ndoa

  1. Queen V

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Elizabeth Michael "Lulu" na Francis Ciza "Majizzo" wafunga ndoa baada ya uchumba wa miaka miwili na nusu

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ile ndoa iliyosubiriwa sana na kusemewa maneno mengi hatimaye imefungwa. Lulu na Majizzo wameoana leo kanisa la mtakatifu Gasper na inasemekana wako Serena hotel hivi sasa wakipiga picha. Ikumbukwe Lulu alivalishwa pete ya uchumba kama suprize kwenye sherehe...
  2. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unamudu/ilimudu vipi mahusiano (ndoa) baada ya uaminifu kufunjika ?

    Inapofika wakati uaminifu juu ya mwenza wako unakua haupo kutokana na viashiria vya usaliti lakni kuna mazingira yanalazimisha kua pamoja , unawezaje kuishi katika hali hii ? pia je kunna mahusiano ambayo hua hayana hizi struggle za hivi ?
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Ten rules for sidechicks

    HEART MATTERS 10 Rules Of Being The Perfect Side Chick By Kate Published September 14, 2018 How to be the perfect side chick If you must be a side chick, you must follow the side chick code of conduct. This is because being the other woman is not easy. Aside the gifts, sex and exciting...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni taasisi muhimu sana katika jamii

    Kuna kisa nimekutana nacho, kisa hiki ni cha mwanaume aliyefanikiwa sana kimaisha. Kwa taaluma ni mhandisi anaefanya kazi na kampuni za kigeni. Mshahara wake kwa mwezi ni kama 12 million hivi bado allowance. Huyu mwanaume alipokua O level tangu kidato cha pili alipata mpenzi, walipeana mimba...
  5. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Tenda: Anahitajika mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa ya serikali

    Habari wakuu. Anatafutwa mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa za serikali kwa ajili ya kumsaidia mdau aliyeko nje ya nchi. Unaweza kuwa mkoa wowote lakini ukiwa Dar au karibu na Dar itakuwa bora zaidi. Compensation benefits zitatolewa kwa atakeyepata tenda. Kwa maswali na zaidi tuwasiliane PM.
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

    Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa. (Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story) Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT kipindi hicho ikiitwa Dar Tech, hatukuonana miaka mingi sana na sikujua yupo wapi. Kwa bahati tu nikawa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti

    Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli. Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi. Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie...
  8. Babumawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ndoa yako au mahusiano yenu yanakaribia kuvunjika dawa hii hapa

    Wale wote waliopo kwenye ndoa na mahusiano ambayo yanapumulia mashine muda wowote yanaenda kuzimu basi leo kuna mwarobaini wa tatizo lenu hapa. Ukitaka kuishi na mke wako bila ugomvi inabidi ufanye kitu kimoja rahisi sana. Wala usipate shida maongezi yenu inabidi yawe kama ifuatavyo: ASUBUHI...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunafunga ndoa kwa mkuu wa wilaya badala ya Mahakamani?

    Ndoa ni mkataba, Kwanini tunaingia mkataba kwa mkuu wa wilaya na si mahakamani? Nchi nyingi nimeona ndoa ya kiserikali inafungwa mahakamani. Kwanini iko hivyo?
  10. lup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwa mfano wa yanayoendelea familia ya diamond ni halali wanaume kufa mapema kuliko wanawake kwenye ndoa,

    za jumapili na weekend kwa ujumla, ni wazi kwamba wengi wetu tunajua nini ambacho mama diamond amekiwasha huko anga za habari na kusababisha kila mahali kuwa ngumzo tu, kwa yanayoendelea nin halali kabisa kwa familia nyingi kupoteza wanaume kwa maana ya kufa na wanawake kuwa ndio wenye nyumba...
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni sanaa ya maigizo na kiwanda cha mauzauza

    Naendelea na wito wangu wa kufanya mgomo usio na kikomo wa kuoa, hapa nawaomba wanaume hasa wanaojielewa kuendelea kuwasusia kuwaoa tuwapashe matobo tu tule nduki ndefu.. huko kwenye ndoa nishasema ni gereza la maisha na huko wanaume wanasoteshwa zaidi ya washukiwa wa ugaidi guantanamo wanaishia...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

