imetoa mpya kabisa. Picha ya Mkuu wa Mkoa Tanga akipokea maandamano ya amani kupongeza uchaguzi. Ati Daily News kwa kiingereza wanatafsiri kuna "peaceful protest of congratulations"- yaani...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

    Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
  12. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Adhabu ya mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia yatupiliwa mbali

    BREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa rasmi hii leo.
  13. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Project: NAIROBI EXPRESSWAY (News & Updates)

    About time we started updating our little brothers from down south about the major progress Kenya is making as a country. Nitaanzia jiji kuu huku East & Central Africa, providing daily updates hadi likamilike🔥🔥
  14. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

    Violence Alert Tanzania Election "Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA" Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto. Aliyepigwa risasi alikuwa mpita njia, anafahamika kwa jina la Kiwasha Masele.. Anapelekwa...
  15. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngozi Okonjo-Iweala, aliemgaragaza Amina Mohammed, aukwaa Ukurugenzi Ukuu WTO

    Alyemgaragaza Amina Mohammed aukwaa ukurugenzi WTO!
  16. Puma yetu

    JamiiForums Tanzania Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

    Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake. Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka kwenye Mkutano wa Kampeni Kijiji cha Mayaha, Kata ya Minyughe. Nimewasiliana na OCD Wilaya ya...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Jackline Mengi afunguka na kusema hajabadili wala kuhamisha kitu chochote cha Marehemu mumewe

    Amesema bado anamkumbuka sana Mumewe mpendwa na hajawahi Kuhamisha au kubadili kitu chochote Nyumbani kwa Marehemu Mumewe Mpendwa
  18. Hadrianus

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba ya Yanga yasogezwa mbele hadi Novemba 7

    Soka letu ni la ajabu sana
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

    Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi kufuata baadaye. ====== Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe amepata ajali...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
Back
Top Bottom