ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. Daimler

    JamiiForums Tanzania Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

    Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe...
  2. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Ni ndoto gani ya kuchekesha ushawahi kupata?

    Mimi leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari yangu aina ya BMW mara Ghafla ikakwama kwenye Tope. Ikabidi nishuke kuisukua Loh! Ile kuamka nakuta nimesukuma kitanda hadi sebuleni. Ni ndoto gani ya kuchekesha ushawahi kuota.
  3. econonist

    JamiiForums Tanzania Naombeni Tafsiri ya ndoto hii

    Hivi majuzi nimeota ndoto ambayo bado inanisumbua sana. Hii ndoto ilikuwa inamhusu mwendazake Rais Magufuri. Niliota ilikuwa siku ya uzinduzi wa reli ya Chini kwa Chini au unaweza kuziita treni za kutumia umeme. Hivyo na Mimi nikaenda kwenye ufunguzi wa reli hiyo pamoja na wananchi wengi. Kama...
  4. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaongoza Afrika kwa kuwa na Walevi wengi."Kwa hali hii Maendeleo ni ndoto"

    Hii ni hatari kama sio balaa.Wenzetu wanaongoza kwa mambo ya msingi,ni ajabu Tanzania yetu inaongoza Afrika kwa kuwa na wale wengi. Si ajabu wanawake wanakosa wanaume na waliopo hawana nguvu za kiume na za mwili,hupigwa hovyo kwa sababu ya ulevi. Kana kwamba haitoshi Tzn iko mingoni mwa nchi...
  5. Northern Lights

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na ndoto ya udaktari ila nimefeli Physics

    .
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Ndoto ya Alinacha

    Pia unaweza kuisoma hadithi hii na nyingine nyingi bure ndani ya maktaba app(by pictus). install toka playstore. KISA CHA NDUGUYE KINYOZI WA TANO MIMI ni Kinyozi na nina ndugu sita. Hiki ni kisa cha ndugu yangu wa tano, Alnacha. Katika siku alizokuwa hai baba yetu, Alnacha alikuwa mvivu sana...
  7. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?

    Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter Mwanzoni nilifikiri Godbless Lema anaangalia afya za...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Hii dhana ya mihimili ati inajitegemea ni dhana isiyokuwepo na inayoaminiwa na wanaharakati waliokwenye ndoto na si uhalisia

    Sayansi ya utawala inabainisha kuwepo kwa serikali ambayo ni mfumo wenye mihimili mitatu- watawala na watumishi wa dola, bunge na mahakama. kati ya hii mihimili mitatu hakuna unaojitegemea wala ulio huru kutoka kwa mwenzake. Na hii ndiyo maana ya mfumo. Si sawa kudhani kuwa ipo sehemu ya mfumo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ndoto ya Mihimili huru rasmi Imeyeyuka

    Kama taifa yaweza kuwa tuko katika hali mbaya zaidi kufuatia kuachia ngazi kwa spika Ndugai. Ni wazi kuwa Ndugai yamemkuta. Ndugai kapigwa na kitu kizito utosini! Hakuna asiyejua Ndugai alikuwa mtu wa hovyo. Hata hivyo mtu huyu kafurushwa kwa sababu ya kutoa maoni yake. Agenda hii ni yetu ya...
  10. Juma Mud

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ndoto ni nini ???

    .....niliwahi ota nataka kuanguka na baada ya kushtuka kwenye ile ndoto kutahamaki hivi kumbe kulikuwa kuna.............
  11. S

    JamiiForums Tanzania Issue kubwa ni watu kutaka kutimiza ndoto zao za urais 2025 baada ya Mwendazake kuondoka

    Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025. Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado hawajaanza, ila ili wapate hiyo fursa(waanze) ni lazima Mama asigombee (bahati mbaya alishasema...
  12. akatanyukuile_tikoma

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii ndoto

    Wadau , nimekuwa nikisumbuliwa Sana na ndoto za ajabu Sana mpaka nikiamka naziwaza Sana nashindwa kuelewa Zina maana gani Baadhi ya ndoto zimekuwa zikijirudia Sana na baadhi zimekuwa halisi katika maisha yangu Mfano niliota nafukuzwa kazi na nikafukuzwa kweli bila kosa lolote , Baada ya kuoa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: tafsiri ya ndoto ya kuokota pesa na biashara ndogo.

    Habari zenu wakuu. Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja. Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
  14. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya leo imenifikirisha sana

    Habari wakuu, Usiku wa kuamkia leo nimeota kua napanbana na watu wenye nguvu za giza. Zamani kidogo imani nilikua nayo kiasi yani ilikua nikiota ndoto za namna hii basi huwa nawashinda vikali hao mahasimu wangu, na wala sikua naona kama kuna shida juu ya hizo ndoto. Lakini hii ya leo iko...
  15. mwakavuta

    JamiiForums Tanzania Unaujua mtego wa wauaji wa ndoto zako katika maisha?

    Je ni biashara gani ulikusudia kuifanya lakini ukaahirisha kwa sababu kuna mtu alikuambia haifai kufanya na ukaua ndoto zako milele? Watu wengi wanakutana na wauaji wa ndoto kila siku na bahati mbaya sana ni wachache wanaofanikiwa kuwakwepa na kuendelea kufanya kazi ndoto zao. Umepata wazo la...
  16. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ndoto niliyoota kama maono!

    Sijajua nini Mungu amepanga kwenye maisha yangu, niwe muwazi, nimeokoka, though mimi sio malaika, kwa uwezo wa Mungu napambana na dhambi, na nazidi kujitakasa kila wakati kwasababu najua wakati mwingine namuuzi Mungu na wanadamu kutokana na madhaifu yangu kama mwanadamu, madhaifu ambayo hata...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Je, kusahau ndoto uliyoota muda mfupi kabda ya kuamka huwa ni kawaida?

    Habari za Jumatatu wana JF Kwa ninavyoelewa ndoto zina maelezo tofauti kwa watu tofauti. Kuna fikra kadhaa lakini kubwa ni mbili Fikra(school of thought) ya kwanza wanasema ndoto ni matokeo ya mawazo yako au mambo unayoyafikiria sana au marudio ya vitu ambavyo ulishawahi kuvifanya zamani...
  18. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Black Alien: Mtu mwenye ndoto ya kufanana na viumbe vya ulimwengu mwingine (Aliens)

    Anthony Loffredo pia anajulikana kama black alien. Anashikilia rekodi ya mtu aliyejifanyia maboresho mengi makubwa kabisa katika mwili wake kuliko binadamu mwingine kwa karne hii. Ameendelea kushika vichwa mbalimbali vya vyombo vya habari kwa ujasiri wake kwa kuamua kutenganisha kati ulimi...
  19. my name is my name

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ndoto ya mwanaume ni kuwa na mwanamke mzuri

    Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa. Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini akija kupata pesa lazma aje atafute mwanamke mzuri ambae mwanzo alikua awez kua nae kwasababu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba ndogo ya Ndoto yako

    Ramani ya vyumba vitatu kimoja masta, sebule , dining, jiko, stoo na choo cha kushea, ukubwa wa Ramani mita 9/kwa mita 10...nichek 0627571649
Back
Top Bottom