Kutambulishwa ukweni na kutolewa mahari sio uhakika wa ndoa

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,330
45,638
1610111264443.png

Umewahi kupeleka mahari kisha hukurudi tena na ukaachana na ndoa? Umewahi kutolewa mahari na muoaji hakurudi tena? Umewahi kushuhudia mahari imetolewa na ndoa ikafia njiani?

Kwa kuwa tunafahamu mahari ni hatua ya mwisho kabisa kuelekea ndoa kipi kinaweza kusababisha mahari kutolewa na kupokelewa na ndoa isifanyike kwa mahusiano kufa?

Pia soma:

Ushuhuda wa mdau

Nimewahi mimi binafsi,, nilitoa mahari, na kumvalisha pete baada ya miezi mitatu alinipigia kwa jeuri na kunitusi kisa nimepeleka mbele tarehe ya harusi hapo ndipo ukawa mwisho wa uchumba wetu, mama yake alichanganyikiwa alitaka wamuombee msamaha ila mimi sikuhitaji suluhu nae tena.
 
Umewahi kupeleka mahari kisha hukurudi tena na ukaachana na ndoa?
Umewahi kutolewa mahari na muoaji hakurudi tena?
Umewahi kushuhudia mahari imetolewa na ndoa ikafia njiani?

Kwa kuwa tunafahamu mahari ni hatua ya mwisho kabisa kuelekea ndoa kipi kinaweza kusababisha mahari kutolewa na kupokelewa na ndoa isiafanyike kwa mahusiano kufa?

Mbona hilo lilikuwa jambo dogo sana! Huyo mwanamke alikuwa pasua kichwa.
Nimewahi mm binafs,,nilitoa mahar,na kumvalisha pete baada ya miez mitatu alinipigia kwa jeuri na kunitusi kisa nimepeleka mbele tarehe ya harusi hapo ndipo ukawa mwisho wa uchumba wetu,mama yake alichanganyikiwa alitaka wamuombee msamaha Ila mm sikuhitaj suruhu nae Tena.
 
Mwamba karata yako uliicheza vema sana hongera............
 
Nimewahi mm binafs,,nilitoa mahar,na kumvalisha pete baada ya miez mitatu alinipigia kwa jeuri na kunitusi kisa nimepeleka mbele tarehe ya harusi hapo ndipo ukawa mwisho wa uchumba wetu,mama yake alichanganyikiwa alitaka wamuombee msamaha Ila mm sikuhitaj suruhu nae Tena.
Safi sana, atajifunza
 
Nimewahi mimi binafsi,,nilitoa mahari,na kumvalisha pete baada ya miezi mitatu alinipigia kwa jeuri na kunitusi kisa nimepeleka mbele tarehe ya harusi hapo ndipo ukawa mwisho wa uchumba wetu,mama yake alichanganyikiwa alitaka wamuombee msamaha Ila mimi sikuhitaji suluhu nae Tena.
Duuuu mahari ilirudishwa au?
 
Mimi nmeshuhudia kabsa... classmate wangu (ke) alileta kadi ya mchango wa harusi home kwa ajili ya hafra ya ndoa, lakin siku chache mbeleni bwanaharusi mtarajiwa alipenyezewa habari kuwa mkewe mtarajiwa kuna mtu anammega....

Bwana harusi akapatiwa adi ushahidi wa pic,jamaa alisamehe kila kitu...wazazi wa bint walipata aibu sanaa.

Ila sema kuna mabint wanabahati zao...baada ya miezi kadhaa akatokea mwamba juzi tu ndo tumepiga mpunga wa ndoa.
 
Mimi nmeshuhudia kabsa... classmate wangu (ke) alileta kadi ya mchango wa harusi home kwa ajili ya hafra ya ndoa,lakin siku chache mbeleni bwanaharusi mtarajiwa alipenyezewa habari kuwa mkewe mtarajiwa kuna mtu anammega....

Bwanaharusi akapatiwa adi ushahidi wa pic,jamaa alisamehe kila kitu...wazazi wa bint walipata aibu sanaa.

Hawata fika mbali,,ipo siku utakuja leta ushuhuda humu
 
Heri uchumba uliovunjika kuliko ndoa ya mateso. Watu wanapigwa chini michango ishachangwa na paroko anaandaa misa, ndio iwe kutambulishwa?
Umewahi kupeleka mahari kisha hukurudi tena na ukaachana na ndoa?
Umewahi kutolewa mahari na muoaji hakurudi tena?
Umewahi kushuhudia mahari imetolewa na ndoa ikafia njiani?

Kwa kuwa tunafahamu mahari ni hatua ya mwisho kabisa kuelekea ndoa kipi kinaweza kusababisha mahari kutolewa na kupokelewa na ndoa isiafanyike kwa mahusiano kufa?
 
Umewahi kupeleka mahari kisha hukurudi tena na ukaachana na ndoa?
Umewahi kutolewa mahari na muoaji hakurudi tena?
Umewahi kushuhudia mahari imetolewa na ndoa ikafia njiani?

Kwa kuwa tunafahamu mahari ni hatua ya mwisho kabisa kuelekea ndoa kipi kinaweza kusababisha mahari kutolewa na kupokelewa na ndoa isiafanyike kwa mahusiano kufa?
Hata ndoa sio uhakika wa kubaki pamoja daima.....
 
Mwamba anamjua vizuri huyo binti lakini? Isije kuwa ameuziwa mbuzi kwenye gunia.
Mimi nmeshuhudia kabsa... classmate wangu (ke) alileta kadi ya mchango wa harusi home kwa ajili ya hafra ya ndoa,lakin siku chache mbeleni bwanaharusi mtarajiwa alipenyezewa habari kuwa mkewe mtarajiwa kuna mtu anammega....

Bwanaharusi akapatiwa adi ushahidi wa pic,jamaa alisamehe kila kitu...wazazi wa bint walipata aibu sanaa.

Ila sema kuna mabint wanabahati zao...baada ya miezi kadhaa akatokea mwamba juzi tu ndo tumepiga mpunga wa ndoa.
 
Yes imenitokea mimi binafsi nilitolewa mahari mwaka juzi na pete nikavalishwa. Haikuwa riziki miezi 8 baadae tukaachana na kila mtu akashika hamsini zake. Upande wa kiume hawataki kuchukua mahari zao ingawa tunafanya jitihada sana wazichukue. Kweli kabisa mahari sio ndoa wakuu.
 
Back
Top Bottom