ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Arsenal mpooo? Aston Villa wameshafanya yao EPL

    Timu ya Aston Villa imeendelea kuonesha kuwa msimu huu haina utani kwenye Premier League, hiyo ni baada ya kuichapa Arsenal goli 1-0 kwenye Uwanja wa Villa Park. Matokeo hayo yanaifanya Villa kubaki nafasi ya tatu ikiwa na pointi 35 wakati Arsenala ambayo huo ni mchezo wao wa pili kupoteza...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu unaempa mtaji ajitegemee anaanza upya kukuomba pesa hana mshipa wa aibu?

    Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi. Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana. Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
  4. JamiiForums Tanzania Elimu bure bado ghali kwa badhi ya wazazi, baadhi ya Wazazi Washindwa kupeleka watoto shule

    Baadhi ya wazazi katika wilaya Ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kuwapeleka watoto wao kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kutokana na Kukosekana kwa fedha za michango mbalimbali inayofikia kiasi cha shilingi laki na sabini kwa kila mwanafunzi. Aidha Baadhi ya wazazi Wengine ambao...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tuzo Ndg. Yeriko Nyerere itupe funzo kuthamini 'big brains' wa ndani ya nchi

    Salaam, Shalom!! Nchi yetu imeng'ara tena katika bara la Afrika baada ya kijana Mahiri, ndugu Yeriko Nyerere kutuletea Tuzo Bora kabisa ya uandishi Bora wa vitabu kwa Afrika nzima. Tuzo hiyo imetolewa na Taasisi iitwayo, ZIKOMO AFRICA AWARDS yenye maskani yake nchini Zambia iliyotokewa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ukipata fursa tembelea Ethiopia hakika hutajutia nauli yako

    Wadau hamjamboni nyote Karibuni tujadili
  7. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya ndugu wa Wakulima waliokamatwa Kiteto, watoa madai ya kuombwa rushwa ili dhamana ipatikane

    Pia soma = Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi = Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu Shemsa Mohammed Aongoza Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Meatu

    NDUGU SHEMSA MOHAMMED AONGOZA KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM WILAYA YA MEATU Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake ndugu Shemsa Seif Mohammed tarehe 22/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu wa mateka wapambana vikali na wabunge ndani ya Knesset nchini Israel

    Vita vikali vya maneno vimetokea kwenye bunge la knesset nchini Israel baina ya wabunge wahafidhina wa kiyahudi na makundi ya ndugu za mateka wanaokisiwa 247 walioko Gaza. Mapambano hayo yamesababisha kushindikana kupitishwa sheria ya kifo kwa wafungwa wa kiarabu walioko kwenye magereza ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ndugu zangu wazazi

    Mimi ni kijana mwenye mtoto wa miaka 5. Nina ukaribu sana na watoto yaani kwa kifupi mimi hupenda sana michezo na kuhakikisha watoto wanapata furaha na kucheka. Uzuri wangu mtoto akikosea huwa sipendi masihara nae, anakula mboko za kutosha. Najiepusha nisimpige kwa hasira sana kwa mikono au...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu Mwanaume

    - Mtangulize alokuumba ,muombe sana akuongoze. Wafate manabii wa kale alowatuma namna ya kuabudu - Dunia haina huruma juu yako. Kibano ni kikali sana. Kila siku hakikisha: - Wekeza kwako -Jitafute - Jipiganie - Fanya zaidi - Show up daily - Kuwa na consistency na flow - Usikubali...
  12. JamiiForums Tanzania Watoa taarifa (wapinzani) kimya sana ndugu zangu, kulikoni?