    Esma ame Eleza kwa kirefu jinsi alivyokutanavna aliyekuwa mume wake Msizwa, ndoa ilivyokua, maisha ya ndoa na mipango yake ya baadae. Esma amekanusha kuwa hakutoa ujauzito wa Msizwa bali alikua wana matatizo ya kutoka Mwana damu, tatizo lililopelekea yeye kulazwa hospitali. Siku ya harusi mama...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa siitaki kwasababu kila harusi utasikia "ndoa ni uvumilivu"

    Maisha haya ni mafupi sana. Huna haja ya kujinyima raha ya nafsi yako hata kwa dakika moja. Pwani kuna msemo kuwa "raha jipe mwenyewe". Kuna watu wanadhani wakiingia kwenye hiyo jela iitwayo ndoa watapata raha, wanaishia kupata karaha lkn wanaambiwa wavulilie. Yaani waugulievndani kwa ndani...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaenda Night Club na mkewe kaishia kugongewa humo humo

    Hii nimeshuhudia kwa macho yangu katika moja ya clubs za usiku hapa mjini Nikiwa na mshikaji wangu wa kiume tunafanya yetu club (pombe na kusmoke kwa saaana,huku tukiangalia matrako ya warembo wakiyatingisha tingisha) Pozi letu lilikua counter,ghafla akaja jamaa mmoja na mwanamke mmoja,kwa...
  15. Travis Walker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kumuamini mwanamke ilikuwa baada ya kuzama kwenye penzi zito na yeye

    Kuna mtu alinifunza kuipenda haki. Kwa kuyapitia maumivu na mazito nilijifunza kuwa na huruma. Kwa mara ya kwanza nikamuamini mwanamke. Ama kweli mapenzi ni matamu mno, nilijikuta nazama zaidi kwenye penzi zito. Nikampa moyo wangu nikampenda kupita maelezo. Kabla ya hapo sikutaka kabisa...
  16. Funuki Nungula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Urafiki hadi ndoa

    URAFIKI HADI NDOA Vijana wengi wanaingia katika matatizo wakati wa ndoa zao kwa sababu wanasahau kiungo muhimu Cha ndoa. Kiungo hiki ni urafiki, yaani kijana wa kiume au wa kike anatakiwa kumfanya rafiki Kwanza mtu yule ambaye anategemea kuwa mwenza wake. Ili amjue tabia yake Kwanza ndipo...
  17. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutambulishwa ukweni na kutolewa mahari sio uhakika wa ndoa

    Umewahi kupeleka mahari kisha hukurudi tena na ukaachana na ndoa? Umewahi kutolewa mahari na muoaji hakurudi tena? Umewahi kushuhudia mahari imetolewa na ndoa ikafia njiani? Kwa kuwa tunafahamu mahari ni hatua ya mwisho kabisa kuelekea ndoa kipi kinaweza kusababisha mahari kutolewa na...
  18. Numbisa

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

    Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian yapumulia mashine na kutaka kutalakiana. Kwa mujibu wa media za Marekani kwa muda Sasa ndoa yao Haina afya nzuri na ilidhoofu kwa kiasi kikubwa mwaka 2020 ambapo mastaa hao wamekuwa wakiishi Kila mtu kwake huku Kim akiwa na watoto Kwa mujibu wa taarifa Kim...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa zisisajiliwe kwa njia ya mtandao?

    Niende moja kwa moja kwenye mada, Nilikuwa naangalia jinsi mama, dada, shangazi zetu wanavyotelekezwa na wanaume kuhama miji na kwenda kuoa tena wake wengine. Pia hao wake wengine bila kujua kwamba jamaa ana mke wa ndoa tayari. Mwisho wa siku kutengeneza sintofahamu. Wazo langu ni kwa nini...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa zisisajiliwe kwa njia ya Mtandao (Digital)

    Niende moja kwa moja kwenye maada Nilikuwa naangalia jinsi mama, dada, shangazi zetu wanavyotelekezwa na wanaume kuhama miji na kwenda kuoa tena wake wengine. Pia hao wake wengine bila kujua kwamba jamaa ana mke wa ndoa tayari. Mwisho wa siku kutengeneza sintofahamu. Wazo langu ni kwa nini...
Back
Top Bottom