ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ipe bajeti nyumba ya ndoto yangu

  2. JamiiForums Tanzania Endapo hii ndoto inatoka kwa Mungu, basi hatuna budi kuliombea Taifa. Hatari itatokea karibuni

    Habari wadau! Leo nimeota ndoto mbaya sana, nimeona watu waume kwa wake wakiwa wanalia, nimeona machozi na damu katika ndoto. Nimeona mji ukiwa umetulia tulii mara ghafla fujo ikatawala,taharuki ikaukumba mji wote. Ndoto yenyewe: Nimeota nimeenda kumtembelea jamaa yangu anayeishi maeneo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya hizi ndoto?

    Ok
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa tafsiri ya ndoto hii

    Habari wakuu, Kabla sijalala nilimuomba MUNGU anifunulie jambo fulani kupitia ndoto, sasa nilipolala nimeota Niko na kaka yangu namsindikiza safari akanipa dumu/galoni limejaa divai/whine nikawa nakunywa kwa kulimiminia mdomoni huku tukiendelea kupiga story. Itakuwa na maana gani?
  5. JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ndoto hii: Niko juu ya mbuyu na wachawi. Je, Kissendi anataka niwe mchawi?

    Historia yangu kwa ufupi Mimi ni mzaliwa wa pili tena ni mzaliwa wa Kwanza. Mama yangu ana watoto watatu na Mimi ndiye mzaliwa wake wa pili kati ya watoto watatu. Kwa baba tuko wanaume wanne na wa kike wawili ila Mimi ndiye mkubwa kabisa. Baba yetu alishatangulia mbele za haki miaka ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na miaka 60 - 67 unaweza kuwa na ndoto za miaka 20 mbele?

    Nimekutana na mzee mmoja mstaafu katika kuongea nae nikagundua ana mipangilio ya miaka mingi mbele. Mosi: Ana eneo ekari 5-6 Kongowe ya Mbagala hapa ana ndoto ya kujenga shule. Pili: Ana eneo ekari moja Mabwepande hapa ana mpango wa kujenga nyumba za kupangisha. Tatu: Ana eneo ekari moja na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia na malezi bora kuelekea kutimia kwa ndoto za walio wengi

    Je, wangapi unawajua wametimiza ndoto zao '?, Na wewe kama wewe ulishiliki vipi kuzitimiza '? ,Na pia ni wangapi unawafaham hawajatimiza ndoto zao na wameshakata tamaa katika kutimia kwa ndoto hizo '?, Na ni wangapi mpaka leo bado wanapambana ili kufikia na kutimia kwa ndoto zao ,na wewe...
  8. JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake, Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viashiria za kukamilika kwa ndoto zako

    ✍🏿✍🏿 MAFANIKIO NI TABIA: Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷‍♂️ Eti ni kweli? Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa 👩🏿‍🦲👩🏿‍🦲 Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa. ✍🏿 Hivi wajua mafanikio ni Tabia? 🤭🤭 😁😁😁 Ndio kuna tabia lazima...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Hayati Magufuli na Tanzania Mpya

    Hayati John Pombe Joseph Magufuli, ni mzaliwa wa chato mkoani Geita, pia alikuwa mbunge, naibu waziri na waziri katika nyakati tofauti, tofauti enzi la utawala wa Benjamin Mkapa na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mh. Jakaya kikwete, hatimaye mnano mwaka 2015 alijitosa kugombea urais wa jamhuri ya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ishi ndoto yako

    Toka miaka ya tisini na pengine miaka ya ya sitini mpaka themanini, ahadi zilikuwa nyingi sana, ndoto kwa vijana zikawa nyingi Sana, watu wakawa na matarajio makubwa, na pengine wakatamani wayaishi matarajio hayo na ndoto zao. Walitamani maisha mazuri, maisha ya amani, lakini sio amani tu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini maendeleo ndani ya Tanzania ni kama ndoto ya mchana?

    1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki. 2.Tz Kwa miaka 38 imeongozwa na CCM peke yake ambayo ni zao la TANU na ASP. 3.Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa Ya mlipuko kama ebola...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya umaskini ujanani

    “COMFORT ZONE” sijui niiweke vipi hii kwa kiswahili katika neno moja na likaleta maana. “Anga/wigo/dunia ya mridhiko” (Kama sijakosea). kama hujawahi Kijiuliza Kama ulipo panakutosheleza Au la Basi upo ndani ya “comfort zone” kama unataka maendeleo binafsi na unakwepa mabadiliko basi upo...
  14. JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA KWA MAENDELEO YA TANZANIA

    KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU? Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania wamekuwa kweny madai ya kupambania upatikanaji wa katiba mpya KATIBA ZA...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anaishi maisha na kazi ya ndoto yake hapa Tanzania

    Hivi kwa Africa kweli kuna mtu anaishi kwenye ndoto zake yaani kama ulikuwa unatamani kuwa pilot ukawa pailot. Sijui hii ipo kweli mimi nilikuwa nandoto kuwa kapteni wa meli daah nikikumbuka hii ndoto wakati namuona mjomba zamani akija nyumbani basi nikawa nasema mimi nitakuwa kama wewe...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoto hii mara kwa mara

    Habari za humu, it has been a while since my last thread here. Majukumu ya hapa na pale nayo yamenishika, nashindwa kushiriki mara kwa mara humu. Anyways iko hivi mie nimehitimu shule ya msingi zaidi ya miaka 15 ilopita na Olevel zaidi ya miaka 12 ilopita. After then nimekwenda advance na...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Heshima kwenu wakubwa zangu, na madogo hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye hoja. Asubuhi hii saa 12 nimeota ndoto ambayo inaninyima raha sana, . Katika ndoto hiyo nimeota nimesingiziwa nimeiba box 9 za karatasi nyeupe yaani rim paper na kufungwa miaka miwili jela Nikiwa jela napata taarifa...
  18. JamiiForums Tanzania Je, una ndoto za kusoma nje ya nchi hususan Sweden? Niulize swali nitakujibu ninachokifahamu

    Amani iwe nanyi Wakuu, Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo mengine mabaya yanayofanana na hayo imekuwa ndio sehemu ya walio wengi. Imekuwa ngumu zaidi kupeana...
  19. JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kijana pambania ndoto yako, achana na maneno ya kukera

    Vijana mnaoanza maisha hakikisha ndoto yako inatimia mapema iwezekanavyo. Hawa wenza wetu wengi wamejaa maneno ya kukera na kukatisha tamaa sana. Niliwahi kupata demu yeye hataki nifanye mishe za kuingiza pesa (biashara) eti kwa sababu nakutana na wanawake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…