    Itoshe kusema Kimya kina mshindo. Katika ujumla wake, upinzani nchini umepoaza sana, tena sana.. Vipi? Ni kishindo cha Makonda? Au ni mipango tu? Ni ukata wa fedha au pumzi? Hoja, dira na uelekeo ni kiza kinene? Hamuelewani? Hamuaminiani ? Mnavurugana na kugawanyika? Wafuasi wanauliza...
  13. JamiiForums Tanzania Huwa mnapiga story gani siku ya kwanza kukutana na ndugu yako ambaye hujaongea nae zaidi ya mwaka

    Za usiku wana JF na poleni na shughuli za kujenga taifa. Nina ndugu yangu wa kiume upande wa maza mkubwa kidogo ila ni kama tunalingana na mimi pia ni kiume tulikuwa close saana kipindi cha nyuma karibia mwaka sasa hivi ule ukaribu ulikufa wote. Kwa mara ya kwanza tulipingana kauli hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Afisa Ustawi wa Jamii Ubungo: Watu kutoka kanda ya ziwa wanaongoza kutelekezwa na ndugu zao Stendi ya Magufuli

    Taarifa ni kwamba watu wengi wanaotoka mikoani kuja Dar es Salaam wamekuwa wakitelekezwa na ndugu zao stendi ya mabasi ya Magufuli, mamlaka za kituo hicho zimeamua kutangaza kwa kutumia Spika kuhusu ndugu ambao wanatelekezwa au wamekosa mwenyeji. MIKOA INAYOONGOZA KUTELEKEZA NDUGU ZAO STENDI...
  15. JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu zako bado wanaishi

    Mwanaume unayetarajia kuoa au ambaye umeshaoa, pamoja na majukumu mengi uliyonayo, lakini unapaswa kukumbuka kuwa wazazi na ndugu zako bado wanaishi. Neno la Mungu linasema, MWANZO 2:24 "Kwa hiyo mwanamume ATAMWACHA baba yake na mama yake naye ATAAMBATANA na mkewe, nao watakuwa MWILI MMOJA."...
  16. JamiiForums Tanzania Je, unajipenda wewe na ndugu zako? Usithubutu kufuga hizi jamii 25 za mbwa, ni HATARI SANA

    Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako. Airedale Terrier Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu mno. Mbwa hawa wanajulikana kama Mfalme wa Uharibifu. Airedale Terriers wanapenda sana kucheza...
  17. JamiiForums Tanzania Mfumo fisi maofisini

    Habari ya muda huu wanajf. Naimani tuko vizur mnoo, mvua kila Kona shida kwa wafanyakaz biashara ndogondogo. Msikonde ndugu zangu tupambane, tukomae.. life is no longer space for leasure but only struggle to survive. Midabwada nimekuwa mchangiaji mkubwa sana kwenye madabalimbali nilizokuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Ndugu wa Rais Mnangagwa akutwa na hatia ya kutorosha Dhahabu ya Tsh. Milioni 749

    Mfanyabiashara Henrietta Rushwaya, ambaye ni Mpwa wa Rais Emmerson Mnangagwa amekutwa na hatia ya kujaribu kusafirisha Dhahabu yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 749 kinyume na Sheria Henrietta, ambaye ni Rais wa Shirikisho la Wachimba Madini, alikamatwa Uwanja wa Ndege akisafirisha Vipande...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa bidhaa mtandaoni sio ndugu zako.Watu wa mikoani mtapigwa sana na watoto wa mjini kisa ubishi na kupenda vitu vya bei rahisi

    Hellow members,Leo nimekuja na tukio lililotokea leo asubuhi baada ya moja ya mteja wangu kuingia mkenge kwenye rada za matapeli. Ipo hivi mimi najihusisha na kununua/kufuata,kufunga na kusafirisha mizigo kutoka Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania kila siku na hivyo basi nimeweka Matangazo...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu na marafiki hawataki ufanikiwe ila wakipata shida wanataka uwasaidie au kuwachangia

    Katika jambo ambalo mimi binafsi linanishangaza ni namna ambavyo unaweza kuta mtu kama ndugu yako, rafiki yako, jirani yako, classmate wako, na mtu yeyote ambaye kidogo mnaukaribu anachukia wewe ukifanikiwa, au anakubania connection, au anakuchongea ufukuzwe kazi, au hataki upige hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…