ndoa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotaka kufunga na kufungisha ndoa

    Wadau habari ya muda huu. Nimetafakari sana juu ya madhara ya watu wanaotaka kuona kwa kupimwa HIV_muda kidogotu nakupewa kibali cha kufungishwa ndoa Kwangu naona jambo hili halijakaa sawa. Bado mtu anaweza akamuambukiza mwenza wake kutokana na kupimwa HIV kwa mwendo waharaka. Pia madaktari...
  2. mkulungwa03

    JamiiForums Tanzania Bila subra imani na mahaba huwezi ishi kwenye ndoa

    Ndoa-bila-subra-imani-na-mahaba, huezi ishi kwa ndoa 1. Kama huna subra kwa ndoa yako basi huezi kuishi kwa ndoa na amani ndoa yajengwa na subra kusubiriyana kila moja wenu amsubiriee mwenzake kwa tabia kwa hali na mali ndio mutaeza faidika mukiwa na subraa kwa ndoa yenu ,, jitahidi uwee na...
  3. mkulungwa03

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure ya ndoa: Kama umeoa au umeolewa pitia hapa

    Mwanaume unatakiwa umzidi mwanamke vitu vitatu. 1,👉Pesa 2,👉Akili 3,👉Umri Mwanamke unatakiwa kumzidi mwanaume vitu vitano. 1,👉Subira 2,👉Usafi 3,👉Mipango 4,👉Upendo 5,👉Nguvu ya maombi Ili mdumu mnatakiwa kufanana kwenye vitu hivi. 1,👉maelewano 2,👉uvumilivu 3,👉heshima
  4. Mallia

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

    Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
  5. 2019

    JamiiForums Tanzania Salamu yangu ilivyovunja ndoa ya mtu, niliumia sana, mpaka leo nakumbukaga tu

    Kisa hiki kitakuwa na episode 2 tu ili nisichoshe wasomaji. Kisa cha kweli ambacho huwa nakumbuka kinaniuma sana nilishaapa sitorudia tena,nikikumbuka yaliyotokea naamini kabisa wanawake wakipenda wanakuwa vipofu kabisa hawaoni madhara ya mbele. Ilikuwa mwaka 2012 nikiwa nimepanga getto pale...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kitanda kikubwa huchangia mahusiano ya ndoa kudorora

    Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo. Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai kipindi kirefu bila kupatana na mke wake ikiwa wamehitilifiana tofauti na sasa. Anasema akiwa...
  7. Dandamerci

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke wa hivi anaweza badilika katika ndoa?

    Jambo ndugu zangu, Nahitaji msaada wenu. Mimi ni kijana nina miaka 22 niko kwenye mausiano na dada fulani ambaye tuna tarajia kuoana. Sasa kuna vitu ambavyo vina ni tatizaga na jiulizaga sipatagi majibu. Na vitu hivyo ni kuhusiana na tabia ya huyo binti. Mara nyingi huyu mtoto wa kike huwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Madahara ya kukutana kimwili nje ya ndoa au pasipo kuwa katika ndoa

    MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu, Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi Na...
  9. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Mada moto: Ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umependaye?

    Inapofika wakati mpenzi wako anataka kuolewa au anataka kuoa na wewe ukijiangalia hauko tiyali kutokana sababu mbalimbali labda bado unasoma,hujajipanga vizuli, au kuna mambo unataka uyaweke sawa ndio uowee Je, ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umpendaye na ukasitisha...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

    Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai kuwa hampendi na hakuwa chaguo lake zikiwa zimepita siku 14 tangu walipofunga ndoa. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Aprili 14, 2021 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema tukio...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

    Habari za muda huu wadau, Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi. Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake, Katika kushare experience hizo...
  12. moto wa maji

    JamiiForums Tanzania Aliniambia hawezi kuzalia kwao kabla ya ndoa

    Amani iwe nanyi? Nilikua kwenye mahusiano ndani ya miaka miwili , mwanamke wangu alipata ujauzito lakini akawa analazimisha sana kutoa nikamuuliza kwanini akaniambia hawezi kubeba mimba kabla ya ndoa maana itakua ni fedheha kwenye familia yao. Akapeana ushauri na rafiki yake wakafanya maamuzi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki alifunga ndoa na Lucy Muthoni 1962

    Picha imeambatanishwa
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa

  15. D

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

    Hakika liko kusudi la Mungu katika mapenzi! Upendo ni tunda tam sana linalotafutwa na yule muovu! Naomba kwa Uzi huu tuambizane Yale mazuri yaliyomo kwenye ndoa! Ili wale tunao ogopa kuingia tupate hamasa! Mliopo kwenye ndoa msishiriki kuyapa ushindi yale mabaya tu yasikike masikioni bali...
  16. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaotafuta mke au mume wa ndoa mitandaoni wanapataga kweli watu sahihi?

    Mara nyingi mitandaoni nimekuwa nikishuhudia mitandaoni sativa ski post mata ohoo natafute MTU wa kuoa, au nahitaji Mwanaume serious wa ndoa mwenye sifa hizi Mara zile . Napenda kuuliza, hivi hawa watu wanapataga watu sahihi kweli katika mahusiano ya ndoa?
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa

  18. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wadada wengi at 30's age wanaforce sana ndoa au ukajitambulishe kwao?

    Tofauti na ladies wengi walio below 29 lakini ladies wengi ktk mahusiano akishafikisha age of 30 anataka akupeleke kwao akakutambulishe au ndoa tena mwingine ana force hatari bila hivyo hamuezi hata kuelewana. Mimi ni mmoja kati ya watu ambao bi.mdada ananiforce niende kwao akanitambulishe.
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Afungua kesi mahakama ya Mwanzo Ilala kudai talaka baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka mitano

    Ndoa zimekuwa na utata kila kukicha, sasa mtu ana miaka 62 anataka kumuaacha kwa nini? Au ndio kutaka kugawana mali mapema? Adela Ngogolo (42) amefungua kesi ya madai mahakama ya mwanzo Ilala akiomba kupewa talaka na mumewe, Alcado Mkondola (62) kwa madai kuwa ameshindwa kumpatiwa haki yake ya...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna ndoa kweli?

    Ni msichana wa miaka 21 mwenye mpenzi wa kiume mwenye miaka 32. Wapo mikoa tofauti jambo ambalo kuonana kwao inaweza kuwa ni mara moja kwa mwaka. Mara kadhaa msichana amegundua kuwa mwanaume si mwaminifu kutokana na mara kwa mara kutafutwa na wanawake wengine baada ya wanawake wa jamaa kufuma...
Back
Top Bottom