Jamani niombeeni, Jana nimeota hii ndoto

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
372
500
Habarini,

Sikuwahi kuota ndoto za namna hii, ila jana ilikuwa mida ya saa mbili usiku nililala, nililalia jicho la kushoto. Nikaota ndoto kuna mtu kasimama mbele yangu ila nilipokuwa nainua macho kumtizama usoni nilikuwa nashindwa (sikumuona uso).

Sasa ghafla nikajikuta nasex naye mno, katika ulimwengu wa ndoto nikagundua kuwa hakuwa mtu mzuri, nikaanza kukemea na kumfukuza.

Ghafla akachukia na kunikamata jicho langu la kushoto na kuling'ang'ania ili asiniache, mpaka jicho likawa linaning'inia kabisa (mazingira ya kindoto ndoto) ila bado hakuliachia, huku akilia.

Ghafla nikazinduka usingizini, kucheck ni saa tano na dk 48 usiku. Daaah! Nimeogopa mno, wajuzi njooni tafadhali!

Mpaka muda huu naogopa mno, kumbuka huwa sizimi taa nikilala.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
19,144
2,000
We ndo ulifanya makosa Sasa si gemu ilikuwa inachezwa vizuri tu kilichokukimbiza ni nini..?
Hakuna Cha kukusaidia hapo cha kufanya lala tena akamalizie na jicho la kulia na ndoto yako inatufundisha tuache ubishi tutang'olewa macho..😃
 
aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
2,750
2,000
Umesema ulilalia jicho la kushoto, taarifa zilipelekwa kwenye ubongo kuwa jicho linaumia, na ili lisiendelee kuumia (kwakuwa umelilalia)
Ubongo ukatengeneza taswira ya kutisha kuwa eneo la jicho haliko sawa na linaumia, kupitia picha hiyo (ndoto) ukakurupuka kutoka usingizini na ndoto imeisha, jicho sasa liko salama haliumizwi tena, na kazi ya mifumo ya fahamu imeisha.
Over!
 
Killmonger

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
1,996

Well explained
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
7,769
2,000
Umesema ulilalia jicho la kushoto, taarifa zilipelekwa kwenye ubongo kuwa jicho linaumia, na ili lisiendelee kuumia (kwakuwa umelilalia)
Ubongo ukatengeneza taswira ya kutisha kuwa eneo la jicho haliko sawa na linaumia, kupitia picha hiyo (ndoto) ukakurupuka kutoka usingizini na ndoto imeisha, jicho sasa liko salama haliumizwi tena, na kazi ya mifumo ya fahamu imeisha.
Over!
And this is very right,ubongo una akili mingi sana
 
Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
3,514
2,000
Leo nimeota work mate wangu yupo ndani ananikaba nife,nikupambana nae akaniachia,akarudi tena,nikamtoa baru,akarudi tena, halafu mbaya zaidi work mate wangu ana hizi mambo za waganga sana! Yaani alikua anakuja kabisa kwenye uso wa uelewa kwamba mbona huyu ni flani!!
 
Kijana wa hovyo hovyo

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
5,505
2,000
Habarini,
Sikuwahi kuota ndoto za namna hii, ila jana ilikuwa mida ya saa mbili usiku nililala, nililalia jicho la kushoto. Nikaota ndoto kuna mtu kasimama mbele yangu ila nilipokuwa nainua macho kumtizama usoni nilikuwa nashindwa (sikumuona uso).

Sasa ghafla nikajikuta nasex naye mno, katika ulimwengu wa ndoto nikagundua kuwa hakuwa mtu mzuri, nikaanza kukemea na kumfukuza.
Pole Mkuu, jina mahaba ilo usilichekee linaweza haribu hatma yako ya maisha usipo shughulika nalo.
 
lucky_boy

Member
Aug 9, 2017
94
150
Umesema ulilalia jicho la kushoto, taarifa zilipelekwa kwenye ubongo kuwa jicho linaumia, na ili lisiendelee kuumia (kwakuwa umelilalia)
Ubongo ukatengeneza taswira ya kutisha kuwa eneo la jicho haliko sawa na linaumia, kupitia picha hiyo (ndoto) ukakurupuka kutoka usingizini na ndoto imeisha, jicho sasa liko salama haliumizwi tena, na kazi ya mifumo ya fahamu imeisha.
Over!
Scientifically right, Nahisi ndoto zote zina uhusiano wa namna hii Over
 
mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
1,613
2,000
Umesema ulilalia jicho la kushoto, taarifa zilipelekwa kwenye ubongo kuwa jicho linaumia, na ili lisiendelee kuumia (kwakuwa umelilalia)
Ubongo ukatengeneza taswira ya kutisha kuwa eneo la jicho haliko sawa na linaumia, kupitia picha hiyo (ndoto) ukakurupuka kutoka usingizini na ndoto imeisha, jicho sasa liko salama haliumizwi tena, na kazi ya mifumo ya fahamu imeisha.
Over!
Spot on
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,397
2,000
Ngoja waje, Watakwambia jini mahaba kumbe ni subconcious mind na jicho lako tu.
 
ZNM

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
1,217
2,000
Leo nimeota work mate wangu yupo ndani ananikaba nife,nikupambana nae akaniachia,akarudi tena,nikamtoa baru,akarudi tena, halafu mbaya zaidi work mate wangu ana hizi mambo za waganga sana! Yaani alikua anakuja kabisa kwenye uso wa uelewa kwamba mbona huyu ni flani!!
Nikusaidie wewe kwa hili, mleta uzi yeye keshajibiwa kisayansi na huko tushamaliza!
Sasa wewe fanya hivi kila unapotaka kulala usiku, chukua maji ya kuvywa kidogo kwenye kikombe au kibakuli, weka chunvi ya mabonge kiasi kidogo, changanya ikolee na kuchanganyika yote vizuri!
Chota maji hayo kwa mkono wako kisha chapa ktk kuta za chumba chako hasa kwenye kona, madirisha na milango! Pia maji kiasi lowanisha kichwa chako kama kwa kupakaa katika nywele na usoni! Katika hatua zote, waweza kunuia vile ungependa kusotombuliwa usiku kwa nguvu za giza! Hakika ipo siku utanishukuru!
 
Asante sana mkuu wangu! Hii kazi naifanya tena leo leo, bila yakukosa! Naona kabisa jamaa anajaribu kuona nina nguvu kiasi gani
 
mawardat

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
4,746
2,000
Leo nimeota work mate wangu yupo ndani ananikaba nife,nikupambana nae akaniachia,akarudi tena,nikamtoa baru,akarudi tena, halafu mbaya zaidi work mate wangu ana hizi mambo za waganga sana! Yaani alikua anakuja kabisa kwenye uso wa uelewa kwamba mbona huyu ni flani!!
Take Care
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom