Thas trabo
Senior Member
- Mar 5, 2021
- 130
- 226
Hii ndoto nimeota usiku wa kuamkia leo ilikua hivi.
Nilikua maeneo ya uwanja wa mpira, kulikua na watu wengi sana. gafla angani likaonekana wingu ambalo juu yake kuna mlima, watu walikua wakilishanga tu, katika ule mlima walishuka watu wa wawili wenye mavazi meupe (kanzu) mmoja alisimama kulia mwingine kushoto, wa kulia alikua ameshika pembe kubwa sana na wakushoto alikua ameshika upanga ukiwaka mwanga mkali sana.
Mwenye pembee aliipuliza, sie tulio kua tuna shangaa kinacho endelea tukaanza tawanyika na kukimbia wengi tukikimbilia msikitini na wengine makanisani kwani kutokana na mazingira ya ndoto msikiti na kanisa vyote vilikua kando ya uwanja (huku wengi wakisema "Qiyma" kimefika).
Hata mi pia nilianzisha mbio kuelekea msikitini huku nikitoa shahada hata siku fika msikitini ndoto ilikata nikashituka kutoka usingizini nikiwa natetemeka sana na jasho juu. Na nilishituka nkiwa bado naendelea kutoa shahada hata baada ya ndoto kukata.
Mpaka sasa ndoto hiyo inanifikirisha sana na kuniogopesha pia.
Japo sio mara ya kwanza kuota ndoto ya namna hiyo kwani nakumbuka wakati nipo form four niliwahi kuota jua limeshuka mpaka urefu wa futi kadhaa kutoka uso wa dunia, lilikua likiteketeza kila kitu na maji toka baharini, ziwani na kwenye mito, yalianza ingia nchi kavu kama Tsunami.